kadogo

  1. stakehigh

    Kenya inachezewa kamchezo kadogo sana na Tanzania, Viongozi wanajua wananchi hawaelewi

    Katika diplomasia ya kiuchumi, thamani ya fedha ni kama sumaku. Inaposhuka, inavuta wateja na watalii kuja ndani ya nchi, na inapopanda sana, inawafukuza na kuwapeleka kwa majirani. Kwa kutumia mfano wa Tanzania na Kenya, hivi ndivyo mantiki hii inavyofanya kazi katika biashara na utalii: Katika...
  2. baz kaiza

    GE2025 Wenyeviti wa Mtaa wa CCM wanawasindikiza kakikundi kadogo kwenye Utajiri

    Ni kweli CCM ina wenyewe ila sio hao wenyeviti wa Mtaa ambao maisha yao nao ni duni na Balozi wa Mtaa.
  3. ELI COHEN

    Hivi huyu amorim hana back up plan? Hata katimu kadogo hivi anaanza na mabeki watano

  4. Braza Kede

    Hivi kandege kadogo kama haka ni pesa ngapi?

    Nimeshaapa haiwezekani nife kabla sijamiliki hata kandege kadogo kama haka wakuu. Hivi kwa mahesabu ya harakaharaka kanaweza kuwa sh ngapi kandege kadogo kama hako hapo chini wakuu?
  5. chiembe

    Upande wa Jamhuri unafurahia Lissu kuwa na mawakili 100,wakiongea wote siku imeisha, na hakuna kilichoendelea, ni kuibua la ubishi kadogo tu

    Upande wa Jamhuri kazi yao ni kuibua vipengele tu, halafu utetezi watavijibu kwa masaa 5 au 6, hapo kama kesi imeanza saa 3 maana yale saa 9 tayari, mtuhumiwa arudi rumande. Nadhani lead counsel wasizidi watatu. Anyway, nawapongeza mawakili wa Lissu kwa kukwepa utando wa kisheria (legal cobweb)...
  6. The redemeer

    Una kaeneo kadogo ghorofa la chumba kimoja hili litakufaa

    Kwa wenye ndoto za kumiliki ghorofa na uchumi hauruhusu chukua ramani hii. Chini chumba kikubwa kina bafu,choo na jiko plus kasebule simple,then juu unakata nusu unaweka zege ndo chumba cha kulala. Hii ufaa hata ukitaka kujenga air bnb au hata nyumba za kupanga ili kusave eneo itafaa zaidi
  7. Mad Max

    Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

    Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
  8. Expensive life

    Haka kanyumba kadogo alafu kazuri

    Nimekaona sehemu haka kanyumba nikakapenda, kapo simple, bila shaka ni chumba na sebule.
  9. The dumb Professor

    Mwenye ile clip ya kanumba: kamshahara kangu ni kadogo mno

    Shalom, Naomba Mwenye ile clip ya kanumba: kamshahara kangu ni kadogo mno siwezi kumhudumia mpenzi wangu anitumie
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Aposto, Kuna muujiza huku, watu wote hawa wamewezaje kujazana kwenye Kandege kadogo hivi?

    REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel...... Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi...
  11. G

    Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

    Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions Dondoo muhimu: vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel.. Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina...
  12. MK254

    Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

    Nikikumbuka lile limsafara la kwenda kuteka Kyev nacheka sana maana shughuli yote imehamia kwenye kujaribu kuteka kamji ka Bakhmut ambapo Urusi imepoteza wanajeshi karibia laki moja kwenye haka kamji.... Na bado kameshindikana. ================ Kiev, April 6, (dpa/GNA) – Ukrainian soldiers...
  13. FRANCIS DA DON

    Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

    Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi? Nimeumia sana moyoni!
  14. H

    Wadau wa nishati ya umeme; Swali kwa TANESCO kuhusiana na mgao

    Nawasalimu na kazi iendelee.. Kuna karatiba fulani ka mgao wa umeme maeneo ya wilayani umeme huwa unakatwa jioni kuanzia saa 12 na kurudi either mid night au usiku wa manane.Sijajua sehemu nyingine Kama iko hivo. Sasa ninavyofahamu sehemu nyingine wilayani hazina heavy duties nyakati...
  15. Nigrastratatract nerve

    Ile nchi ya kusadikika itakuwa imeuza vya kutosha majenereta kutokana na zoezi linavyoendeshwa, wameamua kutoa kadogo kama asante

    Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi...
  16. ANT DRUGS

    Kamati ya roho mbaya Simba SC chini ya Gentamycine yachakazwa na kakamati kadogo ka roho mbaya ka Mtibwa Sugar

    Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza. Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU...
  17. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  18. S

    Kadogo, kazuri katamu Vs mtafutaji, mcha Mungu na mzembe wa kwichikwichi

    Wabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti. 1. Wa Kwanza ni mdada amebarikiwa shepu, sura ya kuvutia na mautundu ya kutosha kwenye 6 kwa 6. Hakika nimuonapo nafsi yangu husuuzika sana, na hata nikiwa naye barabarani najiona mm ndiye...
  19. The Assassin

    Mchungaji aliedai Corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu, amefariki kwa Corona

    Mchungaji Bishop Gerald Glenn wa kanisa la New Deliverance Evangelistic Church huko Virginia Marekani ambae alidai corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu amefariki sababu ya corona. Mchungaji huyo alikua akisisitiza watu kuomba na wasiogope ugonjwa wa corona kwa sababu si chochote wala lolote...
  20. Pendo234

    Wimbo Wa Alikiba "Kadogo" Wazidi Kupanda

    Hatimaye wimbo wa alikiba unaotamba kwa jina "Kadogo" wazidi kunawiri viewers wakijotekeza kwa wingi kuutazama kwenye youtube. Alikiba awmbayacawali alilalamika kuwa Soma zaidi...
Back
Top Bottom