Wakuu salaam,
Nina mdogo wangu kamaliza chuo mwaka 2018, ana bachelor degree ya Business Administration, kashafanya usaili wa Mamlaka ya Mapato mara mbili sasa, cha ajabu leo wakati anaomba kwenye hizi nafasi mpya zilizotangazwa anaambiwa hana "qualifications" za kuomba kada hiyo na kwenye...