kaburini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kudo

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kaburini ama Gerezani

    KABURINI AMA GEREZANI! NA; BAHATI MWAMBA SIMU; 0658564341/0758573660. 1: KIKAO… Ilikuwa ni ndani ya baa moja maarufu sana ndani ya jiji la Dar es laam, baa ambayo milango yake haikuwahi kufungwa, iwe ahsubuhi, mchana ama usiku, burudani ziliendelea kama kawaida. Kilichokuwa kikibadilika...
  2. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Kufa ni nini? Kufa ni hali ya roho kuepukana na kiwiliwili, au kufa ni kukatika matumizi ya roho kwa kiwiliwili na kukosa kiwiliwili ambayo ndio ala yake na kumuepusha mtu na mali yake na watoto wake na mke wake. Kufa kunakata utamu wa maisha ya kiulimwengu na kwenda ulimwengu mwingine. Mtu...
  3. masara

    JamiiForums Tanzania Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

    Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado. Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Sauti kutoka Kaburini - Ni Jambo la Kijinga Kutegemea Mikopo Kujiletea Maendeleo...

    MASKINI AKIKOPA KAPATWA, TAJIRI AKIKOPA KAPATA Na. M. M. Mwanakijiji Tuangalie ukweli wa hoja hii na tulinganishe nani yuko karibu zaidi na hili kati ya wanaotetea mikopo isiyoulizwa na wale wanaouliza kuhusu mikopo na misaada ya kigeni. Yanayofuatia siyo maneno yangu nimeyanukuu tu. Njia...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Jinsi binti alivyoweza kuwatoa wazazi wake kwenye umasikini

    Haya ni maneno aliyoyatamka Linda, binti wa pekee kwa wazazi wake. Baba yake alikua mlinzi wa majengo ya serikali kwa miaka mingi. Mama yake alikua mama wa nyumbani aliyejishughulisha na biashara ya vitafunio vya asubuhi kama chapati, maandazi, sambusa na vitumbua. Linda na wazazi wake...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mengi Bwana Abbas alinieleza, na mengi ameingia nayo kaburini hakunambia

    MENGI BWANA ABBAS ALINIELEZA NA MENGI BALOZI AMEINGIANAYO KABURINI HAKUNAMBIA Tuko kwenye khitma ya Abbas Sykes Msikiti wa Makuti, Kisiwandui Zanzibar niko bega kwa bega na Sheikh Ibrahim Moeva. Sheikh Moeva na Abbas Sykes wote wametumikia Tanzania nchi za nje na wakifahamiana vyema...
Back
Top Bottom