kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Karia anapaswa kuliwa kichwa mapema, kabla hajatufikisha pabaya zaidi

    Yawezekana watu wengi sana wanatizama na kuona kuwa soka la Bongo limekuwa katika miaka ya hivi karibuni. Lakini tujiulize mbali na mafanikio binafsi ya vilabu hasa Simba na jitihada binafsi za mchezaji mmojammoja kama Samatta na Msuva ni nini kingine ambacho sisi kama Taifa tunaweza kujivunia...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  3. JamiiForums Tanzania Hata kabla ya taifa letu kupata uhuru mikutano ya kisiasa haijawahi kuzuia watu kufanya kazi. CCM isipotoshe na kutuoenea wapinzani.

    Upinzani ni kioo cha jamii maana hukosoa na kuwaambia watawala makosa wanayofanya. Upinzani kufanya mikutano ya kisiasa na kueleza sera na mikakati ya kukamata dola sio sababu ya kuzuia wananchi kufanya kazi zao. Mbona hata kabla hatujapata uhuru TANU ilikuwa inafanya mikutano ya hadhara na...
  4. JamiiForums Tanzania Usitoe ahadi kuwa utamuoa au akuoe kabla hamjakubaliana. Kitakachokutokea utajuta

    Mahusiano ni sehemu ya maisha yetu na kwa wale ambao wanaingia kwenye mahusiano ndio wanaongoza kuwa na ahadi kama kichwa cha habari. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe hii kitu usije kufanya kama hujatulia, bado ujapanga kufanya hivo. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe ina matatizo makubwa mpaka wengine...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022

    Wadau nahitaji kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022, mwenye uzoefu na hili anisaidie. Shukran wakubwa
  6. JamiiForums Tanzania Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

    Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba. Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba. Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
  7. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili. Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia. Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
  8. JamiiForums Tanzania CEO wa Simba tulipaza sauti mapema kabla usajili kukoma

    Wakati muda wa dirisha la usajili kukaribia kutamatika, tulieleza kwamba Simba sio football academy ambapo wachezaji kinda wanafundishwa. Pia, tulibainisha mapungufu ya safu ya ulinzi na namna ya kuziba nafasi zilizoachwa na kee players mliowauza. Mbali zaidi, wengine tukalaumu hatua ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba mmefanikiwa kusonga mbele lakini rekebisheni mapungufu yenu haraka kabla amjakutwa na aibu mbele ya safari

    Ni jambo la kushukuru kwamba simba imeingia hatua inayofuata kwa msaada wa matokeo ya nyumbani baada ya kupata magoli mengi, lakini pamoja na ayo simba hii inayo mapungufu kibao kuanzia safu ya ulinzi na kiungo. Endapo Red Arrows wangeongeza ubora wao angalau kidogo sasa hivi tungekuwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Samia kuwa Rais nilidhani ni lazima Rais wa nchi atoe hotuba ndeefu

    Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita. Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha yakiisha anamaliza hotuba yake. Kwa kuwa nilizoea kusikia hotuba ndeefu za marais waliotangulia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CDC: Hakuna madhara kupata chanjo za maradhi mengine kabla au baada ya chanjo ya COVID-19

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema watu waliopata chanjo ya COVID-19 wanaweza kupokea chanjo za maradhi megine. Mwitikio wa chanjo mwilini hautofautiani endapo mtu atapata chanjo ya aina moja au tofauti. ====== Getting a COVID-19 Vaccine with Other Vaccines People...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu wa mikoa watakiwa kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa kabla ya Desemba 15

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka wakuu wa mikoa yote kuhakikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa na miundombinu mingine ya elimu ambayo Serikali Kuu imeipatia fedha inakamilika kabla ya Desemba 15, mwaka huu. Alitoa agizo hilo jana wilayani Rungwe katika Mkoa wa Mbeya alipofanya ziara ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

    Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana: Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine: "Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
  14. JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuzingatia kabla ya kufunga ndoa

    Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo: a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la wahusika; bila Udanganyifu, laghai au kurubuniwa kwa aina yoyote b) Kusudio la kudumu: muunganiko wa...
  15. JamiiForums Tanzania Msifunge ndoa kabla ya kufanya utafiti

    Imeelezwa kuwa wanandoa wengi wamekuwa wanaharakati zaidi kuliko kuwa walezi wa ndoa zao, jambo ambalo linasababisha migogoro kwenye familia na kuzifanya zivunjike. Hayo yalisemwa jana jijini hapa na Mkurugenzi wa Asasi ya TaMCare, Dk Enock Miyuka alipokuwa anazindua kliniki ya ndoa na...
  16. JamiiForums Tanzania Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

    Wajumbe hawajamuacha mtu salama kauli hii ni enzi hizo. Wadau tuchambueni maada hii kwanu nipo njia mbaya sijui chakufanya. Before or after ndio poa.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo. Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Rais, Waziri Mkuu na Waziri husika, wote wanapaswa kujiuzulu kabla hawajamuwajibisha yeyote yule

    Tatizo la umeme nchi hii haijaanza leo, huku chanzo kikubwa cha tatizo miaka yote kikiwa ni kile kile. Hivyo? hakuna sababu mpya na ilio nje ya uwezo wao zaidi ya hizi serikali za CCM miaka yote kushindwa kuja na suluhu ya Kudumu ya hili tatizo. Serikali ya Magufuli ambayo Mama Samia alikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Msikilize mtu amalize hoja zake kabla ya kumjibu

    Waswahili tuna tabia ya kuwakatisha watu hoja zao kabla hawajamaliza kuziweka sawa na kujifanya tunajua walichokuwa wakimaanisha hata kabla hawajazihitisha. https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2021/11/3004426_Artist.wmv
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Mbezi Beda wadai DC Kheri James anamhujumu RC Makalla kwa kuwarejesha baadhi yao kusikoruhusiwa

    Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi. Wamedai kila wakimfata DC James ofisini kwake anawaambia wakaanxie kwanza kwa mchungaji kabla ya kwenda kwa askofu akimaanisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…