kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Machozi, Matunzo na Sheria: Unachopaswa Kujua Kabla ya Kudai Fidia kwa Kulea Mtoto "Usiyemzaa" (almaarufu wa kusingiziwa)

    Katika jamii zetu, moja ya mambo yanayoumiza sana kihisia na kuleta migogoro mikubwa kwenye familia ni pale mzazi anapogundua (au anapodai kugundua) kuwa mtoto aliyemlea na kumgharamia kwa miaka mingi, kumbe si wake kibaolojia. Katika nyakati hizo ngumu zenye mchanganyiko wa hasira na maumivu...
  2. Usemi wa "Usimuamini mwanamke kwa asilima 100" ndio aliopita nao Bilionea Christiano Ronaldo kabla ya kumuoa "Nyonga mkalia ini" wake.

    Inasemekana kuwa Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez walisaini mkataba wa kabla ya ndoa mnamo Agosti 10, 2026, siku moja tu kabla ya harusi yao ya faragha nchini Ureno. Naamini tulishaletewa habari hii hapa jamvini lakini hebu kidogo tuuelezee kwa ufupi mkataba huo. Mkataba huo...
  3. Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
  4. M

    Kazi gani ya kiwandani kila ukienda kuomba unapata ila unaweza kukimbia kabla ya kulipwa

    Kuna jamaa yangu alikwenda kutafuta kazi kwenye kiwanda cha nondo akapata anasema ile shuruba ya mle ndani alitamani atoroke kabla hajalipwa kwa ugumu wa kazi amalipo madogo, anasema wakikutajia malipo kwa siku unakuwa bado hujajua ugumu wa kazi unajipa moyo nitakomaa ila anadai mateso yaliyoko...
  5. Hivi wauza bia huwa mnawauliza Wanamiaka mingapi kabla ya kuwauzia maana haiuzwi chini ya 18

    Huwa najaribu kuwaza kunamatangazo. Haya ya pombe mwisho huwa wanasema haiuzwi kwa waliochini ya miaka 18. Je ni kweli wahudumu huwa mnawauliza wateja wenu umri wao kabla ya kuwauzia bia??????
  6. Sasa kijana tumia fursa kabla haujawahiwa

    Ndugu vijana wenzangu ni wakati sasa wa sisi kutafuta fursa kwa wanawake walio jipata. Kama mwanasaikolojia mwenyewe kathibitisha kwa nini tukatae.. Kwa sisi tulio Dar, ni muda mwafaka sasa kuwinda mishangazi na kuipelekea moto ili tupate mianya ya hela na mafanikio. Sikiliza hapa👇 Kikubwa...
  7. Sikuona haya mabadiliko kabla , Nimeshangaa sana

    Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea, nikitokea Kijitonyama . Binafsi, ni miezi sita tangu nifike Tabata, na njia zangu za kawaida zilikuwa hazinipeleki upande huo. Lakini kila tulipokuwa tukikata kona, nilikuwa nashangaa kuona jinsi mji ulivyobadilika. Si ule mji...
  8. Mwanaume, kabla ya kuhonga mwanamke, umpendaye, umemtumia mama yako pesa maradufu kuliko ya kumpa mwanamke wako. Hakikisha umejiridhisha wewe kabla ya

    Mama ni mmoja tu, na upendo wake hauna kifani. Mimi babu yenu Bujibuji Simba Nyamaume na miaka yangu 64, kuna binti anahongwa na Bwana wake, tena kijana barobaro kabisa, anakuja kunipa mimi hizo hela, eti ni nyingi sana hawezi kwenda nazo kwao. Mwanaume kabla hujahonga, hakikisha umejipenda...
  9. T

    Ardhi yetu itufaidishe sisi kwanza kabla ya dini au wakoloni

    Angalia hii video
  10. Tutegemee "Taarifa kwa Umma" ya Manqoba na "Thank You" ya Doumbia Kabla ya Mzunguko wa pili wa NBC.

    Kama umeangalia utendfaji wao kwa makini basi ni muda tu unasubiriwa.. Si lazima Yanga afungwe ndo Kocha afukuzwe na ni lazima Simba ishinde ndo stiker abaki..
  11. Je Kuna ukweli kwenye hili ya kubwa " wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa so wazuri Tena"?

    Wakuu, Leo nikiwa katika mtandao wa Instagram nilimsikia Oscar Oscar akisema ya kuwa wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa kwisha Na pia bingwa wa magari alisema kama huna sababu za msingi kuoa mchagga usioe Nimepata sintofahamu Kwa sababu Nina mpenzi wangu mchagga...
  12. PostGE2025 Samia hapa Kafeli kabla ya kuanza.. Eti tume imchunguze halafu impe ripoti🤣

    Watu wanadai kikundi kinachoteka na kupoteza watu alikiunda yeye ili kulinda kiti dhidi ya wapinzani wake wa kisiasa. RIP Polepole. Watu wanadai aliyetoa amri ya kupiga risasi za moto wananchi wanaoandamana ni yeye. Aliyeteua kiongozi wa tume huru ya Uchaguzi ambayo ndo iliharibu uchaguzi ni...
  13. Je kuna waandishi au vyombo vya habari vimelipwa kuichafua ARUSHA kabla ya AFCON??

    Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu. Wizara ya Habari ,TCRA na...
  14. Ulinzi kwake ni Muhimu kabla ya 13:08:2026

    Akae rada sana
  15. Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  16. M

    Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  17. Wanasayansi wa Hali ya Hewa Waonya kwamba EL-Nino Itakayotokea Mwaka Huu Itakuwa Mbaya kuliko Zote Zilizowahi Tokea hapa Duniani

    Pamoja na kwamba mamlaka zetu zilitoa taarifa ya kiashiria Cha El Nino mapema mwezi julai lakini taarifa zinazotoka kwenye vyombo vya habari Duniani zinaonesha hatari kubwa zaidi. Kikawaida EL Nino huja na sura mbili ,mvua kubwa na ukame wa kupindukia, bikiambatana na joto Kali sana au baridi...
  18. Jiuzulu. Nakushauri jiuzulu kabla ya ukingo

    Najua sasa kiafya na kiakili umechoka sana - JIUZULU Assistant Vampire ameshaanza kukenua meno yake makali kwako - JIUZULU Umeandaa wasia siku ya marehemu washika mikuki, umekataliwa usiusome kwenye matanga - JIUZULU Rumors of WAR from within (The PLUMBING noise is big) - JIUZULU Crazy BALD...
  19. Mfahamu Mtu Kabla ha Kumwamini ( Snake ni wengi)

    Tuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu. Kwenye Ulingo wa Siasa za Chama Tawala na Vyama Marafiki( Tanzania Tunaviita Upinzani) Ukimsikia Mtu anajiita Mwanaharakati tena yupo nje ya Mipaka ya Tanzania uwe nae makini sana. Wengi wao Utumika pande zote Mbili ( Double A) Basi ukiwa upo Kwenye...
  20. Mteja akikuwekea hela kwenye account yako halafu akaihitaji kabla hujampa huduma, unatakiwa ufanyeje?

    Hello business professionals, mteja amelipia huduma kiasi cha Tsh milioni 1 ili afanyiwe kazi na akabidhiwe kazi yake Jumanne Tarehe 28/7/2026 Ghafla tu anapiga simu anaihitaji hio hela amepata dharura Nifanyeje kuweka sawa hili swala? Process za kazi yake zinaanza saa 11 jioni leo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…