kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuwapa bandari DP World tumetafakari kuhusu usalama wa nchi yetu?

    Watanzania, Bunge letu, Bandari ni zaidi ya tunavyofikiria. Usidhani kwamba ni kupokea containers za mizigo ya kawaida tu. Yapo mambo mengi mno ya kijasusi ambayo hatujayafanyia upembuzi yakinifu. 1. Asilimia kubwa ya zana zetu za KIVITA hupitia Bandarini. Je, tukiwapa DP kutakuwa Tena na...
  4. JamiiForums Tanzania Hii tafsiri ya cheti cha ndoa, ikusaidie kujitafakari sana kabla hujakisaini

    Ndoa kiroho ni agano. Unaposaini cheti cha ndoa au unapoingia agano hilo kwa makubaliano mengine yoyote unatakiwa ujue unachokiingia. Siku hiyo unasaini hati ya Kufanikiwa kwako au kufeli kwako maishani Furaha yako au huzuni yako hadi unaingia kabrini. Maisha ya migogoro au amani Nini...
  5. JamiiForums Tanzania Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

    Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake. Hata hivi sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke aamka kwenye Jeneza muda mfupi kabla ya kuzikwa

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina Bella Montoya (76) kutoka Ecuador amewaacha watu kwenye mshangao baada ya kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye Jeneza wakati ndugu walipotaka kumvalisha mavazi maalumu ya mazishi. Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya, mwanamke huyo alipata tatizo la Mshtuko...
  7. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Manchester City na Inter Milan tukutane hapa kabla ya Fainali 10-06-2023

    Salamu kwenu nyote. Final ya UEFA champions league ya miamba, patashika isiyo ya mkato wa shoka. Vumbi si vumbi , midfield battle, possession vs counter attacks, number of shorts and efficiency, presence in final third, set pieces threats, conversion of chances created, 3-5-2 formation...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

    Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge lakaribisha maoni, kuhusu mapendekezo ya kuridhia makubaliano mkataba kati ya Tanzania na kampuni ya Saudia kuendesha bandari Dar es Salaam

    Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga tupeane majibu ya eneo la Kigamboni kabla ya Jangwani

    Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi? Kwa maendeleo ya mpira.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imemtangazia nani kwamba ina maeneo yake Bagamoyo?

    Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika? Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu achilia mbali kufahamu, hata ile kusikia tu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba, Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo? Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje...
  12. JamiiForums Tanzania Pima kabla ya kuingia kwenye ndoa, usitake kujuta

    1. HIV -UKIMWI 2. Rhesus 3. Genotype 4.Hepatitis B 5. Hepatitis C 6. Magonjwa sugu 7. Magonjwa ya akili 8. Makundi ya damu 9. Magonjwa ya zinaa 10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba NB: The spiritual status of both families, wengine wachawi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania TBS yawataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa ili kuepuka madhara ya kiafya kabla ya matumizi

    SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa hususani za vyakula ili kuepuka madhara mbalimbali ya kiafya yanayoweza kujitokeza. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2023 Jijijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja wa Ukaguzi na...
  14. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Michezo Redioni mbona leo hamchangamki kama mlivyokuwa mkichangamka kabla ya Mechi ya Yanga SC na USM Alger FC ya leo?

    Halafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda kupindua Matokeo / Meza Jijini Algiers nchini Algeria kwa Kuwafunga USM Alger FC na kuwa Mabingwa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi 2025, tunyamaze milele

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amewataka watanzania kuungana na Chama hicho katika madai ya kupata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (2024) na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Lissu ametahadharisha kuwa Katiba Mpya isipopatikana kabla...
  16. JamiiForums Tanzania DARASA: Namna ya kumfanya anayekuda akukopeshe tena kabla hujamlipa deni la awali

    Ngoja nikumegee kidogo, hivi unajua kama Kukimbia madeni ni hatari kuliko kuyakabili? Unapokuwa na deni au madeni siku zote ni mzigo, ambao unatamani siku moja ungepata nafasi ya kuutua. Hivyo basi ni vizuri kuangalia namna ya kuutua huo mzigo. Mimi na wewe tunakubaliana kwamba huwa tunakopa...
  17. JamiiForums Tanzania Watalaamu, hii kabla au baada ya tukio?!

    Ukisema ni kabla uwe na sababu Ukisema baada uwe na sababu
  18. JamiiForums Tanzania Kabla ya kujenga fly over Magomeni na fire panueni barabara Kimara - Ubungo

    Nimeshangazwa sana na huyu waziri kusema wanatafuta hela kujenga fly over magomeni na fire na sehemu zingine lakini cha kushangaza hawajagusia kabisa kupanua kipande sumbufu kwa foleni kutoka ubungo hadi kimara, na barabara ya mandela. Hivi jamani inahitajika hadi aje Tony Blair kutuambia hizi...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Kasimu Majaliwa tumechoka na kamati zako.Sasa utupe mrejesho wa kamati zote ulizounda kabla ya kamati mpya.

    Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati. Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo. Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
  20. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Kumhusu Le Mutuz Super Brand!, Je Wajue Alijitabiria Kifo Chake Kabla?. Aliandika Kila Kitu. Could He Be The Top Most JF Celeb Wetu?

    Wanabodi, JF bado tuko kwenye maombolezo ya kumlilia member mwenzetu William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz Super Brand ambaye kesho Jumatano saa 9:00 Adhuhuri ndipo atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, kwenye makaburi ya familia ya Malecela pale Mvumi Mission, Dodoma. Kuna mengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…