kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu na viongozi kuandamana mwezi mzima kabla ya tarehe 7/7 si ajabu wakaahirisha tena wakapanga tarehe nyingine

    Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu kuandamana muda mrefu zaidi kuliko waandamaji wenyewe jambo ambalo linachosha vyombo vyetu . Kama wataamua kuahirisha hiyo tarehe na kutangaza tarehe nyingine wataendelea kuleta mzigo mkubwa na uchovu Kwa vyombo vyetu kwakweli Maandamano yanaruhusiwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nilihofia kumpoteza Mgonjwa katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba (Rubya Hospitali) sababu nilitakiwa nilipe kabla ya huduma

    Ninaomba kufikisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa huduma katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba yaani Rubya Hospital ambao kwa maoni yangu unaweza kuhatarisha maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura. Nilifika hospitalini hapo nikiwa na mgonjwa aliyekuwa anahitaji...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ataondoka siku ya maandamano au kabla ya hapo, akielekea SERBIA

    Wanadai anakwenda kuzindua mkutano wa uwekezaji kati ya Tanzania na Serbia. Utakaouzindua tarehe 8 Julai, Belgrade, Serbia, saa sita mchana, akiwa na Rais wa Serbia, Alexander Cucic Sekta walizotaja ni madini, kilimo, nishati, utalii, tehama, viwanda, na mabenki na mengineyo...
  4. JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA tutatangaza tarehe yetu wenyewe ya maandamano, sio Sabasaba

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Juni 20, 2026, ameweka msimamo mkali mkoani Ruvuma na kukitenga chama hicho na vuguvugu la maandamano yanayodaiwa kupangwa na wananchi mitaani ifikapo Julai 7 (Saba Saba), akisisitiza kuwa chama chake hakijapanga ratiba...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiacha pesa, ni kitu gani kingine kikubwa ulichowahi kupoteza ukapunguza kubeti?

    Wawekezaji wenzangu mko poa? Ilikuwa usiku wa fainali ya UEFA mwaka 2026, nilipoweka dau la mshahara wangu wote wa mwezi nikiwa na uhakika wa kushinda mamilioni. Baada ya filimbi ya mwisho na timu yangu kufungwa, nilibaki nimepoza macho nikiiangalia simu, huku nikijua sina hata senti ya...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kabla sijatepeliwa

    Vikoba kwa njia ya m koba ya voda jamaa wanatangaza kule fb je hivi inawezakena? Mimi nimeishia nae kwenye chati sasa sijamwelewa nisaidieni https://www.facebook.com/reel/857641280753316/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
  7. JamiiForums Tanzania Kabla ya kufika 7/7 kutaibuka vikundi vya kila aina vikiitisha wana habari kujifanya wanakemea maandamano.

    Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano. Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota makopo. Mfano ni huu na nani anawatuma.
  8. JamiiForums Tanzania Nakusisitiza kabla haujasoma hiki ninachoenda kukiandika hapa, penda unachokifanya.

    Dunia ya leo haitaki tena degree ya kawaida. Inataka degree yenye technology ndani yake. Kwa mfano kama mwanao anapenda Civil Engineering, kwanini asisome Civil Engineering Integrated with Artificial Intelligence and Machine Learning? Kama anapenda biashara, kwanini asisome BBA Fintech and...
  9. JamiiForums Tanzania Israel anataka kuiangusha Dola ya marekani (world superiority) marekani ameshtuka kabla mambo hayajaharibika

    Ni waziri kuwa Hali si shwari Tena kati ya Israel na marekani. Rais Trump ameamua kuukosoa kwa wazi na kuubeza utawala wa Israel bila aibu. Leo makamu wa rais JD Vance nae ameongea na kueleza kuwa Israel hawana adabu na wanapaswa kumshukuru Donald Trump's na akaendelea kusema kuwa Israel...
  10. JamiiForums Tanzania Kanuni 30 za Afya kwa Wanaume Kabla ya miaka 35

    CODE 30 ZA AFYA AMBAZO KILA MWANAUME ALIPASWA KUJUA KABLA YA MIAKA 35. HAYA NDIO MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HUYAGUNDUA WAKIWA WAMECHELEWA. 1. Kiwango chako cha homoni ya kiume Testosterone kitaanza kushuka ukifikisha miaka 30. Nyanyua vyuma, pata usingizi wa kutosha na kula lishe bora ili...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa rangi za nyumba naomba msaada wenu kabla hapajakucha🙏

    Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.? Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba? Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora? Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje. Nyumba ilishapakwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kabla Movie Haijatafrisiriwa,/Hajapata Uraia Pacha...!!

  13. JamiiForums Tanzania Kabla ya waislamu kuichukua kinguvu uajemi, je waajemi walikuwa ni watu wa dini ipi?

  14. JamiiForums Tanzania Kabla hujashabikia chama: Mambo 7 ya kujua kuhusu itikadi za kisiasa

    Watu wengi hujiunga na vyama vya siasa kwa sababu ya ushawishi wa marafiki, familia, viongozi maarufu au hisia za wakati huo. Hata hivyo, hatua muhimu ambayo mara nyingi hupuuzwa ni kuelewa itikadi ya kisiasa inayosimamia chama husika. Itikadi ndiyo msingi wa mawazo, sera na maamuzi ya chama...
  15. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kabla ya 2030 tutanunua ndege nyingine 40

    Akizungumza jijini Mwanza jana Jumanne, Juni 2, 2026, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanamawasiliano wa Serikali, Gerson Msigwa amefichua kuwa kuanzia Julai 1, 2026, Tanzania itaanza rasmi kutekeleza Dira Mpya ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 inayolenga kukuza uchumi wa nchi kutoka...
  16. JamiiForums Tanzania Jaji John Ruhangisa: Wabunge wanapoongea bungeni, wanayoyaongea ni kweli wametumwa na wananchi?

    Yaani kwa alichokisema huyu baba kwenye hii video na kinachoendelea ni kwamba TANZANIA HATUNA BUNGE ----------------------------------- Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, amesisitiza kuwa ni wajibu wa kisheria na kikatiba kwa wabunge kurudi kwa wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania Unahitaji siku ngapi kuomba kibali kabla ya kusafiri nje ya nchi kama Mtumishi?

    Habari wanaforum! Je inahitaji siku ngapi kabla ya safari yako kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi kama mtumishi kwenye mfumo wa e-vibali? Na documents gani zinahitajika?
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mpimbwe, Katavi: Inakuwaje DMO anayechunguzwa kwa ufisadi na matumizi mabaya ya nafasi, anahamishwa kimyakimya?

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali. TAKUKURU wilaya walikuwa tayari wameanza uchunguzi kuhusu tuhuma hizo, lakini cha kushangaza mtuhumiwa amehamishwa kabla...
  19. JamiiForums Tanzania Wivu ni darasa la mwisho kabla hujawa mchawi

    Wivu mbaya na chuki ya kupitiliza ni sumu kali ya kiroho inayomfanya mtu aanze kufikiria au kutenda mambo ya kishirikina na kijicho. Huu usemi usemao "Wivu ni darasa la mwisho kabla ya kufuzu kuwa mchawi" una ukweli mkubwa kiroho. Kimaandiko na kiimani, wivu si tu hisia mbaya ya kibinadamu...
  20. JamiiForums Tanzania Kisa Ebola, Kikosi cha DR Congo cha Kombe la Dunia kukaa Karantini kwa Siku 21 ili kuruhusiwa kuingia Marekani

    Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa na maafisa wa Marekani kutokana na mlipuko unaoendelea wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…