kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa Ukitazama video yake utacheka Live Update arrow right icon From the Liveblog of...
  2. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na vyama vingine chukueni mwelekeo huu haraka kabla ya uchaguzi, mtanishukuru baadaye!

    Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini Tanzania. Kila chama kinatamani kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Zitto Kabwe ametoa wazo la vyama...
  3. JamiiForums Tanzania Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ni siri saba kuhusu fedha ambazo ni lazima uzifahamu kabla hujafikisha umri wa miaka 20

    Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni. Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina Vasco dagama Jinsi walivyoweza kufika afrika kusini kuliko kutufundisha namna ya kutengeneza...
  5. JamiiForums Tanzania Kabla haijaja internent

    Kabla haijaja internent hii michezo watu wengi walikuwa wanacheza https://youtu.be/Enwz8NgCCHw?si=Vg-4_geq9vYziWk0 kama hii
  6. M

    JamiiForums Tanzania Visiwani kuanza uchimbaji gesi kabla ya LNG ya Lindi?

    Inawezekana Visiwani wakaanza mradi mkubwa wa uchimbaji gesi kabla ya mradi wa uchimbaji gesi ya LNG Lindi? Naona upande mmoja umekuwa kimya sana ilhali upande mwingine mambo yameshika kasi...... Pia Soma: Mradi wa gesi-Lindi LNG Wa Thamani ya Trilioni 105 Hatihati Kukwamishwa na Michakato...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  8. K

    JamiiForums Tanzania NINAISHAURI SERIKALI IKAE MEZA MOJA NA CHADEMA KABLA YA MAANDAMANO YA KESHO

    CHADEMA wameshikilia hoja yao ya kufanya maandamano kesho. Serikali pia imeshikilia msimamo wake pia kuwa kesho hakuna maandamano. Serikali ina hoja ya kwa kutokea uvunjifu wa amani na CHADEMA pia wana hoja ya kutaka vijana wao waliotekwa waachiliwe huru au warudishwe wakiwa wamekufa. Mfano...
  9. JamiiForums Tanzania KUNA TOFAUTI KATI YA MURDER na ASSASSINATION: TUTAMBUE JAMBO HILO KABLA YA KUKOSOA NA KUTETEA.

    Baada ya rais kutoa hotuba kuwashutumu mabalozi waliohimiza uchunguzi huru na wa haraka,watu wanaoona mambo kwa rangi zake waliona matundu na kasoro katika hotuba ya rais. Jana,mwenye ID Malcom Lumumba alinyoosha maelezo kwa kina kuelewesha watu ni wapi rais alikosea katika hotuba yake...,na kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Napendekeza kabla ya match kuaza kati ya Yanga na CBE na ile ya Simba na Al Ahly zisimame kwa dk1 kama ishara ya kuwahenzi waTz wenzetu waliouwawa.

    Kama title inavojidadavua hapo juu:, Kuna haja ya kuwaonyesha Maharamia kupitia michezo hususani soka, ingawa na mingine hipo haja ya kufanya hivo pia kuwa tunapinga mauwaji yanayoendelea kila kukicha nchini, nazani kupitia soka na machezo mingine, itakua tumefikisha ujumbe kwa hawa nyonya damu...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye Gridi kabla ya Mwaka 2025

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu ili Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta...
  12. JamiiForums Tanzania Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

    Aman iwe nanyi wana wa MUNGU Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana FFU wakiwa wanalinda...
  13. JamiiForums Tanzania Taja vyakula ambavyo ukivila kabla au baada ya kunywa pombe lazima utapike na ambavyo hutatapika

    Naanza Wali utatapika Ugali maini hutapiki Kitimoto hutapiki Mahindi ya kuchoma utatapika
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mkong'oto wanaotembezewa wastaafu wanaotumia mafao kuanzisha biashara ni funzo kwamba uzoefu ni muhimu, Biashara zinabuma stress zinawamaliza wazee !

    Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu. Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa ni fedha nyingi sana mfano milioni 200, 150, 100, 50, 30, n.k. kulingana na kazi walizofanya...
  15. JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyika upasuaji anatakiwa asipake rangi kucha wala kuzi polish?

    Habari wana jf…Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyiwa upasuaji haruhusiwi kucha zake kuzipaka rangi wala kuzifanyia polish?
  16. JamiiForums Tanzania Maskofu wa KKKT tuiheshimu Katiba yetu kwanza kabla ya kujadili Katiba ya Nchi

    Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa. Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
  17. JamiiForums Tanzania CCM: Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kagueni ujenzi wa geti jipya la Chuo cha Polisi Moshi, kabla Rais hajalifungua tar 17.9.2024

    Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika...
  18. JamiiForums Tanzania Vitu hatarishi vya kuepukana na kuachana navyo kabisa kabla hata mwaka 2024 haujaisha

    [.MUHIMU.]...Vitu HATARISHI Vyakuepukana Navyo na Kuachana Navyo Kabisa Kabla Hata MWAKA 2024 Haujaisha.... 1.Kutumia Muda mwingi Sana Kwenye Social Media . Kwenye mitandao, wewe ni mwandaa maudhui au mlaji? . Zaidi ya 90% ni walaji. . Unapoteza muda wako kuangalia maisha ya wengine. ...
  19. JamiiForums Tanzania Kabla ya Ijumaa jioni litatengenezwa bonge la movie ili kufunika jambo

    Kwa uzoefu wangu nina uhakika 100% kuwa kabla watu hawajalala siku ya Ijumaa tayari movie itakuwa ishatoka. Ni mwendo wa movie tu. Movie hii itatolewa kufukia jambo. Watanganyika msitolewe kwenye reli kwa aina yoyote ya movie hata kama hiyo movie itahusisha kutolewa watu uhai. Akili yangu...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu kabla sijafika Marekani

    Neno Marekani mtaliona sana tu, hadi nikirudi nyumbani. Ila leo niwape story kwa ufupi ili mjue safari zinaanzaje. Kwanza mjue mimi ni kiumbe wa kutoka mkoani huko, sio Mdaslamu. Na nilikuwa sipapendi Dar nikaamini naweza toboa mkoani. Mguu wa shingo mguu wa roho nikaingia sana vijijini huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…