kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Matola PhD

    Hivi Tanzania kuna taasisi inayojishighurisja na haki za wanyama? Kama ipo mnijuze kabla sijafanya ukatili mbaya

    Nyumbani kwangu kuna paka alijileta akapazoea wife akaniambia muache apambane na panya, binafsi siwapendi kabisa paka nimekulia uswahilini nawajuwa ni antena za wachawi. Huyu paka hana mpango kabisa na panya na ukimpa chakula hakina nyama hali, yeye anataka nyama na samaki na dagaa tu. Sasa...
  2. R

    Sura mbili za Bashiru Ally Kabla na baada ya madaraka

    Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu! Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka https://x.com/i/status/1793231455981805944 na baada ya kuwa na madaraka https://youtu.be/uSZFsmy-uQk
  3. Ushimen

    Ngoja niseme nanyi vijana wa leo

    Kwanza sio lazima niwasalimie maana nitapoteza muda tu...🤨 Ipo hivi. Jukumu la mzazi wako ni kuhakikisha unakua na afya njema, unapata malazi na mavazi mazuri na kisha unapata elimu na maarifa ili ukawe mtu mbele za watu duniani. Kazi ya mzazi wako sio kukutafutia mali na sio jukumu la mzazi...
  4. Komeo Lachuma

    Hivi nyie wenzangu kabla ya kugegedana mnapimana akili na utulivu wa Ubongo Kweli?

    Mmmmh.... Nimewaza. Unamwambia mpenzi wako akunyonye mashine sababu unapenda. Kumbe siku hiyo kaamka vibaya network inakuja inakata, inakuja inakata inasoma EDGE kidogo inapotea. We unachukulia poa. Unampa mashine. Anakumbuka jinsi ambavyo uliwahi mtenda au ulivyomnyanyasa au chuki yake kwa...
  5. Selemani Sele

    Majina ya nchi za Kiafrika kabla na baada kupata uhuru.

    Watu wengi wanajua tu majina ya nchi bila.kujua historia ya majina hayo kabla na baada ya kubadilishwa. Songa nami. Gold Coast → Ghana 🇬🇭 (1957) Dahomey Republic → Benin Republic 🇧🇯 (1975) Southern Rhodesia → Zimbabwe 🇿🇼 (1980) Portuguese East Africa → Mozambique 🇲🇿 (1975) British East...
  6. Meneja CoLtd

    Mambo Manne Muhimu ya kuzingatia kabla ya kuoa au kuolewa

    Vijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae. Mambo mnne muhimu ya kuzingatia kabla haujafanya maamuzi ni; 1. HOFU YA MUNGU (DINI) Hiki ni kigezo muhimu sana cha...
  7. Superbug

    Toka tupate uhuru zonge la kijinai linaloitesa mamlaka ni kushambuliwa kwa lisu. Dola ijisafishe kabla ya upinzani kushika nchi.

    Mods huu uzi msiufute plz wala ku u merge. Shambulio la lisu ni teso kwa kwa dola. Wenye hekima litanzueni kwa akili kumbukeni muda hautasamehe hili jambo mpaka majibu yapatikane.
  8. Mganguzi

    PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia, kama vijana wa nchi hii, tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo, tangu mwaka 1995 mpaka sasa, hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu...
  9. D

    Naomba kujua viability ya UTT please kabla sijawekeza huko

    Faida zake zikoje kwa wanaojua plz
  10. Replica

    Wananchi 34 wabomolewa nyumba zao kabla ya fidia KIA, utaratibu gani huu?

    Huko KIA wananchi 34 wamebomolewa nyumba zao huku fidia ikiwa haijalipwa kwa madai taratibu za kibenki hazijakamilika. Mkuu wa mkoa anadai pia ni 'huruma ya mama' wao kulipwa fidia kwasababu ni wavamizi eneo hio! Kama waliamua kuwalipa kupitia kodi zetu, kwanini wasingewalipa ndio wabomoe?
  11. G

    Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

    Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa...
  12. M

    Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

    1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo. Tulichoshuhudia MUNGU anajua. 2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
  13. OMOYOGWANE

    UTABIRI: Tume ya Taifa ya Uchaguzi haina maisha marefu, itavunjwa kabla ya 2030

    Hili ni bandiko la utabiri, Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030. Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi mengine ya muhimu tofauti na kupiga kura, lakini NIDA ndio habari ya mjini yaani ni kama maji lazima...
  14. M

    Wakati unakua, nini kwenu mlikuwa mnatoaga nje asubuhi na kukirudisha ndani jioni muda wa kufunga mlango kabla ya kulala?

    Kwetu bwana , kulikuwaga na pikipiki ya babu, miaka hiyo mzee alishindwa kulitengeneza, likawa limekaa tu, sasa linalazwa ukumbini. Asubuhi mnaamka nalo kulitoa kwanza liwapishe, jioni ndo kitu cha mwisho kuingizwa, hata kama umelala bahati mbaya mzee atakuamsha ukaingize piki piki yenu. Basi...
  15. Allen Kilewella

    PreGE2025 CCM kugawanyika kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha. Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mmojawapo wa waasisi wa chama hicho, Mwalimu Julius Nyerere alisema " CCM imegeuka kuwa kama kokoro, inabeba kila...
  16. Webabu

    Marekani yasema bataliani 5 za Israel ziliwafanyia uhalifu Wapalestina hata kabla vita vya Gaza. Iliyomuua Mpalestina Mmarekani kuwekewa vikwazo

    Marekani imefanya utafiti na kugundua ya kuwa jumla ya bataliani 5 za jeshi la IDF zilikuwa zikiwafanyia uhalifu mkubwa wapalestina kabla kuzuka vita vya Gaza. Miongoni mwa bataliani hizo ni ile ya wayahudi wahafidhina la Netzah Yehuda ambayo ilihusika na kumuua mpalestina Omar Assad, ambaye...
  17. youngkato

    Wenye miaka zaidi ya 30, kitu gani unajutia kufanya/kutofanya kabla ya kufikisha miaka 30?

    Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa. Ongezea tujifunze
  18. R

    Shemsa Mohamed wa CCM kabla hujatoa kibanzi kwa Luhaga Mpina anza kutoa boriti jichoni mwako

    Naandika ujumbe huu kwa masikito makubwa juu ya Kauli zako ulizozitoa kwenye mkutano wa ndani wa viongozi wa CCM pale Tarafani Kanadi Wilaya ya Itilima siku ya Tarehe 25.4.2024 kuhusu Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa. Umeutumia mkutano huo wa ndani wa Viongozi wa CCM Itilima badala ya...
  19. OMOYOGWANE

    Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja. Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
  20. Mto Songwe

    Je, ni sawa kwa Rais Samia kuiunga mkono Somalia kiusalama?

    “Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia Suluhu Sasa nchi yetu tumekwisha iendeleza na kuilinda vya kutosha sasa tuna vuka kwenda kuwajenga na kuwaendeleza wengine...
Back
Top Bottom