kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi

    Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi. Mi yangu ni hayo tu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumlaumu refa kuongeza DK 15, je, wewe ulihesabu DK Ambazo mchezo ulisimama?

    Si mama kwenye ukweli pasipo na ushabiki, wewe unaepinga Jana refa kuongeza DK 15, tueleze wewe ulizihesabu NI DK ngapi zilipotezwa na pia lile tukio la ubishi WA kado nyekundu Kwa kipa ndio lililozaa upotevu mkubwa WA muda Liliana DK ya ngapi na liliishia DK ya ngapi?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Niliuliza jina la mfalme wa Palestina kabla ya 1948, hakuna alieweza ! Naongeza dau milioni 2 mtaje himaya ya wapalestina iliyokuwepo kabla ya 1948

    Niliweka humu uzi wa kugawa milioni 1 ikiwa kuna mtu atataja hata kiongozi mmoja tu wa kiarabu aliewahi kuongoza nchi inayoitwa palestina (kama ilikuwepo) hakuna hata moja kaweza Watu waliojaribu kwa mbali wamemtaja “Haj Amin al-Husayni” Hata hivyo huyu hakuwa kiongozi wa kitaifa wa Palestina...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msiende kwa Rais kabla ya kupitia kwa IGP

    Polisi wamejipanga vizuri kuelekea uchaguzi mkuu ... Jambo hapa enzi hizo ikiitwa jambo furums mababu mnaikumbuka . Wamekamatwa wafuasi na wasiokuwa wafuasi wa CHADEMA siku ya mwanzo ya kesi ya Mheshimiwa Lisu kwa visingizio mbalimbali ,tuseme vinakubalika/havikubaliki. Kati ya habari between...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini Historia ya Tanzania kabla ya uhuru ina masimulizi mengi tofauti kwa jambo moja?

    Tanzania mambo ya miaka 1800's na 1900's unaweza kupewa historia moja ina versions(masimulizi) mawili au matatu tofauti kabisa! Kwa nini imekuwa hivi ikiwa inasemekana watu wengi wa pwani tayari walikuwa wanajua kuandika na kusoma enzi hizi? Ukienda Marekani Chuo kikuu cha Havard...
  6. JamiiForums Tanzania Kabla hujaenda ngazi moja ya elimu au hujampeleka mtoto kwenye ngazi mpya ya Elimu jiulize swali hili

    Si kwamba elimu ni useless, hapana. Elimu ni very potential asset lakini inapokaa kichwani mwa mtu na haina impact hiyo elimu ni useless. Kupoteza muda na fedha tu. Sasa una degree ya miaka 3 au 4 then unakuja kulowea kwenye bodaboda hiyo elimu ni useless. Umeitia serikali hasara kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kabla ya Babu wa Loliondo kulikuwa na Ngetwa

    Kwa wale waliotumia hii dawa je ilikuwa ni ya kweli au ndo scam kama scam zingine? Jana anasema ni dawa ya miti zaidi ya 12.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  9. JamiiForums Tanzania 🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoto ya JPM mwezi mmoja kabla hajafariki.

    Akitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare" kesho yake wakiwa jogging na mkewe,akamuhadhithia ile ndoto akamwambia,"Mwenzio Jana usiku nimeota...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu unawatosha G55 kuanzisha chama chao kipya kushiriki uchaguzi?

    Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
  12. JamiiForums Tanzania HooneyMoon itangulie kabla ya ndoa. Watumishi wa mungu lisimamieni hili kuokoa ndoa za watu

    Kila mmoja atakubaliana na mimi kua kwasasa ndoa nyingi zinavunjika na ukijaribu kufuatilia kwa undani na kwa umakini zaidi sababu hasa ya ndoa hizo kuvunjika utagundua kua hakuna sababu zozote za msingi zinazopelekea ndoa hizo kuvunjika...utakuta sababu ni zilezile za siku zote kama vile...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  14. JamiiForums Tanzania Tabia nyengine za wapenzi wetu tusizilaumu sana, pengine alikutana na zimwi kabla yako!

    Ukute alikuwa mtoaji mzuri tu si mchoyo, alikuwa anashare taarifa,pesa n.k Lakini alipokutana na kurumbembe ambalo halikufunzwa kwao likamnyoosha. nayeye binti/kaka wa watu akaona isiwe tabu, Namna yakwenda na hawa walimwengu ni "Jino kwa jino!". kila binadamu huwa ana namna yakujilinda...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwl Mbelwa Petro aikacha CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu

    WASIRA AYAMALIZA NA MBELWA PETRO WA CHADEMA ZIARA YAKE YA KWANZA MKOANI KAGERA Na Grace Mpondwe. Katika hali isiyotarajiwa leo Machi 25, 2025 aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo mwaka 2020 kupitia CHADEMA amekihama chama hicho na kujiunga na CCM akipokelewa na kukabidhi...
  16. JamiiForums Tanzania Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 GEITA, Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita. Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati...
  18. JamiiForums Tanzania Andiko Hili Huthibitisha kwamba Watu hujua Mambo ya Mbele (Spiritual Foresighting)/ ClairVoyance, Wengine Huyasema Na Wengine Huchagua Kuyaweka Siri

    Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia.. Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020.. Ambao Ulikuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi dhidi ya Lissu ni kesi dhaifu sana, Jamhuri ondoeni hii kitu kabla hamjapata aibu

    Kesi dhidi ya Lissu imejikita kwenye dhana kuwa ametoa kauli ya 1. Kuhamasisha uasi 2. Kuzuia uchaguzi 3. Kukinukisha. Makosa yote hayo ni abstract, hayana legal stand na ni vigumu kwa Jamhuri kutengeneza kesi ya maana. Sanasana inaenda kumdhalilisha SSH, Polisi, Mwendesha Mashitaka na dola...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuskim nyumba kabla ya kuweka Gypsum board?

    Members nawasalimu, Ningependa kufahamu kama ninaweza kuskim nyumba yangu kabla ya kuweka Gypsum board ? Nyumba yangu imefikia hatua ambayo nimeshawasha umeme wa tanesco ila ni sehemu chache sio zote na kuna kijana nimemuweka hapo,hivyo natakiwa awamu hii nimalizie wiring sehemu zote ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…