Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.
Kabla ya kuanguka kwa utawala wa Iddi Amin Dada nchini Uganda (aliyetawala kutoka 1971 hadi 1979), kulikuwepo na kipindi cha mauaji ya kikatili yaliyofanywa dhidi ya watu aliowahisi au kuwashuku kuwa ni wapinzani wake.
Iddi Amin alitawala kwa mkono wa chuma na alihofia sana mapinduzi dhidi...
Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
Umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba ni mkubwa sana kabla ya kuanza ujenzi. Hapa ni sababu kuu:
1. Mwongozo wa Ujenzi: Ramani inaelekeza kila hatua ya ujenzi, kuanzia msingi hadi paa.
2. Kuzuia Makosa: Inasaidia kuepuka makosa ya kiufundi, kupunguza uharibifu wa vifaa na kazi ya kurudia.
3...
Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi.
Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote vinavyotakiwa pale.
Siku ingine tukakutana naye hardware kununua vile vifaa alivyoviandika yeye fundi...
Ni Muda tu lakini Tanzania itakuwa na mfumo kama wa Kenya kwasababu watu hao hao, wote wanapenda uhuru , jamii ni moja, utamaduni ni mmoja. Tofauti ya Kenya na Tanzania ni mifumo tu. Mfumo wa Kenya utashinda kwasbabu unaleta maendeleo zaidi na jamii ya watu wa Kenya na Tanzania wanapenda uhuru...
Je, unajua ukubwa wa shamba lako? Je, umechunguza hali ya udongo unaotumia kila msimu?
Kufanya kilimo bila taarifa hizi ni sawa na kuingia kwenye giza nene bila tochi!
Leo #RubabaTV tupo Shigagati - Geita Vijijini tukitembelea shamba la mkulima wa mpunga kwa ajili ya:
🧪 Kupima udongo
📏 Kupima...
Mahakamani ni mahala pa heshima sana na nidhamu ya hali ya juu. Kuna mabango ya kuzuia kelele na watuhumiwa pia hukaa kwa nidhamu.
Nimeshangaa leo mtuhumiwa anapiga kelele yeye na wenzake kama yuko gulioni. Hii ni aibu kubwa sana kwa Mahakama kuona mwenendo wa shauri unakuwa influenced...
Nina mifano mingi.. Lakini kuwa na subra na kufuata utaratibu daima humpa mtu matokeo bora tena kwa wivu mkubwa Sana
Subiri wakati sahihi ufike ndio ufanye jambo lako kwa utaratibu uliowekwa.. Utajikuta unapewa maua yako bila hata kutarajia
Kuna matukio ya suprise..hayapaswi kujulikana na...
Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati.
Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga upya Gaza na kwamba wanapinga kuhamishwa kwa wapalestina kutoka ardhi yao hiyo.
Mkutano huo...
Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.
Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
Habari wana Jamiii. Wenzangu.. Bila kupoteza muda. Nimeamua kushare na wenzangu humu jukwaani uzoefu wangu niliopitia katika ndoa. Ipo hivi nime ngundua kufanya Utafiti usio rasmi.
Kuwa mwanamke ambaye unaishi naye (Bila kujali umeuoa au laa) akitoa kauli ipuuziee kwa sababu wanawake huongea...
Tafakari sana kabla hujafikia hitimisho Fulani ambalo ndio litakuwa la kudumu katika maisha yako.
Kuna watu wengi sana ambao shetani kawafumba macho, na kuwafanya wasifikiri vyema kabla ya kufikia hitimisho la maisha yao.
Kwamfano kuna watu wanatazama mwenendo wa watumishi wa uongo, au...
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi.
Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe nimuulize vipi naona mtoto analia. Akanambia anaelekea Vingunguti na hana nauli hivyo wanatembea...
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
Tunatoa ultimatum,si bunduki itayotutusha Wala si yeyote,kama Mdude hasipopatikana basi tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa na tutawajua ni kina nani wanawateka Watanganyika,hatuwezi kukaa katika nchi yetu halafu tunaogopa mtu fulani atatuteka.
Papa Leo I (ambaye huitwa pia "Leo Mkuu") alikuwa mmoja wa Mapapa muhimu sana katika historia ya Kanisa Katoliki.
Alitawala kama Papa kuanzia mwaka 440 hadi 461 BK, na alijulikana kwa hekima, uongozi madhubuti wa kiroho, na mchango wake mkubwa katika kuunda mafundisho ya Kanisa.
Maisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.