kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mafuta hayashuki bei? Data zinaonyesha mafuta yanatoka mashariki ya kati kwa wingi kuliko hata kabla ya vita

    Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza. Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?
  2. JamiiForums Tanzania GEMINI AI PRO HAITENGENEZI VIDEO NZURI KWA SABABU TU NI AI—UBORA WA VIDEO YAKO UNAANZIA KWENYE NAMNA UNAVYOIFIKIRIA KABLA HATA HUJABONYEZA “GENERATE.

    Watu wawili wanaweza kutumia AI ileile, lakini mmoja akatengeneza video inayokufanya usimame ku-scroll, wakati mwingine akapata video inayoonekana wazi imetengenezwa na AI. Tofauti mara nyingi si AI wanayotumia. Tofauti ni namna wanavyoitumia. Kama unatumia Gemini AI Pro katika workflow yako ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini kabla ya tendo unampenda sana, ukishamaliza unataka kurudi kwako?

    Kuna hii tabia unakuwa na hamu sana kabla ya tendo halafu baada ya kumaliza ghafla hata ile hamu ya kumuona mwanamke inapungua, tumetoa wapi? Naangalia hata kwa wanyama kina simba madume mengi baada ya mating yanaonekana kama maisha yanaendelea tu Hakuna habari za romance wala nini.sawa hao...
  4. JamiiForums Tanzania Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

    Jambo Tanzania Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha, Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini. Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi...
  5. JamiiForums Tanzania Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

    Jumatatu ambayo ni bafudei yangu nitaenda kujifungua kwa upirashioni na hivyo iwapo nitafia kule fieta sitaki yeyote aliye hai anikumbuke kwa ubaya na iwapo nitajifungua salama nataka ninyonyeshe mtoto wangu maziwa yanayotoka katika kifua safi kisicho sumu za chuki,kinyongo wala hasira juu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi mtuhumiwa wa uhaini, yoyote yule duniani alie korokoroni, anaweza kua anatafakari au kuwaza nini hasa kabla ya siku yake ya hukumu?

    Au atakua anajutia kilichomfikisha hapo alipo sasa, na kujutia kushindwa kutimiza ndoto zake za kisiasa kidemokrasia lakini pia kimapinduzi? Au anaweza kua amekata tamaa kabisa ya maisha na anajiskia changanyikiwa? Najaribu kuwaza kisiasa tu, na ninatamani kuona maoni yako kwenye hili...
  7. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  9. JamiiForums Tanzania LATRA tumieni technolojia kudhibiti madereva barabarani kabla ya kuongeza sheria nyingine.

    Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nikweli Wicknell Chivayo ndiye aliyelie import Kontena la Silaha kabla ya October 29?

    Kama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja? Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari. Kosa lilianzia pale walipo ruhusu bandari yetu ichukuliwe mbele ya macho yao kizembe kabisa.
  11. JamiiForums Tanzania Serikali inajilaumu sana kumkamata Lissu kabla ya 29 October 2025.=

    Nimejaribu kufuatilia hii kesi tangu ilivyoanza mpaka sasa unaona kabisa serikali inajilaumu kuwahi kumkamata Lissu kabla ya yale machafuko(maandamano halali). Ndo maana kuna kipindi wakataka kuleta ushahidi mpya lakini Gwiji La sheria duniani Ndugu Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU akapangua...
  12. JamiiForums Tanzania Abiria wanaopanda bodaboda wasio na leseni nao watozwe Faini. Kabla hujapanda boda, uliza leseni kwanza

    ABIRIA WANAOPANDA BODABODA WASIO NA LESENI NAO WATOZWE FAINI. KABLA HUJAPANDA BODABODA, ULIZA LESENI KWANZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Leseni ni kama kadi tuu. Inaweza kuwa softcopy kwa wenye simu kubwa, au hardcopy kwa wasio na simu. Sio mzigo mkubwa. Haya mambo mtu anajifunza...
  13. JamiiForums Tanzania Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana

    Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana. Mwaka 2001 nilikuwa bado mtoto. Sikujua mengi kuhusu maisha. Nilichojua ni kucheza, kula, kwenda shule na kurudi nyumbani. Lakini nikikaa leo na kuangalia nyuma, naona kumbe kipindi kile kilikuwa na mambo mengi ambayo sikuyaelewa. Mtaa...
  15. JamiiForums Tanzania Pixel za Mtumba: Jua Siri Hizi Kabla Hujanunua

    Unakuta Google Pixel 6 au Pixel 7 ya mtumba inauzwa TSh 400,000 hadi 650,000 Bongo. Ukipiga picha hapo hapo dukani, inakupa muonekano safi kuliko hata Iphone ya milioni mbili. Unainunua kwa furaha kutoka Kariakoo, Mlimani City, au kwa wauzaji wa Instagram. Lakini wiki mbili baadaye, unajikuta...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha habari Simba wekeni kumbukumbu ya wanasimba wanaotumika kuhujumu timu kabla ya mechi za derby

    1. Karibu influencers wote wa Simba wanatumika kuhujumu timu.Ni kama wanne ama watano tu ndio tunawaona wakiwa sawa wakiongozwa na pasi milioni. 2. Viongozi wanaoanzisha choko choko na kuleta taharuki aidha kwa kauli zao ama matendo yao 3. Waandishi na wachambuzi mfano wale wanaoongelea ofa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu bado anajitafuta, nimepata kazi kabla yake. Je, nikope hela nimpe mtaji tuoane kama tulivyopanga tukiwa chuo?

    Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania TIMU BIKIRA : KAMA WEWE NI TIMU BIKIRA,ACHA KULA MBUSUSU KABLA HUJAOA.

    Kuna vijana wengi wanajifanya ni timu BIKIRA. Ukweli ni kwamba, sahivi hakuna kijana ambaye ni timu BIKIRA. Vipi utajiita timu BIKIRA wakati una demu kila uchochoro,ajabu unatongoza hadi wake wa watu. Huyo binti unayemchanyata kila siku anafikiri ni nani atakuja kumuoa, kumbuka malaya wa kiume...
  19. JamiiForums Tanzania Ili Heche awe Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa baada ya hukumu, na ili aiongoze chadema kwa utulivu kabla ya kufutwa, ni lazima ambandue Lema CHADEMA

    Je, Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama? In fact, Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Jux: Walipo Sasa

    Juma Msambilia , Jux tangu abalehe amekuwa na wanawake wengi kingono kabla ya kuja kuoa Priscilla. Wanawake hao , wengi wameolewa ila Jux anajua miili yao maana alikuwa analala nao, anaoga nao, anakula nao , na kuwafanyia masaji. Mbali na hayo yote, jux kwa sasa anatamba na mke wake aitwaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…