jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ mpelekeni haraka Oman kwa Wajomba zake na Itisheni baraza la Uongozi la Kitaifa

    Wananchi tumeshachukua nchi yetu. Tunawaomba sana makamanda wetu tunaowapenda sana. Taasisi pekee tunayoiamini wananchi. Tuondoleeni huyo mama mpandisheni ndege aende kwa wajomba zake Oman. Itisheni haraka baraza la Uongozi la Kitaifa chini ya Jeshi tuanze kuijenga upya nchi yetu.
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania JWTZ kule hakuna maneno ni muda wa vitendo. Get ready

    Mwenye kusikia na asikie Hapa hamna mboyoyo Tegemea kuona jambo jipya mno, ambalo wote hamkutajia
  3. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania JWTZ kama na ninyi mmeanza kukamatwa{kutekwa}, je sisi mlioapa kutulinda tutalindwa na nani dhidi ya watekaji?

    Nimetumia neno utekaji ikiwa na maana jeshi la police halikutoa taarifa yoyote ile kama kuna wanajeshi wamekamatwa na kufikishwa mahali sahihi bali hadi pale wenzao walipovujisha audio ile. KWENU JWTZ Kimbilio letu pekee lilikuwa limebaki kwenu ghafla pasipo kutegemea vihepele wa police...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania JWTZ mnakubali vipi kuwa mateka wa Mafwele?

    Kipindi Niko pale JKT tulifundishwa kuwa askari yupo tayari kufa ili kumwokoa askari mwenzake Yaani Deep state wanamtumia Mafwele kuwadidimiza na kuwatia hofu JWTZ Huyo bwana anajisifu ati hadi ana maaskari wa JWTZ na ukimskiliza ati wamechana picha ya mgombea wa CCM iliyobandikwa kwenye...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamedhihirisha ni Maadui wa JWTZ, Madaktari, Walimu, Vijana; Tuitikie Walichokianzisha Kila Mtu Kwa Nafasi Yake.

    Kwenye ile clip ya Muliro na Mafwele, Mafwele ametamba na kutoa idadi ya wanajeshi wa JWTZ waliowateka ambao bado wanawashikilia, akawataja idadi ya madaktari waliowateka na kuwashikilia, akataja idadi ya walimu waliowateka na kuwashikilia, amewataja wahasibu waliowateka na kuwashikilia...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Unajiuliza huyu Mafwele anajikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ?

    Unajiuliza huyu mafwele anijikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ hizi ni dharau. Eneo la makazi ya watu sio eneo la matangazo hatuwezi kusema kubandika matangazo kwenye nyumba za watu badala ya maeneo husika ni kosa. inamaana mgombea wa uraisi hana hela za kutengeneza matangazo kwenye...
  7. Tochuku

    JamiiForums Tanzania JWTZ, kweli mtu wa Jeshi la Polisi anawateka kama si kuwakamata your brothers na MPO kimya tu...

    Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao... halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu... Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama...
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sio kwa Ubaya, ila Kutumia JWTZ kwenye mambo ya Kisiasa ni Jambo ambalo sioni kama Lina mwisho Mzuri Mbeleni

    Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Enyi JWTZ Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo

    Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo. Fungeni mikanda ya maamuzi. Kwa mkijua, nchi inauzwa. Ngorongoro imeuzwa. Bandandari imeuzwa. Pori la Loliondo limeuzwa. Madini yameuzwa. Ni kipi kimebaki kwa ajili ya wanetu? Ndugu zetu wanatekwa, wanauawa, na wanafungwa bila sababu. Yote...
  10. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

    Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake kwa hivyo...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuandamana kufanya kazi iliyotakiwa kufanywa na JWTZ

    Jana imetoka taarifa ikidai Kuna wananjeshi 500 wa Uganda wameingia kupitia ziwa Victoria kinyemela Ili kuja kuzuia waandamanaji na hata kuwaua kabisa sababu nchi hii mwananchi Hana thamani Sasa najiuliza JWTZ huwa wanalinda mipaka gani mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanaingia, halafu eti...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

    Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania. Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi. Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Twende taratibu: JWTZ wasije wakanogewa na “Matamko” na kuwashangaza akina Msigwa na chawa wengine. Muda mwalimu mzuri

    Haya matamko ya JWTZ mfululizo hivi mbona hayajawahi kuwepo kabla; yanakuwa mengi kupitiliza and so it leads someone to wonder, kwamba hali ya nchi ni tete kiasi gani hadi kuwalazimu JWTZ kutoka hadharani kila siku “kutufokea”? Je, kuna Udhaifu au Ombwe la Uongozi katika Serikali na vyombo...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Kosa kubwa mtakalofanya sasa ni kuacha kusimama na Wananchi na kuegemea kwa watesi wa Wananchi

    Kosa mnalotaka kulifanya litawagharimu milele. Kimbilio la mwisho la Wananchi ni Jeshi lao na pale Wanasiasa wanapokengeuka Jeshi huwa ndo linasimama na Wananchi. Kosa kubwa mtakalofanya sasa ni kuacha kusimama na Wananchi na kuegemea kwa watesi wa Wananchi. Wananchi wamewachoka watawala...
  15. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania JWTZ tunaomba msaada wenu wa haraka

    Naomba mtusaidie, kwa leo tuu nimeona wamepotea watu wasiopungua watano, na ambao wanapotea bila taarifa hapo bado hatujajua. Hembu hili jambo fanyeni kweli, sio jambo la kisiasa tena hili nahisi KUNA BIASHARA YA VIUNGO VYA BINADAMU INAFANYIKA. JESHI LETU WAKATI NDIO HUU. Leo nimeona watoto...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ mmeona ya Polepole? Mmeona Wananchi wanavyotekwa na Kuuawa? Mmeona Ufisadi wa Viongozi?

    Jeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini? Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude? Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa...
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania JWTZ Hawaruhusiwi Kutumia yale Mafunzo ya Kuokoa Mateka Kuokoa Wanaotekwa Tanzania?

    Kwenye maadhimisho ya 9 December huwa naona makamanda wetu wanavyo tuonesha umahiri wao katika kuokoa mateka. Kwakua wao ni walinzi wa wananchi na katiba yetu, je hawawezi kutumia mbinu zile zile kuokoa mateka wa Mafwele na kuwakabidhi kwa jeshi la polisi ili wawapeleke makwao au kuwafikisha...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania JWTZ watajifanya hawajamuona kisa kasimama kwenye Jukwaa la CCM

    Kuna huyu msanii anaitwa Magambo, akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM mbele ya Samia Suluhu, ameonekana akiwa kavaa suruali yenye muonekano kama ya Jeshi. Ni kosa kuvaa nguo zenye mfanano sawa na majeshi ya nchini na kuna kipindi fulani tulisumbuliwa sana, nikiwepo mimi chupuchupu...
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania JWTZ vyombo vya ulinzi na usalama waliokula kiapo kulinda usalama na kutetea watanzania viko wapi wakati huu watu wanatekwa na kuuawa?

    Haya majeshi sijui yaliundwa kwa ajiki ya kuitetea CCM na kuilinda serikali? Wametekwa watu mchana kweupe, Mzee Ally Kibao, na sasa Humphrey Polepole, kisa wamezungumza na wametoa maoni yao ya wazi na yenye nia njema na nchi, ila wanatekwa na majeshi yetu yapo tu! Kazi yao kufanya jogging na...
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jeshini kwa moto: Wakataa kutumika kisiasa na wanahoji kwanini Magari ya Jeshi yanapigwa Chata za CCM pale Keko?

    Tanzania Hii wasio na vyeo ndo wanaweza ikomboa, achana na hawa ambao wana vyeo na wana access ya ikulu hao wanaona wana cha kupoteza, Ila vijana zaidi ya 320 ndani ya jeshi na wenye ushawishi wanahoji kwanini UVCCM na CCM imeingilia shughuli za jeshi na kuanza kupeleka magari ya jeshi keko...
Back
Top Bottom