jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Majukumu ya Msingi ya JWTZ: Tathmini za Shughuli Wanazozifanya Sasa Mitaani

    Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja: 1. Kulinda...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Kagame vizuri kuhusu Mapinduzi Afrika, ni kama alikuwa anaongea na JWTZ

    Kila mtu anashangaaa. Wachambuzi wa Afrika wanashangaa. Wachambuzi wa Dunia wanashangaa. Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo...
  3. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania KUNA UMUHIMU WOWOTE KWA RAIA KUWAPENDA AU KUWA HESHIMU JWTZ?

    Jambo baya linalo endelea mtaani ni kwamba wananchi wana lidharau sana Jeshi lao kwa sasa Jeshi linaonekana kamq wasaliti wasio na msimamo kama walivyo paswa kuwa .. Raia kwa miaka mingi wana chukulia jeshi ni mkombozi wa wanachi hasa kukiwa na udharimu unafanywa na serikali pamoja na polisi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Polisi, JWTZ mnakubali tanganyika iuliwe na Zanzibar?

    Jitafakari tena. Yangu ni hayo.
  5. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Mna uhakika hawa ni JWTZ?

    Nimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu. How comes? Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM? Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

    Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili? Hivi Hili ni...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 ni nafasi ya tatu na Mwisho kwa JWTZ kuonyesha Uzalendo wao tutawahukumu baada ya hili

    Hawa jamaa mungu ana mpango nao kama kweli waliapa kuilinda katiba,rasilimali na watu wake kwa wivu mkubwa haya ndo majaribio matatu makubwa wanapewa sasa. 1. March 17 Mwaka 2021 Walishindwa kutetea katiba Visingizio kibao pamoja nakuonywa na wazalendo ona sasa yanayotokea 2. October 29 Mwaka...
  8. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Eti Jwtz linalinda mipaka lakini halilindi vilivyomo ndani ya mipaka

    Jwtz acheni kutuongopea wananchi. Mnasema mliapa kulinda mipaka ya nchi, lakini mbona hamlindi vilivyomo ndani ya mipaka?? 1 MIPAKA Hiyo mipaka yenyewe mbona hamuilindi?? Kama mnalinda mipaka, kwanini toka kabla ya tarehe 29 Oct 2025 kulikuwa na tetesi kuna watu wameingizwa nchini kuua...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa JWTZ Mliopewa kazi ya kufanya lindo kwenye miji mikubwa

    Ndugu zetu Askari, najua wengi wenu mnatamani kuona Mambo ya Guniea na Madagascar yanafanyika, ila kwa sababu kadhaa na mobilization inakuwa ngumu, hivyo basi niwatake hakikisheni mnachukua Risasi kadhaa kila mkitoka kambini, zimeenda wapi nyie ni watu werevu mtaweza kuelezea hilo swali...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusitegemee msaada wowote wa JWTZ siku ya D9

    MO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi MBELE YA MACHO YAO bila msaada wowote. Inasikitisha. Safari hii D9, Watanganyika wote wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tusiweke...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa wanajeshi (JWTZ) mtaani tar 29 ndio kumeongeza maafa zaidi

    kama hukutoka tar 29 na unampango wa kufanya hivyo D9 bas nakushauri usijeingia mkenge wa hawa jamaa ukiamini wako pamoja na nyie, na nimasikitiko yangu kua bado Mange anauza narratives zile zile kua jamaa safari hi wamejipanga na wako pamoja na sisi, sii ni hatari sana. kwanini nasema...
  13. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

    Jeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9 msiogope tutashinda hii vita.
  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia awatunuku kamisheni maofisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo Novemba 22, 2025 amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Rais Samia amewatunuku maofisa hao katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) kilichopo Monduli mkoani Arusha. Ambapo maofisa hao ni...
  17. concordile 101

    JamiiForums Tanzania Jinsi kikundi cha watekaji cha wasiojulikana kinavyoweza kuja kuwa na nguvu kuliko JWTz tukizembea

    Katika miaka ya karibuni, baadhi ya matukio ya utekaji na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu yamehusishwa na kile kinachoitwa kikundi cha wasiojulikana nchini Tanzania. Ingawa taarifa zao ni za kusikika tu bila ushahidi wa wazi, mjadala kuhusu uwezekano wa kikundi hiki uongezeka na tishio...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu wanauliza kuhusu JWTz kupiga risasi raia, mimi sikuona wakipiga mtu. Kiufupi hakuna atakayepigwa risasi #D9 na JWTZ

    Niwe muwazi kabisa Watu wanauliza kuhusu jeshi kupiga raia mimi sikuona JWTZ ikipiga mtu oct 29 kiufupi hakuna atakayepigwa risasi #D9 na JWTZ na haitowahi kutokea licha ya JWTZ kuonesha bendera nyekundu ya vita, wengi hawakushuka hata kwenye magari ya vita, huku magari mengi ya jeshi wananchi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano ya Gen Z, sababu ya Mawaziri wa Polisi na JWTZ kuoneshwa mlango na Samia?

    Kina nani wengine ndani ya vyombo hivi kutupiwa zigo la lawama ya mauaji ya mamia ya watanzania baada ya hawa mawaziri kutupwa nje ya baraza la mawaziri . 17 November 2025 Dar es Salaam, Tanzania SAMIA HASSAN DROPS TWO KEY SECRETARY OF STATES FROM HER NEW CABINET, THEY WERE RESPONSIBLE FOR...
  20. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua Mali ya Umma

    Wananchi kwa pamoja tunatakiwa kuungana kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama wala dini zetu kama kweli tumeumizwa na vifo vya wapendwa wetu basi vyombo vya dola baadhi ya Taasisi mihimili vinaitaji kukombolewa...
Back
Top Bottom