jux

Juma Mussa Mkambala (born 1 September 1989), popularly known by his artist name Jux and sometimes referred to as 'African Boy', is a Tanzanian Artist and Songwriter. Born in Dar es Salaam, his interest in music began at a young age, when at the age of 16 he began to rap. However it is his singing that he is best known for to date, and is considered one of Tanzania's highest paid artists. In 2008 when Jux signed to Tanzanian record label A.M records, he began to record R&B songs instead. Since then he has released several hit songs, including 'Sugua' featuring Diamond Platnumz, 'Juu' featuring Vanessa Mdee, and most recently 'Regina' featuring Otile Brown. In 2018 his song 'Uzuri Wako' (translation: Your Goodness) was banned by the Tanzanian Communications Regulatory Authority, along with songs from several other artists, including Diamond Platnumz, for going against Tanzanian morals and values.In 2015, he received an award for 'Best R&B song' at Kili Music Awards, also known as the national Tanzania Music Awards. In 2017 he received an award for the Best East African Music Video at the Zanzibar International Film Festival (2017). And in 2018 and 2019, he was nominated for 'Best Male East Africa' at the AFRIMMA awards. He also appeared performed on Coke Studio Africa in 2019. After numerous single releases, his first album titled 'The Love Album' was released in 2019, featuring tracks from several artists including Nigerian artist Singah and Diamond Platnumz.

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jux anafanya wanaume wote wa Tanzania tuonekane wastaarabu kwenye mapenzi

    Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi kabisa Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu. Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi Sasa mdogo...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Groomsmen wa Jux mlipaswa kuvaa vazi la Kitanzania sio pink vazi la ki-Nigeria!

    Inasikitisha Groomsmen wa Jux kuvaa Pink tena vazi la Nigeria! Tuwaeleweje? Bora hata mngevaa lubega la kimasai.
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca

    Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca. Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana . Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana . Na itakuongezea heshima 35 Yrs Jux 23 Yrs Prisca.
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Jux alipaswa kupewa ndege impeleke harusini Nigeria

    Kwa mchango wa Wasanii wetu katika ushindi wa Chama. Jux alistahili Boeing 787 impeleke pamoja na Wasanii wote Lagos achukue jiko na kumrudisha nchini. Pia ubalozi wetu Abuja ilipaswa kushiriki kikamilifu kwenye harusi hii ya kipekee.
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

    Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, pozi na madoido yake akina dada wakasome kwasababu hawamuwezi, Jux kayakanyaga

    Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, kijana wetu Jux kayakanyaga Pozi la mjomba pamoja na madoido akina dada wakasome kwasababu hawaingii ndani
  7. Donatila

    JamiiForums Tanzania JUX na Vee Money mpambano unaendelea

    Habari wakuu, Bwana mi nimewamiss, Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea. JUX kwanini aoe Nigeria? Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga. Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa...
  8. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

    Majanga, na wao, wahala! Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria? Kwani wadada wa Tz wana shida gani? Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri Angalia current girl friend jamaan Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Private jet ya Jux kuwasili Jumanne

    Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye mapokezi.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Vanessa bila kujiondoa kwa Jux angechunda!

    Vanessa alitumia akili ya kuzaliwa kujiondoa kwenye uswahili. Akajiweka sehemu inayoeleweka. Fikiria mpaka leo angekua bado anatembelea IST na kubebeshwa unga ingekuaje?
  11. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Leo natafuta Wimbo wa Jux wa Sisikii wenye mdada

    Nyimbo inaitwa SISIKII ila sio ile yenyewe. Hii kuna na sauti ya mdada, yaani Jux mwenyewe anaimba alafu na mdada anaimba pia nyimbo ni ileile ya Jux sisikii. Sijui ndio mnasemaga cover sijui ndio remix sijui ndio karoekore misijui tena.
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kati ya Shilole (Shishi Baby) na Juma Jux (African Boy) nani mkali zaidi?

    Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi? Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube. SHILOLE 1. Lawama 2. Nakomaa na jiji 3...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
  14. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera Jux kwa mafanikio haya

    Hongera sana msanii Juma Mkambala aka Jux kwa kufikisha subscribers million 1. Kutoka kwenye subscribers laki 4 hadi 1 million ndani ya miezi mitatu ni jambo la kupongezwa. Ni nzuri sana kibiashara. Sisi wapenda burudani na maendeleo ya vijana tunakupongeza sana na tunafurahi kuona kijana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa enjoy ungekuwa ni collabo kati ya Jux na msanii wa kawaida ingetisha sana

    Kuna muda unafika kwa Msanii mkubwa kutokuwa na jipya katika jamii hata utoe ngoma kali kiasi gani. Ndivyo ilivyo sasa kwa Diamond, hana jipya la kuwavutia mashabiki na wapenzi wa music, labda aimbe nyimbo zake za zamani. Watu wanataka ladha mpya kuanzia personality, sauti nk. Ni kama...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  17. Brother Wako

    JamiiForums Tanzania Marioo The Kid You Know Album Review: The Mix Of Bongofleva, Afrobeat And Amapiano Collaborations Of Wakali Wa Africa

    Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Jux apewe ajira ya kuwa mwalimu chuoni (lecturer), anafaa kuwa balozi wa kuwapa moyo vijana wasiache elimu kwajili ya usanii

    Asisubiriwe mpaka apoe, muda sahihi ni huu wakati bado anashika chati kwenye muziki. Jux ni msanii alieweza kufanya muziki na kusoma kwa mpigo, anastahili kupewa ajira ya kipendeleo kabisa, ilibidi na mshahara wa ziada ili awe balozi kwa vijana wengi nao watamani kupita njia aliyopitia Jux...
  19. Poker

    JamiiForums Tanzania Huddah akiri Juma Jux ni zaidi ya Diamond Platnumz katika kila nyanja!

    Yule mrembo matata ambaye kwa sasa yupo karibu sana na msanii matata wa kiume a.k.a Jux, amekiri kupitia kituo kimoja cha redio kwamba Jux ako na hela mingi kuliko Mondi sema hana kelele na wako mbioni kuanzisha brand yao mpya hapa Tz. Ifahamike Huddah tayari amelamba dili nono huko 21st...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Darasa na Jux wachukizwa na Harmonize kwa kuwataja kwenye shoo bila makubaliano

    Harmonize ameanza kuipigia promo show yake ambayo inafanyika mnamo wa tarehe 5 March, katika matangazo hayo amewa-list wasanii wengi wa nje na wa ndani, ila Jux na Darrasa wamem-maindi baada ya kuyaweka majina yao bila ya kuongea na management zao.
Back
Top Bottom