junior

  1. Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

    Nyota huyo wa Real Madrid amesema hayo baada ya kutolewa kauli za kibaguzi na mashabiki wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia katika Ligi Kuu ya Hispania 'La Liga'. Baada ya mchezo huo ambao Vinicius alitolewa kwa kadi nyekundu, amesema "Ligi ambayo walicheza Ronaldinho...
  2. U

    Vinicius Junior Vs Ducapel Moloko, Nani Winga Mkali

    Picha: Vinicius Junior Picha: Ducapel Moloko Turejee kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African. Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio...
  3. T

    Utabiri wakutisha ktk mbuga za Serengeti Kifo cha Simba dume Bob Junior

    Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea. Mimi nataka kuwaambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex. Ktk mbuga ya Serengeti...
  4. Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
  5. K

    General Venance Mabeyo kakosea kusimama kulia kwa Rais Samia. Mwanajeshi senior anakaa kulia kwa junior

    Hakuna siku ya furaha kama leo ambapo kwa mara ya kwanza Amiri Jeshi Mkuu wetu, Samia Suluhu amevaa magwanda ya jeshi. Binafsi kwangu nimefurahi kumuona mama na magwanda yake. Hongera mama yetu Rais Samia. Zipo porojo za wasiofahamu wanahoji kwa nini kavaa wakati Kikwete, Mkapa na Mwinyi...
  6. Junior anaonyesha uwezo wake wa kutumia mikono na miguu

  7. Walimu wa English medium wana nafasi kubwa ya kufunga ndoa na wazazi wakina Junior

    Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa. Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
  8. Usiku wa kwanza katika ardhi ya Tanzania, Junior alilala mahabusu Keko

    Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka mitano. Baada ya sherehe yake ya kuzaliwa akifikisha miaka 18, babu na bibi walimnunulia tiketi aje...
  9. Junior Software developer Position

    Juutech Solutions is an uprising Tanzanian startup company that is aspiring to do great things. Currently, the company is looking for an ambitious junior developer to fill one post. Please see details below. Position: Junior Software Developer Qualifications: 1. Diploma or Bachelor degree in...
  10. N

    Baada ya Chikwende Junior Lokosa wa Nigeria ajiunga simba

    Baada ya kumsajili attacking midfielder Chikwende kutoka zimbabwe simba wamemsajili mshambuliaji wa zamani wa team ya taifa ya nigeria super eagles na team ya esperance de tunis aitwaye Junior lokosa
  11. F

    Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na Mimi, tofauti tu yeye ni Senior Mimi nilikuwa Junior

    Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na mimi, tofauti tu yeye ni Senior na mimi nilikuwa Junior. (Soma kisa changu hiki cha ukweli kwa ufupi kabisa) Sehemu ya Kwanza. Baada tu ya kuhitimu chuo nje ya nchi miaka hiyo ya juzi kati nilirudi nchini na kupata kazi bila kuchelewa katika...
  12. M

    Richest kids in Africa, Mugabe Junior and Chatunga

    Majority of the richest children in Africa come from a political background inheriting wealth from their parents and going forward with the legacy while minority come from a business back round families This young and rich kids are well known by living a lavish lifestyle driving expensive...
  13. Where is Jr Junior wa East Africa Radio?

    Habari wadau wa JF, Aisee kitambo sana sijamsikia mtangazaji mwenye vibe plate number D kwa hewa,huwa nilikuwa namsikiliza kwenye planet bongo au kwenye The Cruz ila kwa Fasi zote zimsomi kabisa au dablyu wachafu washampitia na upepo wa kisuri suri? Nawasilisha.
  14. NORCAP searching for female junior energy expert – Accelerator Programme 2020

    NORCAP has provided experts in the energy field since 2018 and currently boasts one of the world’s largest pools of expertise on clean energy. Our experts strengthen partners’ capacity to provide clean energy services to vulnerable populations and humanitarian operations, enabling refugees...
  15. Bustani ya Edeni ipo wapi?

    Habari wakuu Naomben msaada juu ya hili hivi bustani ya edeni ipo mbinguni au ipo duniani???? "Ingawa Mimi naamini ilikuwepo duniani ila ikaja kuaribiwa na gharika"... Nawasilisha alban
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…