jumatatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbepo yamba

    Mfumuko wa bei kuanza wiki ya Jumatatu inayokuja

    Serikali ni kama imetoa greenlight kwa wafanyabiashara kupandisha bei ya bidhaa mbalimbali kuanzia wiki ijayo. Hata maduka kwa sasa order yoyote hawatoi, wanakuam subiri bei mpya kuanzia Jumatatu. Watanzania tunalo chizi letu na tumeamua kuishi nalo, nahisi
  2. curie

    Jumatatu napanda ndege kwa mara ya kwanza

    Guyz kama title unavyo eleza napanda ndege kwa mara ya kwanza maishani ..Naomba Abc za kuzingatia
  3. The Palm Beach

    GE2025 Kama mahakama ni chombo cha kisheria kwelikweli, then there's no way bali kumwachia huru Tundu Lissu J'3 15/09/2025 aendelee na maisha yake!

    https://youtu.be/lXYcasdnW3g?si=j-3229TRJTlB6ORF 1. Mahakama ni chombo cha kisheria, kinachoamua na kutoa haki za watu kwa kutafsiri kwa usahihi hizo sheria ili kumpa kila mtu haki yake kwa kadiri ya ustahili wake kisheria.. 2. Haina shaka kuwa mchakato (process) yote ya mashitaka ya Tundu...
  4. Sifi Leo

    Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  5. kyagata

    Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa

    Wakuu, Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa Jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe. Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba...
  6. Dogoli kinyamkela

    NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 23/2025:

    NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 23/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) Usijishughulishe na mambo ambayo...
  7. Fbn

    Joseph Kabila Aingia Goma jumatatu leo na kupokelewa na M23 Hatari ya DRC kugawanywa kati yaonekana

    Viongozi wa afrika wanapokuta wana makosa wanatafuta njia za kuungwa mkono.sasa muelewe kuwa hata hapa waunga mkono ndani ya ccm wanaweza kuwa alipozaliwa .Utanganyika utajulikana sasa mfano kwa congo. kipindi cha idd amin ilikuwa hivi. https://www.youtube.com/watch?v=eIgfCC3q2oE
  8. chiembe

    Mhimili wa CHADEMA katika sanaa wakatika, Ney wa Mitego akana kuwahi kuwa MwanaCHADEMA, Jumatatu ijayo atafyatua santuri matata sana

    Ney wa Mitego sasa ni rasmi kaamua kuachana na chadema. Kila binadamu ana wakati wa kung'amua mambo ya hovyo halafu akatae kutumika vibaya. Ney amewahi kuimba nyimbo nyingi lakini chadema hawajawahi kumualika hata mara moja atumbuize
  9. Maleven

    Member kajiunga jumatatu, jumatano ni senior member, howww?

    Kua senior au expert ni kigezo gani?
  10. Mindyou

    BAKWATA yatangaza sikukuu ya Eid El Fitri kuwa kesho Jumatatu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025. Taarifa iliyotolewa na Bakwata katika mitandao ya kijamii leo Machi 31, 2025 imeeleza: "Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh...
  11. Lady Whistledown

    Jumatatu ni Sikukuu

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametangaza Jumatatu, Machi 31, 2025, kuwa Sikukuu ya Umma kwaajili ya kusherehekea Eid-ul-Fitr Eid-ul-Fitr, inayomaanisha “Sikukuu ya Kuvunja Funga,” ni miongoni mwa sikukuu muhimu zaidi katika kalenda ya Kiislamu, ikiashiria mwisho wa Mwezi Mtukufu...
  12. MwananchiOG

    Tetesi: Mchezaji Ellie Mpanzu amegoma kuhudhuria mazoezi tangu Jumatatu akidai 25% ya malipo yake yaliyobakia

    Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa. Papida ameweka ngumu kwamba kama malipo hayo kama hayatakamilishwa mpaka kufikia Ijumaa hii basi wasitarajie kumuona...
  13. Scared

    Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

    Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
  14. Dogoli kinyamkela

    Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho

    🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨 👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho. 👉Malaika ni Gabriel 👉Chakra: root chakra 👉Nambari: 9 👉Kipengele: Maji 👉Rangi: Mpya: Nyeupe...
  15. Magical power

    Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄 Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe. Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani

    Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄 Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe. Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani Utaenda kanisani kwa ajiri ya ibada. Walio Nyumbani na watakao toka mochwali tutakutana kanisani, Baada ya ibada Ni safari ya kuelekea Tunduma kwa...
  16. G

    Maandamano ya chadema hayatakuwa na uzito, Jumatatu topic kubwa ni simba na Yanga kwenye mashindao ya Caf ya weekend hii.

    Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
  17. M

    Chadema watoa njia za maandamano zitakazotumika Jumatatu

    👇
  18. Mr Lukwaro

    Kwanini Mtu akikamatwa Ijumaa anapata dhamana Jumatatu? Hii imekaaje wasomi?

    Hivi dhamana si haki ya kikatiba? Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ? Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
  19. U

    TANZIA: Padre Dkt Fidelis Mgimwa kuzikwa leo jumatatu Julai 29,2024

    Wadau hamjamboni nyote? Tumsifu Yesu Kristo Roho ya Marehemu ilale mahala pema peponi
  20. toriyama

    MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

    Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa. Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
Back
Top Bottom