jumatatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kunusana harufu ya Pombe makazini Jumatatu ni unafiki na uzandiki usiofaa

    Weekend inaanza Ijumaa na watu wanakuwa na stress za kutosha. Mitundi ya kutosha ndo suluhu ya karaha za maisha haya ya kibongo. Leo hii Kg 1 ya mchele imefikia 3500, kodi za nyumba ndio kero maana miezi inakatika kama barafu inayeyuka. Unakula mabia ya kutosha na uzuri unapiga Mackotail ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu msaada wa lift ya kwenda Dodoma Jumatatu

    Wakubwa zangu msaada hali tete Naomba msaada lift ya kwenda Dodoma naomba nichangie hata elfu 7. Ninaenda kwa lengo la usaili.
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto atashinda kesi, double agent kamuangusha Raila Odinga

    Naam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Msako wa mifuko ya plastiki kuanza Jumatatu Agosti 29

    RC MAKALLA: MSAKO WA MIFUKO YA PLASTIKI KUANZA JUMATATU YA AUGUST 29. - Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Ameelekeza msako wa mifuko ya Plastiki ufanyike Mikoa yote. - Awataka Viongozi wa Masoko yote kutoa tangazo la katazo la uuzaji wa Mifuko hiyo. - Wenyeviti wa Masoko waahidi kushirikiana...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hatua ya awali CAF champions league & shirikisho draw kufanyika jumatatu

    Haya haya mambo ni mengi muda ni mchache caf champions league hatua ya awali itafanyika mapema mwezi huu. Ikumbukwe kuwa Yanga sc ni miongoni mwa timu zitajazoanzia hatua ya awali, huku Azam, Geita gold nazo zikianzia hatua ya awali kwenye Kombe la shirikisho barani Africa.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mzee Sadalla Juma aliyembaka msichana wa kazi Zanzibar, itasomwa Jumatatu 21 Machi 2022

    HUKUMU YA MZEE SADALLA JUMA SADALLA (74) ALIYEMBAKA MSICHANA WA KAZI ZANZIBAR,ITASOMWA SIKU YA JUMATATU 21 MACHI 2022 KATIKA MAHAKAMA UA VUGA,UNGUJA. Mzee Sadalla Juma Sadalla (74)mkazi wa Bububu,Unguja anayeshitakiwa kwa kosa la kumbaka mshichana wake kazi (jina limeifadhiwa) atarajiwa...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ukraine yakubali mazungumzo ya amani na Urusi, leo 28/02/2022

    Ukraine imekubali kushiriki mazungumzo ya amani na Urusi, ambapo wajumbe wa pande zote mbili wamepanga kukutana katika eneo la mpaka kati ya Belarus na Ukraine. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa ofisi ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, inaelezwa kuwa hakuna masharti yoyote yaliyowekwa katika...
  8. GokuOne

    JamiiForums Tanzania Tufurahi Kidogo Jumatatu

    Tufurahi kidogo Jumatatu... 1. Ingiza passwed 2. Kila mtu kwa uwezo wake yupo sahihi 🤣🤣 3. Wandugu Kardashian
Back
Top Bottom