jukwaa

Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, hasa wanaume, ni kweli eti ukifikisha miaka 35 huwezi tena kunyandua mbususu bao 2kwa1 kwenye 6kwa6?

    Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea? Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1 kwenye 6kwa6?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania Kupatikana tena kwa jukwaa la JamiiForums nchini Tanzania - shukrani kwa uongozi wa JF

    Tunawashukuru sana uongozi wa JamiiAfrica kwa kupigania hili jukwaa la kitanzania kwa ajili ya watanzania. Kufungia jukwaa ilikuwa sawa na kutuziba pumzi. Tunaiomba serikali iache utaratibu huu. Kama kuna shida iwe inatatuliwa kwa mazungumzo bila kuathiri upatikanaji wake. Wanasiasa walioko...
  3. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JF: Tuanzishe MaJukwaa Mapya 10 Yenye Impact Kutatua Changamoto za Wana JF na Jamii?. Wana JF Wenye Uwezo Tuwasaidie Wenzetu Nao WaWin au?

    Wana JF, Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..? Japo sijui jf kwa sasa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Freestyle kuhusu chochote Jukwaa lichangamke

    Freestyle kuhusu kitu chochote ili jukwaa lichangamke.
  5. JamiiForums Tanzania Kifo cha jukwaa la celebrity

    Kudorora Kudhoofika na hatimaye kupotea kwenye ulimwengu wa umaarufu wa wasanii wa wa mziki wa kisasa Tanganyika ndiko kulikosababisha mauti ya jukwaa la celebrity Hili jukwaa kuna kipindi lilikuwa maarufu mno kiasi cha kuifunika vilivyo chitchat. Huku likiwa na magwiji wake kama marehemu...
  6. JamiiForums Tanzania Itambue dhima ya jukwaa la chitchat itakusaidia mengi

    Chitchat ( jukwaa la JF Chit-Chats and Jokes) linajulikana kama jukwaa huru ndani ya mtandao wa JamiiForums ambapo wanachama hupumzika na kupiga soga zisizo rasmi. Tofauti na majukwaa ya siasa au uchumi yanayohitaji hoja nzito na utafiti, Chitchat ni sehemu ya.. Utani na Burudani: Watu huweka...
  7. JamiiForums Tanzania Shout out kwa Seran, Masai Dada, shesRise, Marry Diana na Win-one kwa kurudisha girl power jukwaani na kuchangamsha kijiwe. Feminime ilikuwa poa sana

    Mara ya kwanza nilijuwa ni mtu mwingine anatuchezea but hey kumbe warembo wamerudi kwa kasi baada ya kupoa muda mrefu. Tulisongeshe.
  8. JamiiForums Tanzania Amnesty: Kombe la Dunia kuwa jukwaa la ukandamizaji

    Imeonya kwamba mashindano ya mwaka 2026 yanaweza kugeuka kuwa jukwaa la ukandamizaji na matendo ya kidikteta. Ripoti mpya ya shirika la haki za binaadamu iliyotolewa Machi 30, 2026 imeonya kwamba mashindano ya Kombe la Dunia mwaka huu yanaweza kugeuka kuwa jukwaa la ukandamizaji na matendo ya...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Kutetea Wamasai Lapinga Ripoti za Tume za Rais Kuhusu Ngorongoro

    Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House. Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
  10. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Uzalendo ladai kuna sintofahamu kuhusu Sh Bilioni 200 za Vijana

    Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya vijana nchini. Katika barua hiyo iliyotolewa hivi karibuni, jukwaa...
  11. JamiiForums Tanzania Israeli imelaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa magaidi" huko Doha

    Israeli inalaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa jihadi" huko Doha Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli ilitoa karipio kali kwa Jukwaa la 17 la Al Jazeera lililofunguliwa Doha wikendi hii, ikilielezea kama "mkusanyiko teule wa wanajihadi na wafanyakazi wao wa usaidizi." Jukwaa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marafiki, ndugu na wadau wote wa jukwaa hili

    Habari JamiiForums Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea. Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015. Ni kama juzi tu tangu hayati Magufuli na itikadi zake, pamoja na misimamo mikali kwenye uongozi. Miaka inakimbia, watu waliozaliwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzindua jukwaa la vijana Januari 10, 2026

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, inatarajia kuzindua rasmi Jukwaa la Vijana (Youth Platform) tarehe Januari 10, 2025, katika Ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo utaongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka, ambapo jukwaa hilo litatoa...
  14. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Kuna watu wenye nia ovu wanaotumia jina la Waziri Mchengerwa kutapeli kuwa anaozesha mwanae

    Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia? Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo moja kuu: kuwahudumia wananchi kwa kutoa taarifa za sera, huduma, tahadhari na maamuzi ya serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Kimataifa la Nasser lashiriki katika Kongamano la Vijana wa Afrika 2025

    Jukwaa la Kimataifa la Nasser limeshiriki kikamilifu katika Kongamano la Vijana wa Afrika (Pan-African Youth Forum 2025) uliofanyika nchini Djibouti kuanzia Novemba 4 hadi 6, 2025, chini ya uratibu wa Tume ya Umoja wa Afrika, ukiwa na kaulimbiu isemayo “Kutoka kwenye ndoto hadi vitendo: Vijana...
  16. JamiiForums Tanzania Kweli watanzania wapo serious jukwaa la mapenzi na sports yamedoda hatari watu wapo jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko 24/7

    Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa Kweli watu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jukwaa la Katiba Tanzania: Tunalaani vikali vya kuwapiga risasi wananchi wasio na hatia

    TAARIFA KWA UMMA JUKATA kwa majonzi makubwa inatoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote ambao wapendwa wao wameuawa, kujeruhiwa au kutoweka wakati wa maandamano yaliyozuka siku ya uchaguzi tarehe 29/10/2025. Tunalaani vikali vitendo vya kikatili vya kuwapiga risasi wananchi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ watajifanya hawajamuona kisa kasimama kwenye Jukwaa la CCM

    Kuna huyu msanii anaitwa Magambo, akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM mbele ya Samia Suluhu, ameonekana akiwa kavaa suruali yenye muonekano kama ya Jeshi. Ni kosa kuvaa nguo zenye mfanano sawa na majeshi ya nchini na kuna kipindi fulani tulisumbuliwa sana, nikiwepo mimi chupuchupu...
  19. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Palestina wapiga marufuku kuingia Marekani

    BREAKING: Viongozi wa Palestina WAPIGWA MARUFUKU kuingia Marekani. Katibu wa Jimbo Rubio anazuia visa vyao kwa sababu ya uhusiano wao wa kigaidi na "kulipa-Fadhila kwa Magaidi" pesa za damu. Marekani HAITAWAPA thawabu wale wanaotukuza mauaji.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…