Daah nimetoka kuli search sahivi ngoja niangalie kwenye threads zangu nilizo postigiNaulizia ili jukwaa pendwa la love connect limepotelea wapi?
Kama liliondolewa sababu ni nini?
aaaah wamefuta mkuu wangu kisha nyuzi wameunganisha kwenye jukwaa hili mojaNaulizia ili jukwaa pendwa la love connect limepotelea wapi?
Kama liliondolewa sababu ni nini?
aaah wapi lilikuwa la moto sanaItakuwa lilikosa wadau likaamua likae pembeni