jua

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakati Tz ikiendekeza sikukuu, China yaunda jua kuongeza muda wa kupiga kazi

    China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko. Kupitia jua hili bandia...
  2. JamiiForums Tanzania Kama unaamini katika hiki.."Roho za uchawi...Roho za umasikini...Roho za mauti ...Mikosi na laana" jua wewe ni Gullible of the gullibles

    Wasalaam Kuna hawa watu hasa mama zetu,mtu anakosea au anafeli katika mazingira fulani ya kibinadamu kabisa mathalani kwa uzembe wake au uzembe unaosababishwa na wengine...badala ya kukimbilia uwajibikaji kumezuka neno Roho ya... Kwa mfano mtu ni mlevi,badala ya kumwambia kuwa ni mlevi na...
  3. JamiiForums Tanzania Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  4. JamiiForums Tanzania Jua tofauti ya freezer za non frost na defrost

    Ni kawaida unapotaka kununua freezer ukakuta wanasema hii freezer ni non frost au defrost maana yake ni nini na zipi ni faida zake kwa kila moja Non frost Hii ni freezer ambayo haigandishi yaani haitoi barafu inamfumo wa cooling ambao hauruhusu kutoa barafu mfano fridge showcase zote ni non...
  5. JamiiForums Tanzania Umeme wa jua kuongeza unafuu Shinyanga

    UMEME WA JUA KUONGEZA UNAFUU SHINYANGA Mradi wa umeme wa jua unatekelezwa katika Wilaya ya Kishapu Mkoani wa Shinyanga unaendelea ambapo kwa awamu ya kwanza mradi unatarajiwa kuzalisha Megawati 50 na baadae Megawati 100 kwa awamu ya pili zitakazoongezeka na kufanya jumla ya Megawati 150...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiona Kiongozi Mkuu wa Taifa lolote lile ni Shabiki Nusu Liverpool na Shabiki Nusu Manchester United jua yafuatayo...

    1. Ni Mpumbavu asiye na mfano 2. Ni Mnafiki mkubwa 3. Hajui anachokifanya (Juha) 4. Muongo na Hafai 5. Mchawi / Mshirikina 6. Anapelekeshwa kama Mwehu 7. Analazimisha umaarufu na kupendwa Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
  7. JamiiForums Tanzania Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

    Habari za wakati huu wakuu! Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko la jua kali katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), baadhi ya maeneo yanatarajiwa kuwa na hali ya ukavu kwa ujumla katika kipindi cha tarehe 01-10 Machi 2025...
  8. JamiiForums Tanzania Unakabilianaje na kipindi hiki cha joto na jua kali?

    Habarini wakuu Natumai kwema. Dah! Joto limezidi ni hatari. Inafikia mpaka unahisi ya harufu ya nyama choma kumbe ni wewe unachomwa jua! Unakabiliana vipi kuhimili msimu huu wa joto. Exception: Kwa wale mliopo sehemu zenye baridi na mvua.
  9. JamiiForums Tanzania Mtaani kwetu ukiona Mwanamke anakubali kuwa 'Kijumbe' pale akiombwa na Wadau jua yafuatayo

    1. Wameshamuona hana la kufanya 2. Wameshamuona ni Mbivu 3. Wameshamuona ni mpenda Raha 4. Wameshamuona anaingilika Kiurahisi 5. Wameshamuona ni Mswahili Mswahili 6. Wameshamuona ni mbea mbea Fulani 7. Wameshamuona kuwa HANA AKILI kabisa Je, kwako Wewe huko Mtaani Mwanamke akiombwa kuwa Kijumbe...
  10. JamiiForums Tanzania Jua tofauti kati ya scannia toleo la G420 na scannia L119

    Tofauti kati ya Scania G420 na Scania 119 inahusiana na mifano tofauti za magari ya lori yanayotengenezwa na kampuni ya Scania. Scania hutengeneza magari ya lori, mabasi, na magari ya kibiashara, na mifano hii inatofautiana kwa nguvu ya injini, matumizi, na vipengele vingine. Hapa chini ni...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

    Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna 1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Rangi ya gari inayovumilia jua la Dar!

    Wakuu msaada kwenye tuta, gari nimeagiza hata miezi mitatu haijapita ila rangi inapauka kwa speed kali sana! Nilinunulia cover wakati inafika tu ila haijasaidia kitu. Ila cha ajabu nina jirani yangu gari yake hata haifuniniki ila haijapauka hata kidogo. NB: Rangi ya gari ni blue, ila naweza...
  13. JamiiForums Tanzania Hongereni tamthilia ya Jua Kali. Mmewekeza zaidi katika uhalisia na uelewedi na sio makalio na show off.

  14. JamiiForums Tanzania Kama umeshachepuka au kuzini kufikia tarehe ya leo tangu mwaka uanze jua tu wewe ni mzinzi

    Tunamaliza mwezi January 2025 Kama umechepuka,au umeshazini ndani ya siku hizi 30,wewe ni mzinzi pro,unahitaji maombi
  15. JamiiForums Tanzania Kama una lipa ada milioni moja na nusu hadi 3 Kwa mwaka, badala ya Dola elfu thelathini Basi jua unafanyiwa mchezo

    Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa? Unazidiwa na wale wanaochukua bure Kwa sababu wamejipima wameona gharama halisi ni Dola elfu thelathini Kwa mwaka, hii Dola...
  16. JamiiForums Tanzania WALIMU JUA NAMNA YA KUJITAMBULISHA: *TELL US ABOUT YOUR PERSONAL, EDUCATIONAL, AND PROFESSIONAL BACKGROUND*

    Hello! Today Niwapatia Silaha Kali ya mashambulizi dhidi ya Hilo swali😃, Simply, I’m sharing a formula you can use to answer this question by focusing on things your brain will follow, helping you be logical without memorizing too much. It’s not about quantity but about how your answer aligns...
  17. JamiiForums Tanzania Wale tuliopita humu tujuane, humu hauwezi jua kama mvua imenyesha huko nje

    Wale tuliopita humu tujuane,humu hauwezi jua kama mvua imenyesha huko nje
  18. JamiiForums Tanzania Ombi langu Kwa serikali kuzuia majaribio yanayofanywa kwenye mwezi na jua

    Wadau nimekuwa nikifikiria sana kuhusu majaribio yanayofanywa kwenye jua na mwezi. Hivi karibuni ndugu zetu India japo Wana matabaka makubwa sana ya matajiri na maskini lakini wameweza kufika kwenye mwezi Tena kwenye darkside of the moon ambako hakuna inchi umewahi fika. Media hasa za uingereza...
  19. JamiiForums Tanzania Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

    Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!. wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua kwa kutumia Treni ikiwa kwenye mwendo wa kasi

    Jinsi ya Kuzalisha Umeme wa Upepo na Umeme wa Jua kwa Kutumia Treni Ikiwa Kwenye Mwendo wa Kasi Kutumia treni za mwendo wa kasi kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua ni wazo la kiubunifu linalolenga kukuza matumizi ya nishati safi na endelevu. Treni hizi, kama vile zile za SGR, zinaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…