Habari za wakati huu, kuna mtu ninamtafuta, anaitwa John, ni mwenyeji wa Singida, mwaka 2006 alikuwa anafanya kazi ya upishi ktk moja ya migahawa/hoteli iliyoko Manzese-Tip Top.
Huyu mtu inasemekana ana meno yaliyoungulia, na ni mweusi na mfupi (Kwa maelezo ya namna alivyoonekana mwaka 2006)...