john magufuli

John Pombe Magufuli
John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.

He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.

Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.

His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Magufuli atabiri anguko kuu la Chama Cha Mapinduzi

    By Peter Saramba, Mwananchi Mwanza. Onyo alilotoa Rais John Magufuli, ambaye ni mwenyekiti wa CCM, kwa viongozi wa chama hicho tawala kuwa wasipoangalia kinaweza kuanguka, linaweza kuwa tahadhari mahsusi wakati huu, baadhi ya wasomi na wanasiasa wana mawazo wamekubaliana na mawazo hayo. Rais...
  2. Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

    Wadau nimeandaa safari ya kwenda kuonana na Rais JMT hata nahitaji nikaonane naye ana kwa ana nifanye naye mazungumzo kama raia wa kawaida kijana mpenda maendeleo. Watu wengi sana wamekuwa wakienda Ikulu lakini hao ni wale wenye channel. Je, kwa mimi nisiye na channel ama kujuana na yoyote...
  3. Malecela- Rais John Magufuli anafanya kazi kubwa mno

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema kutojitokeza wagombea wa vyama vya siasa vya upinzani kugombea nafasi za wenyeviti za Serikali za Mitaa, Vitongoji na Kata katika Jimbo la Mtera kunaonesha namna Serikali ya Awamu ya Tano ilivyojikita katika kutatua changamoto mbalimbali za kimaendeleo...
  4. Viongozi wa Dini na utawala wa Dr John Magufuli

    Viongozi wa dini zote wanalojukumu kubwa la kujenga mioyo ya wanachi kwa kutekeleza yale Mungu anayoyataka na kuya acha yale Mungu anayokataza. Hili linathibitika katika dini ya Kiislamu tunapo ambiwa katika Quar-an takatifu kuwa litoke kundi miongoni mwenu litakalowaamrisha watu mema na...
  5. Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    Wanabodi, Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika kitaifa mjini Bariadi Mkoani Simiyu na kufuatiwa na Wiki ya Azaki...
  6. J

    Kheri ya Kuzaliwa kwako Mheshimiwa Rais John Magufuli.

    Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna. Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee...
  7. Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

    Wadau, President Magufuli is now 60 years old. Happy birthday to our great leader Dr. John Pombe Magufuli. May you live long
  8. Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje. Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada...
  9. Rais Magufuli ameamua nchi ifungue sura mpya ya kimaendeleo kuelekea 2025

    Rais wetu John pombe Magufuli ameamua Nchi iende Mbele... hii ndio kusema Chagua Magufuli Kazi iendelee 1. Ujenzi wa barabara Nchi Nzima kwa gharama Sh. Trilioni 5.3 ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara kutoka sehemu moja kwenda nyingine..... 2. Ununuzi Ndege Mpya Sh...
  10. Tanzanians are NOT surprised at the tax fraud in the UK

    By Samantha Cole of Tanzania Business Ethics Almost 1 in 5 of the biggest UK companies paid NOTHING last year and 5 companies even got a handout back from the taxman! We, in Tanzania, already learnt our lessons the hard way with Barrick Gold and Acacia Mining who succeeded for many years to...
  11. Barrick hits headlines again – in Australia – Loses Supreme Court Appeal

    By Samantha Cole of Tanzania Business Ethics Barrick Gold loses their Appeal in the Australia Supreme Court. No surprise that the Judges found Barrick “inappropriate” and “not reliable” in their methods. When will someone be accountable? Last week, in Australia, following THREE lost appeals...
  12. Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    U.S. Embassy Tanzania Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
  13. High Court Judge: Acacia Mining playing tactics to defeat justice

    A PUBLIC LETTER TO THE HON. PRESIDENT OF TANZANIA, MINISTER OF JUSTICE, ATTORNEY GENERAL AND OTHERS Hon. President John P. Magufuli, Prof Palamagamba Kabudi and Dr Adelardus Kilangi Copies to: Board members of Barrick Gold & Acacia Mining; Chief Secretary, Amb. JWH Kijazi; Minister of...
  14. GE2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...
  15. S

    Rais Magufuli kama kweli wewe ni mzalendo, kwanini hupeleki mikataba Bungeni?

    Inashangaza sana Raisi hataki ku-deal na kiiini cha matatizo yote ya nchi hii matatizo ambayo chanzo chake kikubwa ni mikataba mibovu na badala yake kila siku utamsikia kaibua hili na kesho kaibua lile na yanakoishia yote haya wengine hata wala hatuelewi. Raisi angekuwa na dhamira ya kweli ya...
  16. Frederick Sumaye: Magufuli anatekeleza sera za CHADEMA

    Hawa ndio wapinzani bwana! Wakati wapinzani wakikesha mitandaoni kumchafua na kumkejeli Magufuli, kiongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA ameibuka na kusema anayoyafanya Magufuli ni sera za CHADEMA! Sasa sijui nae ataitwa msaliti? Maana yule ndio mwenye chama hasa.
  17. K

    Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

    MARA baada ya kutangazwa kwa uteuzi wa Dk. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) wiki iliyopita, kama ilivyo ada, baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vilianza kujadili uteuzi huo. Baadhi ya magazeti yaliandika kwamba uteuzi...
  18. M

    Dk. Magufuli ajitosa Katiba Mpya, awabeza CHADEMA

    WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema lazima Katiba mpya izingatie matakwa ya wananchi ili kuliweka taifa katika hali ya utulivu. Amewataka Watanzania kutoiga vurugu zilizotokea kwenye nchi za Libya, Sirya, Tunisia na Misri badala yake waendelee kuwa wavumilivu huku akiwaomba kutotumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…