john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania John Heche usiwaondoe watanzania kwenye reli

    John Heche ni moja ya wanasiasa wanaoheshimika sana kwa misimamo yake na kupenda kusema ukweli hilo halina ubishi, kwa sasa wananchi wanayo maeneo wanayolalamikia sana ambayo wanahitaji sauti za pamoja ili kuyatatua. Suala la Umeme linavyoathiri biashara za wananchi, ufisadi ulioibuliwa bungeni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mikutano ya Hadhara: Mpaka sasa Mnyika anaongoza akifuatiwa na Heche

    WanaJamvi nimefuatilia Hotuba za Mikutano yote ya hadhara iliyofanyika baada ya Mama Samia kuifungua. Kwa maoni yangu mpaka sasa Mnyika anaongoza kwa kutumia nafasi hizo vizuri. Ukimuangalia kwa muda mchache anaopewa anaongea point tupu na kugusa mambo ya Msingi ikiwemo Katiba Mpya, Maisha ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Polisi wamepeleka hoja zao kwa John Heche wa CHADEMA ili awatetee basi kuna tatizo mahali, Heche siyo Mbunge

    Katika hotuba yake jana Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Mh John Heche amesema polisi wameona madhara ya kutokuwepo wabunge wa Upinzani bungeni. Kwa maana hiyo polisi wamempa mh Heche hoja zao akazitetee. Kama ni kweli maelezo haya ya mh Heche basi kuna tatizo mahali. Heche hayuko katika...
  4. JamiiForums Tanzania John Mnyika na John Heche turufu ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM. Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana, Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
  5. JamiiForums Tanzania John Heche: Walio Madarakani Wanatengeneza umasikini, Deni la taifa lafika Trilioni 94. Bandari ya Dar yazidiwa na Mombasa

    Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao. Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa Mjini, Joseph Mbilinyi, Mbunge Mstaafu wa Mbeya Mjini na Mbunge Mstaafu wa Tarime Mhe. Heche ni...
  6. JamiiForums Tanzania John Heche Muongo, eti Misri mvua hainyeshi miaka 20 lakini hakuna mgao wa maji

    Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao. Anasema Tanzania hakuna Viongozi wenye maono sababu wananunua Magari ya Bil 500 wakati Dar Bil. 200 inamaliza...
  7. JamiiForums Tanzania John Heche akutana na Tundu Lissu Nchini Italia

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na mmoja wa wawakilishi wa Chadema kwenye Mazungumzo ya Maridhiano , John Heche , Amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu Nchini Italia . Mpaka sasa bado haijafahamika ajenda ya kukutana kwao , Bali vikao vizito...
  8. D

    JamiiForums Tanzania John Heche Vs Mwigulu Nchemba

    Hapo ndipo nilimkubali John Heche. Mawazo yote ya kupunguza matumizi serikalini aliyoyatoa Mwigulu Nchemba alishayasema John Heche takribani Wiki moja nyuma. Kwa kifupi, Mwigulu Nchemba amecopy na kupaste hoja zote za John Heche kuhusu kupunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini. Hongera...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kulipwa au kutokulipwa perdiem, nani tumuamini kati ya John Heche na Kitila Mkumbo aliyekanusha madai ya Heche?

    Habari Wakuu! Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu analipwa perdiem awapo Bungeni. Hata hivyo, Siku ya leo Mhe. Kitila Mkumbo amejitokeza kuchangia mada...
  10. JamiiForums Tanzania Tunahitaji Katiba Mpya au upinzani mpya?

    Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania wazalendo wanawekwa pembeni na mafisadi ndiyo yanashika usukani wa kuongoza nchi yetu. Kwa kuzingatia...
  11. JamiiForums Tanzania John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

    Ni malumbano makali kati ya John Heche [M/Kiti - CHADEMA - kanda ya Serengeti] na Dr W. P. Slaa [Former GS wa CHADEMA] huko club house moja usiku wa kuamkia leo Alhamisi trh 28/4/2022.. Msingi wa malumbano hayo ni hoja ya Dr Slaa aliyowahi kuiibua na kuripotiwa hapa hapa JF kuhusu UTEKAJI...
  12. JamiiForums Tanzania John Heche: Haji Duni na wenzake wanatumika na CCM kuua demokrasia. Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kosa la kubumba

    Akiongea leo, John Heche amesema kuwa "Akina Duni Haji ambao wamekuwa na historia nzuri lakini sasa wanatumika na CCM kuharibu ujenzi wa demokrasia, Freeman Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kesi hii ya kutengeneza"
  13. JamiiForums Tanzania John Heche aongoza Usajili wa CHADEMA Digital Bulyankhulu

    Ndio kama tulivyosema toka awali kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa, sisi na Wananchi wao na Polisi.
  14. JamiiForums Tanzania John Heche: Kuweni Makini Polisi wanapokuja Nyumbani kwenu

  15. JamiiForums Tanzania John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

    Kikwetu tuna msemo tunasema: What goes around comes around. Kijijini kwetu tunatumia sana huo msemo mara kwa mara. JJ Mnyika aliwahi kumwambia JK kuwa ni Rais dhaifu. Hahahahaha. Lakini sasa kajamaa ni SG wa CHADEMA naona ndio dhaifu kuliko maelezo. Ni dhahiri CHADEMA haina vetting nzuri...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wasimulia walivyokamatwa na Polisi

    Mwanza. Baadhi ya viongozi wa Chadema waliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa, wamesimulia jinsi walivyokamatwa usiku wa kuamkia Julai 21. Pamoja na simulizi hizo, viongozi hao wakiongozwa na mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche walisisitiza...
  17. JamiiForums Tanzania John Heche: Chokochoko siyo neno la kistaarabu

    Wasalaam, Tuendako hakuna nuru na dalili ya mvua ni mawingu.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk. Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri...
  19. JamiiForums Tanzania John Heche: Mawakili waliogopa kututetea isipokuwa wachache wakiongozwa na Kibatala

    "Watu wengi hawajui kwamba kwenye hii kesi tulipewa masharti mengi magumu bila sababu ikiwemo kuripoti central police Dar kila ijumaa. Yaani popote utakapokua hakikisha ijumaa uko Dar pia mawakili waliogopa kututetea isipokuwa wachache wakiongozwa na Kibatala." John Heche Suguta
  20. JamiiForums Tanzania John Heche: Wabunge 19 Viti Maalum wajitokeze kuomba msamaha badala ya kuwatumia Watu

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amewataka wabunge 19 wa viti maalum waliokuwa wanachama wa chama hicho waliopo bungeni, kujitokeza hadharani kuomba radhi badala ya kuwatumia watu kuwaombea msamaha. Heche ametoa kauli hiyo leo Mei 31, 2021...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…