jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoanza ujasiriamali kipindi nipo chuo

    nakumbuka kipindi hicho nilikua nimepanga mtaani ilikua ni mwaka wa pili maana mwaka wa kwanza nilikaa hostel baada tu ya kuingia mwaka wa pili nikatafuta geto nikalipia kodi nikanunua godoro na mazaga machache, sasa mimi ni mtu ambae napenda wanyama baada ya kuona nimekaa mpweke sana pale...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi Content Creation Inavyoweza Kukupatia Scholarship na Kazi za Kimataifa

    Siku hizi kupata scholarship au kazi kwenye mashirika makubwa si suala la kuwa na GPA nzuri pekee au CV ndefu yenye maneno mengi. Dunia imebadilika. Watu wa kwenye panel za scholarship na recruiters wa mashirika ya kimataifa wanaanza kuangalia “digital footprint” yako yaani umeonyesha nini...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA YANGU, Kila Mkutano wa Hadhara Tupate Dakika Kumi za "Mwanamke Muhanga" atakayesimulia Jinsi Mumewe/Mtoto/Ndugu alivyouliwa mbele yake !!!.

    Hapa DUNIANI, Siasa, DINI, Michezo na Mapenzi huenda ndio vitu pekee ambavyo hushika "HISIA / EMOTIONS" . Sasa Wanawake ni viumbe waishio kwa HISIA . Ni katika kulijua hili, Mtunzi mzuri wa Tamthiliya uhakikisha ANATUNGA KWA KUZINGATIA HISIA, NA UKWELI YA KWAMBA KILE ATAKACHOKITUNGA...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutongoza -Kujenga Uwezo wa Kuvutia na kuwa Confident

    Watu wengi wanafikiri kutongoza ni kuwa na pesa nyingi au kutumia mistari migumu ya mapenzi. Lakini ukweli ni kwamba uwezo wa kuvutia mtu unaanza kwenye confidence, mawasiliano mazuri, na namna unavyojiamini mbele ya wengine. Ndani ya makala hii kutoka ChuoSmart utaenda kujifunza mambo muhimu...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi mazoezi yanavyoweza kumfanya mtu kuonekana younger

    Watu wengi wakiona picha za “before and after” za watu walioanza kufanya mazoezi, mara nyingi hushangazwa na jambo moja, mtu anaonekana mdogo kuliko zamani. Wengine huonekana kama wamerudisha miaka yao nyuma kabisa. Swali ni, hii hutokeaje? Ukweli ni kwamba mazoezi yana mchango mkubwa sana...
  6. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Saratani Ocean Road yamuonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya jinsi Mtambo wa Cyclotron unavyofanya kazi

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ametembelea kwenye banda la Taasisi ya Saratani Ocean Road lililopo kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kueleza kuwa anahitaji maelezo mengi kutambua ubora wa kazi za Taasisi hiyo akieleza kuwa inajulikana kuwa ni Taasisi imara sana ndani...
  7. JamiiForums Tanzania 🦠 Hantavirus: Ugonjwa Hatari Unaotoka kwa Panya (Dalili, Maambukizi na Jinsi ya Kujikinga)

    🟢 Utangulizi Hantavirus ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyopatikana zaidi kwa panya wa porini. Ingawa si ugonjwa unaoenea sana kama COVID-19, ni hatari sana kwa mtu anayeambukizwa kwa sababu unaweza kuathiri mapafu na figo kwa haraka. Katika blog hii utajifunza: Hantavirus ni nini...
  8. JamiiForums Tanzania Leo nilipata off kazini na nikawa napiga stori na dereva boda. Akanisimulia jinsi UKIMWI unatembea kimya kimya ila kwa kasi kwenye mji wetu. Inatisha!

    Watu wanaumia aisee jamaa katoka machimboni, karudi anapewa story kuwa mke wake alikuwa anaruka ruka nje, break ya kwanza ni kwenda kupima kwa lazima, imebidi jamaa amkimbie waifu kimya maana wife ana umeme na amemuachia chumba na vyombo vyote. Mzee hapa mtaani ana wake watatu, alivyojigundua...
  9. JamiiForums Tanzania Raha za Peponi

    Raha Za Peponi (hedhi) wala nifasi, hawaendi choo kama ilivyo kwa hali Nao wake hao hawatakuwa wakiingia katika siku za huku duniani, Wala hawatazaa, wala hawatatokwa na manii. Anasema MWENYEZI MUNGU (Subhaanahu Wata'ala): وَلَهُمْ فِيهَا أَزْوَاجٌ مُّطَهَّرَةٌ "NA HUMO WATAPATA WAKE...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  11. JamiiForums Tanzania SIRI-JINSI Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  12. JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    MODE Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma milionea,mabilionea, ma trillionea na ma multi milionea, multi bilioneo na multi trillionea kwa kutumia...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotumia hesabu kutabiri matokeo ya mechi muhimu za jana na kujikusanyia mamilioni

    Siwezi kuacha hili lipite bila kuleta mrejesho vijana wangu I feel good @ holoholo-baba kijacho Rejea post hizi ili kujifunza nguvu ya hisabati kweye maisha ya kilasiku https://www.jamiiforums.com/threads/leo-simba-ana-uwezekano-mkubwa-sana-wa-kushinda-nitawachambulia-kwanini.2434257/...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoweza kuwa professa, Hatua kwa hatua

    Hiyo picha ni prompt ambayo unaweza kuitumia, kama upo chuo au una kijana wako anatarajia kwenda chuo. au unatarajia kuwa na kijana ambae atafika chuo. Actually prompt hii imenisaidia kuweza ki forecast yajayo hadi kifikia hapa nilipo pia nahitaji vijana wa kuweza kiwa monitor ili kufanya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kumshawishi mtu afanye kitu unachokitaka kwenye Matangazo Yako, ujumbe wako nk kwa kutumia maneno haya matano

    Rafki mpendwa Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua Twende pamoja Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye Ushawishi kwa sababu Binadamu...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

    nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani. ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi Misri ilivyojenga ukuta wa tabaka saba kuwazuia Wapalestina kuvuka, Walinzi wamewekwa kumpiga risasi yeyote ataevuka.

    Tazama jinsi Misri walivyojenga kuta zenye matabaka saba na kuweka walinzi wenye bunduki ili kuwazuia wasiiingie
  18. JamiiForums Tanzania Kwa maisha jinsi yalivyo hapo bado hujafika, muombe sana Mungu akuepushe na MAJANGA soma hiki kisa cha kweli!

    Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu, Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa mwezi. Maisha yalienda, baada ya hapo nikakutana na rafiki yangu ambae kwasasa ni mtumishi wa TANAPA...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Mada kuu: Msikilize kwa makini David Kafulila akifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV

    https://youtube.com/live/luCqPlMzdcU?feature=share Sikiliza hii David Kafulila na wenzake wakifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV (2026|27-2030|31)
  20. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii jinsi inavyoinua uchumi wa vijana

    MITANDAO YA KIJAMII JINSI INAVYOLIPA!!! FURSA YA KIPEKEE YA KUKUZA KIPATO CHAKO! Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako kupitia mitandao ya kijamii ukiwa nyumbani au popote ulipo? Karibu kwenye Kampuni ya Eternal International – mahali ambapo ndoto zako za kifedha zinaanza kuwa kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…