jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliye Juu Msubirie Chini, Cha Msingi Mijeledi Usiizoee: Jinsi Uingereza Inavyoelekea Kuwa Nchi Maskini

    Katika taswira ya ulimwengu wa kisasa, Uingereza bado inajulikana kama taifa lenye historia tajiri ya mafanikio ya kiuchumi. Hata hivyo, chini ya uso wa fahari hiyo, kuna ukweli mchungu: taifa hili lipo katika mchakato wa kudhoofika kiuchumi kwa kasi inayotisha. Kupitia historia yake ya kisiasa...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza YouTube ni moja ya njia bora za kutengeneza pesa mtandaoni, lakini wengi hawajui pa kuanzia. Kama unatafuta njia ya kuanza kutengeneza kipato kupitia YouTube, basi makala hii ni kwa ajili yako! 1. Chagua Niche Yenye Fursa Sio kila video...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi kutoa ripoti kwa Mamlaka kuhusu jumbe na simu za kitapeli

    Unashauriwa kuripoti namba ya simu iliyokupigia au kukutumia ujumbe mfupi, kwa lengo la kukutapeli kwenda namba 15040. Kama umetumiwa SMS, tuma ujumbe uliotumiwa kwenda 15040 kisha ingiza namba iliyokutumia na kama umepigiwa simu basi tuma neno UTAPELI kwenda 15040 kisha ingiza namba...
  4. JamiiForums Tanzania Umegundua Jinsi Ya Kupata Kipato Zaidi Kupitia Uwekezaji Katika Hisa?

    Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa... Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi. LAKINI… Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aonyesha jinsi CCM walivyoiba kura "kijinga" kabisa

    Halafu kuna mtu anadhihaki No Reform No Election (NRNE) My Take Sasa hii inatofauti gani na utapeli wa Nicole Berry😂😂😂😂
  6. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

    Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA. Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum kila la Kheri CHADEMA Allah azidi kuwaongoza!
  7. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUSAFISHA AKILI

    . Karibu binti na mwana wa mama Afrika. Ukiingia katika maandiko Subconscious Mind inaitwa moyo au roho. Ukisikia fulani ana roho/moyo mzuri au mbaya ina maana hizo sifa zimejaa katika Subconscious mind yake. Na ndiyo maana ya kauli ya Yesu kusema kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho...
  8. JamiiForums Tanzania Operesheni Mogadishu:Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na Askari waliovuja damu kwenye malori

    Operesheni Mogadishu: Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na askari waliovuja damu kwenye malori Chanzo cha picha,Getty Images Maelezo ya picha,Helikopta za Black Hawk zilitumika katika operesheni nyingi za Marekani nchini Somalia katika miaka ya 1990. Saa 4 zilizopita Jeshi la...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi ya Kuandika Tamthilia za Kiswahili kwa Maigizo ya Jukwaani na Redioni.

    Utangulizi Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo ya kijamii. Ili kuandika tamthilia nzuri, ni muhimu kuelewa muundo wake, mbinu za uandishi, na jinsi...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba anayefahamu biashara ya Mbao anipe mchanganuo jinsi ya uendeshaji

    HABARI WANA JAMII FORUM Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao 1,upatikanaji 2,usafirishaji 3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara 4, mtaji wa chini kiasi gani 5,namna ya kutafuta soko
  11. JamiiForums Tanzania Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  12. JamiiForums Tanzania Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mshindi mpya wa Bongo Star Search Moses Luka siyo kwamba Soda yake haina Gesi kwa jinsi anavyoongea na kujilegeza?

    Kila nikiziangalia Interviews zake baada ya Kutangazwa Mshindi ninaona ni kama vile labda Soda yake haina Gesi kabisa.
  14. JamiiForums Tanzania Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

    Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika. Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC. Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere. Isikilize/ iangalie halafu...
  15. JamiiForums Tanzania Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

    Hapa ni plastic free society.. Wanajaribu kupunguza matumizi ya vifungashio vya plastic vyenye madhara
  16. JamiiForums Tanzania Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer)

    Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer) Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi wamelezea inavyo tosha kuelewa sehemu hii ya internet, nitakacho kupa hapa ni faida kama haujawahi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio 'wagalatia' waliologwa! Tena, tuone jinsi wanavyologwa. (gal 3:1)

    Katika dunia ya leo, tuna swali kubwa kuhusu watu wanavyodanganywa KIRAHISI na manabii wa uongo ambao hapahitajiki akili yoyote kubwa katika kuwatambua. Manabii wa uongo ndio wamekuwa kirusi kilichoupaka wokovu matope. Ujue, watu wa dini huwa hawajui kutofautisha kati ya vituo vya maombezi na...
  18. JamiiForums Tanzania Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyorudisha tabasamu la baba wa miaka 65 kutoka JF

    İlikuwa February 12 nilipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa ameniona JF. Mzee: “ Samahani nimeona post zako hivi JF Nina Shida ya Kinywa na meno nimepoteza meno yangu yangu nikiwa na Miaka 48 hivyo nahitaji Huduma ya meno bandia ya Kudumu, si Nita we za Kutafuna!? “ Mimi :”Ndyo...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Panyabuku walivyofanya bure kazi ambayo serikali ilitenga dola millioni 1.2 ( Tsh Billioni 3.24 ) kwaajili ya kuifanya

    Huyu ni Panyabuku maji, anaishi kwenye maji na nchi kavu. Wakati mradi wa kujenga dimbwi la maji huko jamuhuri ya Czech ulikua umekwama kwa ajili ya vibali vya ujenzi kwa miaka 7, licha ya kupata ufadhili wa dola millioni 1.2 kukamilisha ujenzi huo siku moja watu wa maeneo hayo waliamka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…