jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi ya kuhakikisha utajiri wa familia unaendelea kizazi hadi kizazi

    Utangulizi Katika jamii nyingi za Kiafrika, familia huanza kujenga utajiri lakini baada ya kizazi kimoja au viwili, mali hizo hupotea. Hali hii inasababishwa na ukosefu wa mipango ya urithi, elimu ya kifedha, na usimamizi mzuri wa mali za familia. Leo tunajifunza jinsi ya kuhakikisha utajiri wa...
  2. Jinsi ya kuachilia nguvu za kiroho ndani mwako wakati unapitia magumu.

    Mwanadamu ana nguvu mbili ya ndani na ya nje . Mwanadamu ameumbwa akiwa kamili au kwa mfano wa Mungu, uungu u ndani mwake,hivyo haitaji nguvu toka nje ili aweze kujiendesha labda tu kwa asiyeelewa jinsi ya uuungu ndani mwake unafanyaje kazi,kila kitu kimo ndani mwako uhitaji mganga,nabii wala...
  3. Manabii wa "Mchongo" - Njia rahisi ya kuwatambua na kujiepusha nao

    Nyakati hizi kuna watu wengi wanaoitwa manabii. Nabii ni mtu anayepokea ufunuo au maono kutoka kwa Mungu na kuyatangaza kwa watu. Kwa maneno mengine Nabii ni mtu anayeongea kwa niaba ya Mungu. Je, kila anayejiita Nabii ni nabii wa kweli? Biblia inatufundisha kwamba siku za mwisho, manabii wengi...
  4. M

    JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUPAKA KWA AJILI YA BIASHARA

    Ni Rahisi kutumia Macro Wax, White Oil, Glycerin, Rangi na Perfume Huu ni mwongozo hatua kwa hatua wa kutengeneza mafuta ya kupaka kwa ajili ya biashara. Mafuta haya ni mazuri kwa ngozi, yanatia unyevu, na unaweza kuyaongeza rangi na harufu ili kuyafanya yawe ya kuvutia zaidi sokoni. 🔹...
  5. Jinsi ya Kuwa Vile Unavyotaka Kuwa

    Kila mara weka picha akilini mwako vile unavyotaka kuwa,weka mawazo yako unataka kuwa mtu wa namna gani Ili ufanikiwe inatakiwa uwe na mlengo wa kuona mafanikio mbele yako,mfano unapenda kuwa na ndinga flani hapa town/gari ya ndoto yako,basi waza kana kwamba upo ndani ya hiyo gari una cruise...
  6. Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza YouTube ni moja ya njia bora za kutengeneza pesa mtandaoni, lakini wengi hawajui pa kuanzia. Kama unatafuta njia ya kuanza kutengeneza kipato kupitia YouTube, basi makala hii ni kwa ajili yako! 1. Chagua Niche Yenye Fursa Sio kila video...
  7. Umegundua Jinsi Ya Kupata Kipato Zaidi Kupitia Uwekezaji Katika Hisa?

    Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa... Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi. LAKINI… Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
  8. JINSI YA KUSAFISHA AKILI

    . Karibu binti na mwana wa mama Afrika. Ukiingia katika maandiko Subconscious Mind inaitwa moyo au roho. Ukisikia fulani ana roho/moyo mzuri au mbaya ina maana hizo sifa zimejaa katika Subconscious mind yake. Na ndiyo maana ya kauli ya Yesu kusema kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho...
  9. Tetesi: Jinsi ya Kuandika Tamthilia za Kiswahili kwa Maigizo ya Jukwaani na Redioni.

    Utangulizi Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo ya kijamii. Ili kuandika tamthilia nzuri, ni muhimu kuelewa muundo wake, mbinu za uandishi, na jinsi...
  10. Naomba anayefahamu biashara ya Mbao anipe mchanganuo jinsi ya uendeshaji

    HABARI WANA JAMII FORUM Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao 1,upatikanaji 2,usafirishaji 3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara 4, mtaji wa chini kiasi gani 5,namna ya kutafuta soko
  11. Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  12. Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer)

    Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer) Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi wamelezea inavyo tosha kuelewa sehemu hii ya internet, nitakacho kupa hapa ni faida kama haujawahi...
  13. Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!

    Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha! Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi kupangisha fremu na kununua bidhaa. Kuna biashara nyingi unazoweza kuanza bila kupangisha fremu...
  14. Msaada jinsi ya kujisajili website ya Zimamoto

    Uzi tayari.
  15. Msaada jinsi ya kuandika maandishi mahali na kuyahifadhi ili baadae kuyachapisha au kuyahamishia mahali pengine

    Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote. Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost...
  16. Jinsi ya kutengeza beat simple ya Trap kwenye fl studio

    Habari wakuu. Ningependa kushare nanyi ujuzi wangu mdogo katika kutengeneza beat ya trap. Kwa watakaohitaji FLP yake niunge mkono kwa kusubscribe na niandikie tu katika email hii nami nitakupatia bila wasiwasi. sgbsupertech@gmail.com https://youtu.be/FAs5ySOAN5c
  17. Jinsi ya kutambua Propaganda za Watawala kutoka kwa Noam Chomsky

    Noam Chomsky, mmoja wa wanafikra wakubwa wa zama zetu, ameandika sana kuhusu propaganda na jinsi serikali pamoja na vyombo vya habari vinavyotumia mbinu mbalimbali kuwadhibiti wananchi kwa kuwapa taarifa zilizopindishwa au kupotoshwa. Kupitia kitabu chake Manufacturing Consent (alichoandika na...
  18. Mawazo 114 ya Biashara na mitaji yake: Hatua kwa Hatua: Jinsi ya Kuanzisha Biashara 114

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani unahitajika...
  19. Aina za mitaji ya biashara na jinsi ya kuipata

    Katika safari ya ujasiriamali, mtaji ni moja ya changamoto kubwa inayowakumba wafanyabiashara wengi. Bila mtaji wa kutosha, ni vigumu kuanzisha au kukuza biashara yako. Hata hivyo, kuna aina mbalimbali za mitaji unayoweza kutumia kulingana na mahitaji na uwezo wako. Leo, tutajadili aina kuu za...
  20. S

    Jinsi ya kutibu kuvu (fangasi) sugu za miguuni

    Fangasi miguuni (nyungunyungu) au athlete's foot kwa jina la kitaalamu, ni tatizo linalowasumbua baadhi ya watu. Watu wenye tatizo hili mara nyingi hujikuta wakitumia tiba mbalimbali za kisasa bila mafanikio. Kama mchango kwa jamii nimeona leo nishiriki na watakaojaliwa kupitia post hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…