jini

Jini (), also called Apache River, is a network architecture for the construction of distributed systems in the form of modular co-operating services. JavaSpaces is a part of the Jini.
Originally developed by Sun, Jini was released under the Apache License 2.0. Responsibility for Jini has been transferred to Apache under the project name "River".

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

    Hili jambo sikuwa napenda sana kuwahadithia wadau. Lakini leo naona niwape kisa hiki kilichonipata miaka ya 2000s. Mimi nimekulia Sinza kivulini kwa miaka yangu yote na washkaji kibao ambao wengi walienda Usa na South Afrika. Bongo tulibaki wachache sana ktk group letu. Akina Mandawe na Jitu...
  2. Da'Vinci

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    Mates; Binaadamu tumeumbwa kwa matabaka tofauti tofauti sio wa rangi wala jinsia, katika upande wa Personalites binaadamu yupo katika makundi mabalimbali. Kuna Makundi makuu mawili ya personalities,ambazo ni Extroverts na Introverts. Kwa upande wa introverts dunia kwao si kikwazo au haina...
  3. Dam55

    Simulizi: Mpenzi jini

    SIMULIZI:MPENZI JINI. MTUNZI:LAMECK PETER SEHEMU YA 1. ...Kwa Jina Ninaitwa KETARO Ilikuwa Ni Mwaka 2015 Nikiwa Na Umri Wa Miaka 21 Nikiwa Nimezaliwa Mwaka 1994.Nilikuwa Ninaishi Na Bibi Yangu Mzaa Mama Katika Mkoa Wa Rukwa Sumba Wanga.Bibi Yangu Huyo Alikuwa Ni Kabila La Mfipa.Bibi Yangu...
  4. Chizi Maarifa

    Safari hii Jini Kizaizai atakuwa anazunguka tu ndani ya CCM yenyewe

    Uchaguzi huu ukipitishwa tu na CCM kugombea Udiwani au Ubunge, UMESHINDA. Wala hauna tena mashaka sijui upinzani. Yaani huku Lumumba ni watu kutafuta tu connection za watu majimboni. Sasa hivi ubaya ubaya unafanyika ndani kwa ndani; yaani usishangae tu ukasikia mtu kapitishwa na Chama kesho...
  5. kenzi

    Kupigwa Marufuku Makanisa ya Kilokole, Gwajima amjibu mkuu wa mkoa wa Arusha, ni mtoto wa Dawa

    Baada ya mkuu wa mkoa wa arusha kusema kuwa makanisa ya walokole yadhibitiwe kwa kuwa wanapiga kelele (Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa) Gwajima ameamua kumjibu mkuu huyo Amesema kuwa Tanzania ni nchi huru kila mtu ana haki ya kuabudu, muda wowote na wakati wowote Amesema kuwa waumini wa...
  6. Zero IQ

    Heri ukutane na jini kuliko kukutana na mwanamke shoga

    Mwanamke shoga ni yule mwanamke anayelalwa mbele na nyuma yaani kuna muda ni mwanamke na muda mwingine ni shoga ule wakati wa kuliwa makinikia/Kisamvu/Mtaro. Kwa sisi mabaharia tusiopenda ule mchezo wa kishetani huwa inatuwia vigumu sana kumrizisha demu wa namna hii. Yeye atataka umkaze mbele...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Njia Rahsi za Kumwita Jini Mpole na Kumuamrisha unayoyataka na atakufanyia.

    LEO nawafundisha njia fupi ya kumwita JINI mpole Kisha mwambie haja zako. nunua aina ya taa Za chemli mbili weka utambi wa Sanda iwe kama tambi kila chemli weka mafuta ya taa kipimo cha vikombe vya kahawa kila chemli weka vikombe saba saba Kisha ktk kila tundu LA chemli weke mchanga wa...
Back
Top Bottom