jini

Jini (), also called Apache River, is a network architecture for the construction of distributed systems in the form of modular co-operating services. JavaSpaces is a part of the Jini.
Originally developed by Sun, Jini was released under the Apache License 2.0. Responsibility for Jini has been transferred to Apache under the project name "River".

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Kama Mohammad Mwenyewe Alisema Kuwa Alitokewa na Shetani au Jini Pangoni, Kwa Nini Watu Wengine Walimlazimisha Aamini Alikutana na Malaika?

    Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye hajui kusoma, yule kiumbe akaanza kumbana na kumwachia, akirudia tena na tena, akimlazimisha asome, na...
  2. K

    Haya ndiyo matumizi ya Tsh 600B za uchaguzi!!! Tusishangae vijana kuchoma nchi

    Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
  3. Fbn

    Ni Hatari kufanya Utani kwenye Mambo ya Mungu "Toka lini shetani Kufukuza jini?"

    Kuna mda tunapoelekea sijui kama tuna jenga nchi embu pata huyu ndio kawa waziri
  4. Last_Joker

    Simulizi: Mzimu wa mashuaa (Jini la Msitu wa Mtende)

    SEHEMU YA KWANZA MTUNZI: The Last Joker Mwanzo wake haukuwa na kelele nyingi. Saa tano za mchana, jua lilipokua limeyumba pembezoni mwa msitu wa Mtende, kulikuwa na ukimya wa ajabu. Kimya kilichozidi hata cha kaburi. Ukapigwa na upepo wa ghafla—ukaja kama kicheko cha majini waliokuwa hawajala...
  5. Magical power

    Nilivyo kutana na jini wa utajiri wa mateso

    H
  6. Abou Shaymaa

    Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

    Naam Kwa Mara Nyingine Tena, Hii Ni Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mzuri Zenye Kusisimua Kutoka Kwa EDGAR MBOGO Leo Nakuletea Simulizi Mpya Inayokwenda Kwa Jina La (KIFO CHA HAWARA (Mkono Wa Jini) Itakayo Kujia Hapa Hapa JamiiForums Mwanzo Mwisho, Hii Sio Ya Kukosa, Na Kama Ulipitwa Na Simulizi...
  7. balibabambonahi

    Ukiona serikali inatisha Raia ,inapiga wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake

    Kwanini serikali inaogopa kukosolewa? Ukiona serikali inatisha RAIA,inapiga na kuua RAIA wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake. Mwanafalsafa John Locke anasema,serikali hiyo yafaa iondolewe madarakani.Serikali imegeuka haini dhidi ya RAIA wake. Serikali isiyojua wajibu wake,kazi makelele tu...
  8. M

    kwa nini Story za Popo Bawa kaonekana Temeke na Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni siku hizi hatuzisikii ? je popo bawa amefariki ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
  9. Kibosho1

    Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba. Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba. Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo...
  10. B

    Tundu Lisu ni sawa na Kisimati jini

    Tundu antipasi Lisu amekuwa mwiba na mkali kweli kweli kwenye siasa za Tanzania Ukali wake huo mpaka rais wa nchi mama Samia Suluhu Hassani akaamuru SIMBA mmoja machachari mbugani kuitwa jina la Tundu Lisu Kwa umachachari wake huo Tundu Lisu namfananisha na pombe kali inayoitwa "Kisimati Jini"...
  11. babukijana

    Jini mahaba, hawa ni wa kawaida tu

    Kusema ukweli ni viumbe tu wa kawaida kabisa, yaani in soul anaongea na wewe na mtakaa vizuri tu. Ukichepuka analia kule. Then ndio unaanza kuona mabalaa. Machozi yake ni Lulu. Siku ukikutana na huyo mwanamke hutatamani tena kuwa na kitu kinaitwa binadamu? Utaona raha zote zinapatikana pale...
  12. SweetyCandy

    Msaada: Anateswa na jini mahaba, kajaribu kila kitu kimeshindikana

    Wadau jamani tukiacha matani ni wapi mty aende akatolewe jini mahaba anasumbua sana kiasi cha kuua hata walio karibu na huyu dada mpaka nasasa amekuwa anaadhiri sana maisha yake. Ikiwemo uchumba kuharibika na riziki pia kaombewa, kanywa mafuta kafanya kila kitu umri unaenda naombeni mumsaidie...
  13. Zee la Mandandu

    Jini la kuongea Kiingereza lapanda na kukataa kutoka

    Hili jini sijui kwanini lisipande kwa viongozi wetu wanapokuwa kwenye mikutano ya kimataifa ili kuwasaidia kuongea na kusoma mikataba ya kimataifa inayoandikwa kwa Kiingereza hivyo wanasaini bila kujua na kuiingiza nchi yetu kwenye mikataba ya hovyo.😀😀😀 Jini hili la mzee wa Buza linaitwa RAS...
  14. D

    Hebu tueleze jinsi uliyegombana naye alivyogeuka kuwa mpenzi wako baadae!

    Naanza Mimi. Imenitokea mara mbili; 1. Nilipigana kabisa na msichana flani tukiwa shule ya msingi (darasa la 6). Alinichongea kwa mwalimu nami nikamtafuta baadae na kuzibuana nae vibao; mitama miwili na vibao vitatu swaaafi kabisa vikamkuta. Nikaripotiwa tena na viranja nikaadhibiwa tena...
  15. Udart

    Mateso anayonipa jini mahaba

    Kwema? Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia...
  16. Inside10

    Sheikh Sharif Jeylan: Niliwafungisha Ndoa Jini Na Binadamu na hadi sasa wanaishi pamoja..

    Manara TV imepata fursa ya kuzungumza na Sultan Sheikh Sharifu ( @shekhsharifjeylan ) na amezungumza mengi sana. Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja. Kuitazama Full Interview Ingia Youtube Kwenye Channel Ya Manara Tv...
  17. J

    Sheikh Sharifu niliwafungisha ndoa jini na binadamu na wanaishi pamoja

    Katika mahojiano maalumu na Manara TV Sultan Sheikh Sharifu alifunguka kuhusu matukio ya kushangaza Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja.
  18. Codeboy Breezy

    Simulizi: Nyumba ya majini

    Na mwandishi wetu Sehemu ya 01, NYUMBA YA MAJINI “KAMA kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa unaweza kusema si kweli, lakini wale wanaoyapata hayo mambo wanajua na wewe usiombe yakukute hata siku...
  19. Superbug

    Jirani yangu amepata stroke familia inaamini ni jini hii ni siku ya tano yuko ndani haongei hawampeleki hospital.

    Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
  20. MKATA KIU

    Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni, Popo Bawa kaonekana mbagala, stori hizi zimefia wapi ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. Shule kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi...
Back
Top Bottom