jikoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. "Wanatoa maziwa na mayai, wanastahili kuwa jikoni" maneno ya Mdau

    Kuna haya maneno nimesikia kutoka kwa mdau mmoja akisema "Hawa wanatoa maziwa na mayai, wanapaswa kukaa jikoni ndiyo sehemu yao, huku kwingine tunalazimisha tu" Ni kauli ya kufikirisha sana. Inawezekana ni kauli ambayo imepitwa na wakati au inawezekana ina ukweli fulani tunaoukataa. Tujadili...
  2. U

    Kwanini ukiiba Kitoweo jikoni ni rahisi kugundulika kuliko ukiiba mboga za majani au maharage?

    Tafakari ya kina
  3. R

    PostGE2025 Gen-z msiandamane! CCM ni master of check and balance, Tanzania mpya IPO jikoni

    Hotuba ya jana imethitisha Kwamba hakuna haja ya maandamano, Chama kimeshafanya homework ya kutosha na kujiridhisha "smooth transition" ndio mechanism pekee inayoweza tumika! Wakati nyie mkijikita kwenye hasira ya hotuba ya jana wengine walijikita kwenye body language, kikohozi plus panic mode...
  4. GE2025 Samia: Mkiwakuta wale wanyama waambieni dawa yenu ipo jikoni

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 jimbo la Ruangwa MKoani Lindi, Mgombea urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi kumimaliza kero inayowakabiri ya wanyama pori kuingilia makazi ya watu na kuharibu mazao kwenye mashamba yao. Kauli...
  5. Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

    Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana. Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm. Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani...
  6. Sisi tusio na Chama kazi yetu ni kuhakikisha jikoni hakukosi kuni 😂.

    Sisi tusio na Chama kazi yetu ni kuhakikisha jikoni hakukosi kuni 😂.
  7. Jikoni na Beelove

    Kwa wale wapenzi wa kupika ntakua nashare baadhi ya mapishi tofauti tofauti: mapishi haya unaweza ongeza au kupunguza vitu kutokana na upendeleo wako (hivyo sifungamani na mtu yyt yule). 1. UPISHI WA TAMBI ZA MAYAI MAHITAJI: Tambi nusu pacti...
  8. Ubunifu vyombo vya jikoni kwa kutumia malighafi mchanganyiko

    Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂 Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
  9. Dondoo/ Siri/ Mbinu za jikoni

    ▶️DONDOO ZA JIKONI:- 1🧂Ukiandaa nyama kwa viungo kama tangawizi, thomu na masala ongeza mafuta kidogo na mtindi vijiko viwili utafurahi. 2🧂Ukikosa vanilla unaweza saga ganda la limao bichi linaleta harufu nzuri kwenye keki na chapati za maji. 3🧂Ukipika mboga ya karanga tumia maziwa kukorogea...
  10. Nataka nichonge kabati la jikoni

    Evening!!! Nahitaji kuchonga kabati la jikoni fundi wangu anashindwa kufanya vipimo vyake kwasababu ya hiki kitu"ovena iliyounganika na jiko Ina vipimo gani Yani urefu na upana!!" Msaada tafadhari naambatanisha na picha.Asante
  11. D

    Kwani Jikoni kuna nini jamani. Mbona kila msanii anapenda kusifia kifanyia jikoni au varandani. Kuna nini huko?

    Nimekuwa nikisikia wasanii wanasifia sana kufanyia jikoni au varandani. Sasa huko sijui kuna nini ambacho kitandani hakuwezekani. Naomba majobu mliofanyia jikoni
  12. U

    Taliban yapiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanaangalia maeneo waliyopo wanawake kama jikoni

    Serikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita...
  13. Safari pub ni uwozo. Wahudumu jikoni ni wapumbavu

    Uzi huu hauna maana kuharibu biashara ya mtu yoyote. Kwa sasa biashara ni ushindani haiwezekani kuna shida tubung'ae kama mazombi. Kinyerezi imefunguliwa casino. Lazima mfanyabiashara uwe na customer servece nzuri. Hawa mabintinwa safari pub Kinyerezi mwisho upande wa jikoni hawafai kuwepo...
  14. E

    Nafasi za Kazi WhyNot In Lounge and Kitchen (Kazi za Jikoni na vinywaji)

    Tangazo la Kazi - Jiunge na Timu ya WhyNot In Lounge and Kitchen! Tunakukaribisha kujiunga na timu yetu yenye ari na ubunifu hapa WhyNot In Lounge and Kitchen, iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo: 📌 Mpishi Msaidizi 📌 Bartender/Counter Staff...
  15. Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀

    Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀 Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda sana ila sisi wanaume huwa tunaona kukaa jikoni na mkeo ni ugai gai ila ni moja ya kitu bora sana kwao
  16. Kisa nishati safi, Tulia Ackson aweka Uspika pembeni. Aingia jikoni kupika

    Huko mitandaoni, Mbunge wa Mbeya Mjini, kuna video inamuonesha Tulia Acskon akiwa jikoni anapika ambapo alikuwa anatumia nishati safi aina ya mtungi wa gesi. Tulia anaonekana akiwa kwenye nyumba chakavu anapika huku akiwa anasiia namna ambavyo nishati safi inarahisisha shughuli yake ya kupika...
  17. Nicheki nikujengee kabati za jikoni n.k

    Habari zenu wakuu, nimekabidhi kazi kama inavyoonekana hapo. Ni kabati za jikoni, hapo bado finishing tu ila kazi yangu nimemaliza. Pia napiga plasta, kujenga, na ramani nachora pia kulingana na eneo lako. mengine kama hayo kwa bei nafuu. kama unahitaji nicheki nikujengee 0624254690 NB...
  18. Hayawi hayawi, hua. (Kozi ya Upwork ipo jikoni)

    Habari wanaJF, Ni mimi tena, na natumaini kuwa upo vizuri unaposoma maneno haya. Leo imekuwa siku ya Idd kwa ndugu zangu waislamu, na wasabato fulani wapo kwenye msimu wa makambi. Yote mema.... Ee bwana, juzi kati nilizungumzia kozi yangu ya Upwork nitakayoitafsiri kwa ajili ya kusaidia...
  19. Ushauri kuhusu mbao nzuri za kujengea makabati ya jikoni ukutani

    Habari za humu? Nilikuwa naomba kujuzwa mbao gani ni nzuri kwa kujengea makabati ya ukitani na pia Jikoni. Natanguliza Shukurani
  20. Nyuki wamevamia jikoni kwangu

    Wakuu, hapa getho kwangu Kuna nyuki wamevamia toka majuzi,, wananifanya nisiishi kwa raha,, mama watoto wangu anashindwa kukaanga vizuri hapa kwa sababu ya hawa nyuki. Naomba mnipe dawa au namna ya kuwaondoa hawa nyuki. Kama Kuna dawa za kupulizia ili wasepe hapa jikoni kwangu nipeni maujuzi wadau
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…