jiji

Jiji refers to an ethnic and linguistic group based in Kigoma Region, Tanzania.
If tribes are classified by language and not by race, Bajiji (Jiji people) are part of Baha (Ha people) since their language is the same. Traditionally they were organized into a separate kingdom, Bujiji (Swahili Ujiji, same as the Arab town of Ujiji near Kigoma), and formed part of Buha (Uha, Ha territory) with other kingdoms: Heru, Bushingo (Ushingo), Ruguru (Luguru), Muhambwe and Buyungu, all of them in Kigoma Region, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  2. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Tulioumizwa viwanja Jiji & Kamishna Mkoa Dodoma 2024 tukutane hapa!

    Wife yupo Dodoma huko serikalini, nafanya shughuli zangu DSM, tangu enzi za magufuli kuhamisha watumishi nikasema ninunue viwanja kadhaa, ashukuriwe Mungu vingine nilijenga na nilipata wapangaji wazuri, in the process kujenga vingine nikaja gundua kumbe ni viwanja hewa, vina double allocation...
  3. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Dodoma jiji

    1. Inawezekana kabisa Yanga imejipata, wachezaji wanacheza kwa nguvu na kujituma kama ilivyokua mwanzo, gari limewaka. 2. Kibwana Shomari ameendelea kuproove kwanini mashabiki walipiga kelele apewe nafasi ya kucheza. Aziz k amerudi. 3. Clement mzize ni winga hatari sana kwa sasa, ana kasi...
  4. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa mbeya,haswa Jiji la Mbeya haujavutiwa na mradi wa Barabara

    Hali ya barabara za mkoa mzima wa Mbeya ,hali yake ni Mbaya!
  5. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Je Serikali inaona hivi vibanda vinavyochipuka kila kona ya Jiji.

    Miaka miwili iliyopita Serikali ilifanya jitihada Kwa kile kilichotajwa kuwapanga machinga, zoezi ambayo lilifanyika nchi nzima. Mafanikio yalikuwa makubwa kwani maeneo mengi ambayo yalikuwa na changamoto yalipangika vizuri . Nguvu na gharama kubwa zilitumika. Kwa sasa hakuna jitihada zozote...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Je wajua, Jerusalem ni Jiji pekee linalopatikana Duniani na Mbinguni?

    Salaam, Shalom!! Yapo majiji mazuri duniani Hilo halipingiki, Lakini, Pana Jiji liitwalo Jerusalem, Jerusalem ni Jiji pekee ambalo lipo duniani na Mbinguni. Na hayupo na hatokuwepo atakayeingia Mbinguni ikiwa Si Mwisrael wa mwilini au wa rohoni. Ikiwa unapenda kuwa mmoja wa raia wa Jiji hili...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Unamkumbuka Left footer magician? Rally Bwalya anakaribia kutua Pamba Jiji ya Mwanza

    Maestro Rally Bwalya (Left footer magician), anayejulikana kwa uwezo wake wa mguu wa kushoto, yupo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wake na klabu ya Pamba Jiji ya Mwanza. Bwalya, ambaye kwa sasa anaitumikia Napsa Stars ya Ligi yao ya Zambia, anatarajiwa kujiunga na timu hiyo ya...
  8. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jiji la Dodoma kuna changamoto ya mpango mji, Watu wengi wanaishi maeneo hatarishi

    Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kero ja ujenzi Jiji zima la Dar esalaam

    Kwa sasa hivi na muda huu kuna miradi ya barabara inatekelezwa na wachina jiji zima la Dar es salaam. Niitaje: -Airport -KAMATA/Aggrey st. -Bibi Titi Rd -Ali Hassan Mwinyi rd -Morrocco-Mwenge rd -Ubungo-Kimara rd -Ubungo -Mwenge rd -Mwenge-Tegeta/Basihaya rd -Kawawa /Msimbazi -Azikiwe /Posta...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mangi aingizwa cha jiji

    Kama ulikua hujui kuwa duniani kuna MCHAGA amewahi kutapeliwa MILIONI SITA NA KUPEWA SANDUKU wacha nikufahamishe;- Katika hali isio kuwa ya kawaida kuwahi kutokea duniani, Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la POLINARY MWANGA, Ambae ni mkazi wa KIBOSHO mkoani KILIMANJARO...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas wafanya shambulizi katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar.

    Wanaukumbi. ⚡️ Vikosi vya Al-Qassam: Picha za shambulio la tatu la kuvizia likilenga askari na magari ya adui karibu na makutano ya Burj Awad katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar. ========================= ⚡️ Al-Qassam Brigades: Footage...
  12. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

    Hii picha imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33. Angalia vijumba zaidi ya 99% viko chini! Hii inaonyesha kiwango cha juu cha umasikini na ustawi wa jiji la Dar es Salaam! Tunataka tuwe megacity yenye skyscrapers kama New York!
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Utuaji ndege wasimamisha mechi ya Azam na Dodoma jiji

    Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira. Hii imekaaje kisheria?
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

    Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza. Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi? Wana Simba...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

    Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala? Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
  16. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Mshamba wa jiji nahitaji msaada wa kufika maeneo haya

    Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam...
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania MAKINIKIA: Hekaya fupi ya kaburi la wanapendanao lililopo katika jiji kongwe la Tanga ambalo linasemwa kuwa ndiyo kitovu cha mapenzi

    #MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya...
  18. Suip

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Arusha haifanani na hadhi jiji la Kitalii

    Mmiliki wa stendi ya jiji la Arusha hana bajeti ya kukarabati na kufanyia usafi jengo la abiria? Jengo nichafu mabati yana vuja mpaka wanaweka maturubali juu yake. Kama mnajenga stendi mpya tangu enzi Rais Magufuli mpaka leo haikamiliki na pia hii ya zamani nadhani itaendelea kutumika na...
  19. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

    Wakuu heshima yenu. Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika. Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar. Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Dodoma kuondolewa hadhi ya jiji iliyopata awamu iliyopita?

    Baada ya Dar kurejeshewa hadhi yake ya jiji, Je kuna haja ya Dodoma kutenguliwa hadhi haki ya jiji na kurejeshwa kuwa manisipaa tu? Ukitizama vizuri Dodoma haina tofauti kubwa na Manisipaa ya Morogoro ambayo sio jiji.
Back
Top Bottom