jifunzeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wadada kausha damu, jifunzeni hata kuwapikia boyfriends wenu

    Habarini Nimefanya takwimu isio rasmi, nimegundua wanaume ndio tunaongoza kwa kula migahawani kila siku, asubuhi mchana na jioni, wadada wanaokula migahawani ni wachache, tena wanakula mara moja moja, nika-reason na kusema wanaume wanaokula migahawani sio kwamba wote wako single, wengine wako...
  2. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Tanzania jifunzeni kwenda na muda

    Utafiti wangu binafsi. Madaktari wengi Tanzania hawawezi KWENDA na muda wanapoteza muda sana wawapo kazini. Kuna foleni zipo mahospitalini simply because madaktari na lab technician hawazingatii muda. Daktari anapiga soga na mgonjwa ndani ya chumba cha daktari kama wapo kijiweni. Wastani wa...
  3. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

    Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Taasisi zote makini za kijamii huweka misingi imara ya itikadi zao kuanzia kwa watoto. CHADEMA jifunzeni kwa chipukizi CCM

    Kwa siku kadhaa nimeshangazwa na wafuasi wa chama cha Mbowe kushambulia idara ya chipukizi iliyo chini ya UVCCM kana kwamba ni jambo la ajabu sana kuwahi kufanyika. Wanaoshangazwa na uwepo wa chipukizi wanatakiwa kujikumbusha kuwa chipukizi CCM haijaanza leo. Ni idara ambayo ipo kwa miaka mingi...
  5. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

    Wanawake wa siku hizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko? Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa yupo geto ila unalazimika kwenda restaurant kutafuta msosi ili upeleke mle pamoja kisa mpenzi wako...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania mnakwama wapi kwenda kimataifa? Jifunzeni kwa Diamond Platinum

    Mwaka 2010, jina la la Diamond Platinum lilichomoza kwenye vyombo vingi vya burudani kwa wimbo wake uliokuwa mkali kipindi hicho "Kamwambie". Ilimuchukua Diamond miaka 4 kupambana kwa kuimba sana nyimbo nzuri mpaka 2014 alipopata collabo kubwa ya kimataifa na Davido kwa wimbo wake "number one...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Waislamu jifunzeni kutenganisha dini (religion) na ya kidunia (secularism)

    Kalenda ya kiislam inasema huu ni mwaka 1445! Hii ni miaka 600 hivi nyuma ya kalenda ya watu waliokombolewa! Waislamu wengi ni vigumu sana kutenganisha dini na mambo ya kidunia. Jambo hili lilikuwa tatizo pia Ulaya miaka 600 iliyopita. Dini ilikuwa serikali na serikali ilikuwa dini. Watu wengi...
  8. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kuwatunza na kuwaheshimu wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwatokea haya anayopitia mzazi mwenzangu

    Ni dhahiri kuna baadhi ya watu hata ukiwastili vipi au kuwaheshimu vipi au kuwasaidia vipi ipo siku watukufanyia ubaya tu bila sababu ya msingi. Lakini hilo lisiwe ndio chachu ya kuwatendea wengine mabaya, ni bora uwe neutral (mtu wa haki sio mtu wa favors) kuliko kuwa negative. Hii ni kwa...
  9. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Wabunge jifunzeni

    Uchawa haulipi. Nisifa tu kwa wahuni. Waheshimiwa Wanasiasa jifunzeni uwajibikaji kwa hawa waliowadogo: 1: Mbunge Waitara kutoka Tarime vijijini, Serikali'' ilipomjibu majibu mepesi kwa maswali magumu, uongo kwenye uhalisia alikataa mchana kweupe, hicho ndo tumewatuma mkafanye na sio kupigwa...
  10. lusanasaimon

    JamiiForums Tanzania Aisee nimeamini wanawake ni watu wa hovyo

    Habari zenu Niende kwenye mada direct inayo muhusu rafiki yangu mmoja wa faida sana, tumekua tuki badirishana mawazo ya kimaisha , mahusiano nk, Huyu rafiki yangu leo ameniambia kitu ambacho kimenifanya nije ku share nanyi, iko hivi huyu jamaa (rafiki) yangu alikua na mpenzi wake wa muda mrefu...
  11. The Eric

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kumove on

    Haloo jukwaa la MMU.... Ngoja leo nitetee hawa malaika a.k.a maua a.k.a wanawake kuna swala fulani kwenye gender sijui niseme sisi wanaume hatufanyi sawa kwao. Hivi inawezekana vipi mwanamke akosee umpeleke kanisani hadi umuitie wazazi kisa kachepuka na umemfuma red handed afu wewe mwanaume...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  13. HIMARS

    JamiiForums Tanzania TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

    Jana kaja Kamala wote tumeshuhudia Ulinzi imara usio na maonesho. Maonesho yenu ya kubeba mibunduki hadharani hayajaonekana jana. Siku zingine mnazingira Rais kama ni gaidi. Hata yule mpambe anayevaa magwanda sioni umuhimu wake zaidi ya matumizimabaya ya kodi. Vile vidada vinavyokaa pembeni ya...
Back
Top Bottom