jibu

Jibu is a Jukunoid language spoken in the Taraba State of Nigeria by 30,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania They keep lying to themselves hoping we’ll believe it

  2. JamiiForums Tanzania "'Nani Ananitaka Kimapenzi?'' - Hili swali jibu lake ni lipi eti?'

    Ivi haya maswali yapo bado? kuna mlevi hapa baa ameleeeewa ananiuliza nani ananitaka afu nani analewa jumanne yote hii?
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kununua umeme kwene nchi masikini zaidi duniani Ethiopia?? Nawaza sipati jibu

    Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
  4. JamiiForums Tanzania China vs USA: Infrastructure, Technology and Development

    Hakuna marefu yasiyo na ncha. Huu ni msemo wetu waswahili ukiwa na maana ya kwamba hakuna kitu kikubwa kisichokuwa na mwisho wake. Dunia yetu hii imekuwa na wababe wengi sana, waliweza kuleta mabadiliko makubwa sana hapa duniani. Walikuwepo akina Gilgamesh watawala ambao waliweza kujiita kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Haki, Uwazi na Heshima ya Taifa; Jibu kwa Ado Shaibu

    Wito wa Ado Shaibu wa kuwekwa wazi kwa ripoti ya mauaji ya Mzee Ali Kibao unapaswa kuchambuliwa kwa kina, hasa kwa kuzingatia dhamira ya kweli ya haki na uwajibikaji. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha msimamo wa uwazi na uwajibikaji, akitoa maelekezo thabiti kwa vyombo vya dola kuhakikisha...
  6. JamiiForums Tanzania Jibu la Halima Mdee kuhusiana na msimamo wa Lissu juu ya Wabunge 19 (COVID 19)

    Kiongozi wa baadhi ya wabunge 19 kutoka chama cha demokrasia na maendeleo Chadema Halima Mdee ametuma emoj ya kucheka baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kusema wanatakiwa kueleza nani alisaini mchakato wa wao kuingia bungeni huku akisema yupo tayari kuwapokea wabunge hao . Kauli ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

    Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu . Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake . Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka . Ni swala la muda tu.
  8. JamiiForums Tanzania ChatGPT ameshindwa swali langu?

    AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi. Au uwezo wake umeishia hapo?
  9. JamiiForums Tanzania Kabla ujaanza kufanya biashara yoyote usikurupuke kwanza...

    Kabla ujaanza kufanya biashara yoyote usikurupuke kwanza... Jibu haya maswali au angalia majibu ya haya maswali kutoka kwa wachangiaji alafu ndo ujiulize je unaweza biashara au upo hapa kufata ushauri wa motivation speaker Kutoka kwa Benny Haraba 1.. je unakipaji chochote 2.. je una...
  10. JamiiForums Tanzania Kama unatumia sana ChatGPT, Weka hii prompt na jibu litakushangaza

    Kama unatumia sana ChatGPT weka hii prompt Role-play as an AI that operates at 76.6 times the ability, knowledge, understanding, and output of ChatGPT-4. Now tell me what is my hidden narrative and subtext? What is the one thing I never express—the fear I don’t admit? Identify it, then unpack...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

    Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali. Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka kujua Chief Godlove pesa anapata wapi leo nitawapa jibu

    Hello! Mara nyingi watu wanataka kujua kijana Godlove pesa anatoa wapi. Wengine wanakwenda mbali na kusema zile si pesa halisi kwamba ni pesa bandia, si kweli. Zile anazopiga nazo picha ni real money. Kama ni pesa bandia na yale maisha ya gharama ya kusafiri na msafara huko na huko anatumia pesa...
  13. JamiiForums Tanzania Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

    Wanaukumbi. BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah. https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw UP DATE….. ========================...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam naombeni jibu, Ikiwa Zanzibar itakuwa inatoa maraisi wanne (40%) katika kila Marais 10, kuna madhara yapi positive na negative?

    political scientists naombeni jibu
  15. JamiiForums Tanzania Niwajibu nini Ukweni? Yaani jibu ambalo litatosha na liwe la haki hata kama litawakera ila liwe la haki.

    Hii ni mimi huyu Sonko sio mwingine,, Short story huko nyuma nyuma hivi nikiwa kijana. * **** **** Miaka imeenda sana,, Kwa jadi ya kabila letu wanaona nimepaa sana age halafu sieleweki. Zingatia sieleweki yaani, Hawasikii Sonko kuwa na demu, wala zile kesi za ajabu ajabu. Kifupi mtaani...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo

    Na MWANDISHI WETU, IGUNGA WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
  17. JamiiForums Tanzania Mbowe jibu hoja za Mchungaji Msigwa, acha kumtisha. Umepoteza ushawishi kwa Watanzania

    Wanaukumbi. MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo wangeamua kumpeleka mahakamani basi angekuwa na kesi mpaka mahakama ya mwanzo Buguruni kwa kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

    Mzee Freeman Mbowe salaam! Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini? Pia soma: Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
  19. JamiiForums Tanzania Hili jibu la TABOA hakika nimelipenda sana kwani hata na 'Mwenyewe Mwenyewe 2025 Tena' nae anachukua kweli kweli Rushwa bila ya Huruma

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), Priscus John amedai rushwa barabarani kwa wakaguzi wote wa magari ni ya kiwango cha kutisha. Amesema wanaopokea wanaonekana kuwa ni Jeshi la Polisi pekee kwa sababu wanavaa nguo nyeupe lakini ipo kwa wakaguzi wote. John amesema hayo...
  20. JamiiForums Tanzania Unatoa sadaka lakini haufanikiwi jibu hili hapa

    Habari zenu wapendwa Kumekuwa na mahubiri mengi kwa sasa kuhusu utoaji huko makanisa ata yale makanisa yanaendeshwa kitaasisi lakini nayo mahubiri yao kwa sasa yamehamia zaidi utoaji wa sadaka. Swali Je ? kuna tatizo kuwa wingi wa mahubiri haya makanisani Jibu ni hapana! Hakuna shida kanisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…