Ndugu zangu leo yametokea maajabu!
Na ninashaka na huyu member.. min -me kuwa atakuwa na uhusika katika staff ya hili jukwaa..
Haiwezekani apigwe ban alafu hiyo ban iishie ndani ya dakika kumi tu.
Hicho kitu Hakija wahi kutokea katika historia ya jamiiforums, na je, wenye mods mnamajibu...