Kuna namna wazazi wa kiswahili au uswahilini huwa na majibu yao ambaye mengine yanachekesha, kukera au walivurugwa zaidi hujibu bila kushirikisha ubongo yaani kutumia lugha nyeusi.
Mfano ukijiweka kwenye mazingira ya mzazi wa Kiswahili utajibuje mtoto akisema ameloweka kiberiki akitaka kuwasha...
Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992)
1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima ila chalii.
Anarudi nyumbani hali inazidi kuwa mbaya, anapigwa minyororo kama mbwa, mama...
Naamini Jamii Forums ni kisima cha Maarifa ni kwamba huwa kuna Mkataba kati ya Airtel na Mteja hizi Agreement mara nyingi huwa ni ndefu na zimeandikwa kwa maandishi madogo lakini pia zinatumia Lugha za Kisheria ambapo watu wengi wanapuzia kuzisoma na ukikaa ukisoma kwa makini hizi agreement huwa...
Ikitokea mchezaji wakati wa mchezo kiatu kikamtoka mguuni then akafunga goli. Hilo goli litakubaliwa au litakataliwa?
Msinifokee jamani, kuna kitu najifunza
Naamini amejibiwa vizuri sana kwa vitendo na katika wakati sahihi. Ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani na yeye wangemnyoosha.
Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram
Bwana Jaji Mkuu, George Masaju.
Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee?
Je, huo ndiyo uhuru...
Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
Huwa nasikia watu wakilalamika na kutuhumu wakoloni kwa kutuletea matatizo. Hata hivyo, tukiwa wakweli, mengi ya matatizo yetu yamesababishwa na watawala wetu uchwara na waroho. Wakoloni waliondoka miaka zaidi ya 60 iliyopita. Ajabu, bado tunawafuata na kuomba mikopo na misaada toka kwao...
MUNGU ni mkubwa sana kama kuna mtu anaweza kukaa anasubilia majibu ya tume kwamba yanaweza kuja na kitu cha maana huyo inatakiwa kuwahi Mirembe hospital mara moja na kupata matibabu.
1. SIO WATANZANIA
2.WALIFUATA MKUMBO
3.WAMELIPWA ILI WAANDAMANE
4.HAKUNA MTU ALIEULIWA ILE NI AI (tunaunda tume kuchunguza mauaji)
5.WALE NI WAHALIFU
6.HAO VIJANA WALIOANDAMANA WATUAMBIE HAKI ZIPI WAMEKOSA
mnatuchanganya au ndio pressure imezidi.
Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi.
Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi.
2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza...
Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana.
Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au dada bila shaka ushawahi kuulizwa swali na mtoto mdogo. Je ni swali gani? Ulijibuje?
Wataalam...
3D ilionekana namba isio rasmi tukaambiwa camera hazisomani na plate namba lakini leo hii kuelekea uchaguzi zimezagaa gari zenye namba za SSH, je hizi camera zinasomaje?
Na pia huwezi kukuta zimesimamishwa na trafic, je haziwezi kutumiwa na watu waovu kufanya mambo yasio faa kwa plate za SSH??
Abbas Araqchi, akimjibu Donald Trump, alisema, "Ikiwa uchokozi huo utarudiwa, bila shaka tutajibu kwa uamuzi zaidi. Jibu ambalo halitawezekana tena kufichwa."
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aliandika kwenye mtandao wa kijamii wa X: "Mashambulizi haramu ya hivi majuzi ya vituo vya nyuklia vya...
Someone's mother has four sons. North, South, East. What is the name of the fourth son. Reply in the comment section below the name of the fourth son?
Karibuni.
Reply zikifika kati ya 50 nakuendelea tutavuta marking scheme kujua nani kapata nani kakosa we jibu swali usitoe maelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.