jeshi

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa Jeshi la Polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi

    Mwanariadha wa Jeshi la Polisi, Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa kwa kukimbia muda mfupi zaidi...
  2. DolphinT

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ukanda wa Gaza jeshi la Israel linalipua na kuangusha MAGHOROFA 5-10 kwa siku, lkn wananchi wanaokoana fasta, tena kwa mikono tu

    Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani?
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Uokoaji katika majanga Tanzania ni changamoto, sio leo toka zamani

    Tujikumbushe ajali na Watanzania wenzetu walivokufa kutokana na uzembe wa taasisi ya maafa na uokoaji 1. Ajali ya Meli MV Bukoba kuzama Hii ajali ilikuwa maelefu ya watu. Na ajalie ilitokea karibu na bandari ya mwanza, na meli ilizama Vyombo vya uokoaji havikutoa msaada 2. Mv Spice Zanzibar...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

    Wakuu, Millard kafanya mahojiano na bonge kueleza kwa undani kilkchotokea. Tunamjua Millard🌚🌚... mnasemaje wakuu? Wazee wa kusoma kuread between the lines na kuangalia body language, ukiangalia maswali ya Ayo TV na majibu ya Bonge, unapata conclusion gani? Naomba pia ujikumbushe kwenye uzi...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Idadi askari wa akiba wanaoitikia agizo la kujiunga na Jeshi la Israel kwa ajili ya kupigana vita imepungua kwa kiwango kikubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Hali ni tete vijana wa kiyahudi hawataki Tena kwenda vitani! Kumekuwa na kupungua kwa kiwango cha askari wa akiba wanaojitokeza kazini katika wiki za hivi karibuni ikilinganishwa na kuanza kwa vita, The Times of Israel limebaini. Mwanzoni mwa vita, IDF iliripoti kwamba...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ni fedheha dhidi ya demokrasia nchini

    Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi. Soma hii taarifa yao hapa chini Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: Jeshi la Polisi lawataka Wananchi, Wagombea kutii Sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Fahamu Mambo 10 kuhusu Jenerali Robert Mboma, CDF pekee kutokea Kamandi ya Anga

    Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi… 1. Jenerali Robert Mboma alijiunga na Jeshi la Wananchi na kulitumikia katika nafasi mbalimbali mpaka pale alipostafu mwaka 2001...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ulinzi la Yemen laionya Israel kuwa hata kama inauza assets zake za baharini ili kukwepa vikwazo vya jeshi la Yemeni, Vitachapwa tu!

    Msemaji wa Jeshi la Yemeni maarufu kama Houthis brigadier Jenerali Yahaya Saree, amesema kuwa Wanazo taarifa za kiintelijensia kuwa Serikali ya kigaidi ya Israel imeanza kufanya ujanja wa kuuza meli zake na asstes zake mbalimbali za baharini kwa watu wengine ili kukwepa vikwazo vya baharini...
  12. flamini

    JamiiForums Tanzania Website ya Jeshi la Polisi imeboreshwa na nimeipenda

    Waungwana Hamjambo? Website ya Jeshi letu pendwa la Polisi imependeza. Kama mtembeleaji na Mdau wa Jeshi letu Leo nimetembelea nimeona mabadiliko. Kwanza Heko Kwa graphic designer Kwa rangi na boldness of it. Pia nimeipenda walivoweka an update feed Kwa post a recent video of police force...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khamenei maji yamemfika shingoni. Aomba liundwe jeshi la mataifa mbalimbali kupambana na Israel

    Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
  14. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kalenda hii inaonesha kesho ni tarehe 32/10/2024

    Hii taasisi imetoa kalenda na kesho ni 32/10/2024 Nini maoni yako?
  15. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Jeshi la John Okello Israel ya Africa Mashariki liliwatindua vibaya sana Waarabu!

    Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel. Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa...
  16. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Iran yaongeza bajeti ya Jeshi kwa 200%

    Serikali ya Iran imeamua kuongeza bajeti ya kijeshi kwa asilimia 200%. Kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), Iran kwa sasa ina bajeti ya kijeshi ya dola bilioni 10.3. Kwa ongezeko la asilimia 200, matumizi ya kijeshi ya Iran yatapanda hadi dola bilioni...
  17. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Jeshi namba 6 kwa ubora duniani likaiokoe Congo DRC.

    Sasa yatosha, majirani zetu wanateseka sana. Ni wakati sasa jeshi letu pendwa (JWTZ) kwenda kufanya operation nyakua nyakua kutokomeza waasi wote na kuiacha DRC salama. Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa msemaji wa JWTZ, jeshi letu ni namba 6 kwa ubora Dunani. Sasa haliwezi shindwa kazi ndogo kama hii.
  18. M

    JamiiForums Tanzania TEHRAN: iran imesema Wanajeshi wake wawili wameuawa baada ya mashambulizi ya Israel kwenye kambi za jeshi Tehran.

    Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu. Source: Aljazeera English.
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Waharifu wamepungua nchini Russia baada ya wafungwa kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kepelekwa Ukraine

    Habari za uhakika na kupendeza uharifu sasa umepungua na waharifu wamegeuka kuwa watakatifu. ni baada ya waharifu kufikishwa mahakamani na kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kupelekwa Ukraine tena front line . Tutarajie vita ikiisha Ukraine Russia patakuwa paradiso.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa kimataifa kilichoibwa na kuhodhiwa godauni la hamas baada ya walinzi kulikimbia jeshi la Israel

    wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno. Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel...
Back
Top Bottom