jeshi

  1. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wakipongezwa Kuwalinda Raia dhidi ya Askari/Police. Jeshi letu msikubali kutumika

    Sehemu nyingi Duniani askari police huwa hawana akili. Askari Police wengi asilimia 80 huwa hawana tofauti sana na Mbwa.(Naamini wa Tanzania wapo tofauti) Wana Elimu ya kutosha na wameelimika. Sasa ukija kwa hawa Police na hata Mbwa huwa wana akili. Huwezi mwambia Mbwa amuume bwana ake akafanya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Tazama jinsi boti iliokuwa imebeba madawa ya kulevya kutoka Venezuela kuelekea Marekani ilivyodunguliwa na jeshi la Marekani.

  4. JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi. Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised. Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi, nisikilize hapa kidogo, walinzi wetu na mali zetu

    Mnawaumiza wanaotetea haki, amani na rasilimali za nchi YENU/YETU kwa manufaa ya WANAMTANDAO na vizazi vyao/marafiki zao. Upinzani mnaouumiza unawatetea hata nyie. Mnaambulia laana na makombo, wakati watoto wa wana mtandao wanaendesha Bughatti, Citroen, Feralli, ..... and the like. Bado kidogo...
  6. JamiiForums Tanzania Inakuaje sare za Jeshi zishonwe na raia, akiwawekea sumu SI watakufa kama Mende awa?

    Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo. Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi? Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda? Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna jeshi lenye ufanisi mkubwa Duniani kuzidi IDF?

    Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza. Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ? Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa...
  8. JamiiForums Tanzania JESHI LA WANANCHI SHIKAMOO.

    Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama. Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka "...
  9. JamiiForums Tanzania Wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi? Wamepewa maneno wakagonga tano wakaondoka zao

    Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha? Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo. Sasa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Polepole ataongea tena, tutapata uchungu zaidi lakini je, ni nani wa kutuokoa?

    Kichwa kimekuwa kizito baada ya kumsikiliza ndugu Polepole, kuna nyakati unakutana na habari ngumu usiyo na majibu hata unaona bora usingeijua...! Ni dhahiri kuwa haitatokea mgombea mkuu wa Nafasi ya Urais kwa sasa kujitoa, wala chama chake kutengua maamuzi, lakini pia hakuna mbadala sahihi wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameweza kuimarisha jeshi la polisi kwa kuboresha miondombinu ya kazi.

    Amejenga vituo vya polisi 472 vya kata na kuboresha makazi ya askari. Na kutoa magari mapya ya polisi ili kurahisisha utendaji wa majukumu
  12. JamiiForums Tanzania Traore Mwanajeshi aliyeamua Kulinda Rasilimali za Nchi yake !! JWTZ kikatiba Ina WAJIBU huo, shuhudia za Polepole ,nalitegemea Jeshi lichukue Hatua !

    Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao. KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!. Katika Wakati ambao Thaman ya Rasimali zetu itakua juuu zaidi, ndio wakati ambao Serikali itakua Haina chochote...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake ni jeshi kubwa

    Unapoambiwa wanawake ni jeshi kubwa usihoji ni jeshi lipi, wewe elewa tu kuwa hawa watu ni jeshi kubwa na wakiamua kuvamia kambi hawatishwi na ukubwa wa adui. Wanapambana na majitu na wanawakalisha chini. Hakika Kipenda roho hula nyama mbichi. Ama Mwenyekiti naongopa?
  14. JamiiForums Tanzania jeshi la anga la Israel limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi nchini Yemen

    Jeshi la anga la Israel IDF limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi wa Yemen, Sanaa, Taarifa hii imetolewa na vyombo vya ndani nchini isarel Mashambulizi hayo yanakuja baada ya waasi wa Houthi siku ya Ijumaa kurusha ndege isiyo na rubani na kombora la balestiki...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliotekwa nyara

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Mamlaka Agosti 23, 2025, Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wakiwemo wanawake na watoto, baada ya kufanya shambulio la angani kwa usahihi kwenye ngome ya majambazi katika jimbo la Katsina Kaskazini Magharibi. Operesheni...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Jukumu la Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu. Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na ushahidi wa kwenda kutihibitisha

    Wakuu, Akiwa anaongea leo kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kuwa kazi ya Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu na machafuko na sio kusubiri yakishatokea ndio wafanyie kazi Amesema "Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

    Wakuu Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii: "Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunasikitishwa na Jeshi La Polisi kuwakamata wanachama 10 bila ya kuwapatia haki ya kuonana na mawakili wao

    CHADEMA imelaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kuwashikilia wanachama wake 10 waliokamatwa Kibaha bila dhamana na bila kupewa nafasi ya kuonana na ndugu zao. Chama kimesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na Katiba, kikitoa wito kwa Polisi kuwapatia wanachama hao haki za msingi...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ya usalama Washington DC ni mbaya kiasi cha kuhitaji Trump kuwapelekea jeshi mitaani kama alivyofanya?

    Mlioko Marekani hali usalama Washington DC ilikuwa inahitaji Trump kuwapelekea raia wa huko wanajeshi na magari ya kivita kama alivyofanya?
  20. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…