jeshi

  1. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 CDF Mkunda: Wanaofanya vitendo vya kihalifu waache mara moja na wananchi endeleeni kuwa watulivu

    Ametoa agizo kupitia TBC, ITV. Video:
  2. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Ufutwe, Jeshi litangaze Uchaguzi mpya na wao ndiyo wausimamie, vyama vyote vishiriki, mshindi apatikane kwa haki.

    Hii ndiyo inapaswa kuwa way-foward itakayowatuliza wananchi: 1. Jeshi linapaswa lifute uchaguzi huu usio na relevance. 2. INEC ivunjwe na iundwe tume mpya shirikishi kutoka vyma vyote vya siasa. 3. Wanasiasa wote walioko mahabusu waachiwe hasa wa CHADEMA. 4. Uchaguzi mpya utangazwe ndani ya...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi ni: Radio ya Taifa na Viwanja vya ndege - kazi imeisha

    Jeshi ni : Radio TZ, na viwanja vya ndege kazi imeisha.
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jeshi la Polisi Tanzania ni wepesi kiasi hiki!🤣🤣

    Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana. Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyedhalilisha Jeshi kwa kuliweka mitaani kabla ya Uchaguzi afunguliwe mashtaka ya "kudhalilisha Jeshi" na "Uhaini"

    Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ya Tanzania na watanzania dhidi ya maadui wa nje. Mosi, ni bwege na zwazwa gani ameamuru jeshi liingie mitaani kuingilia kazi ya polisi? Pili, walishuku kuwa polisi hawana morali, hivyo, wasingetimiza wajibu wao? Tatu, kuna uoza na uzwazwa zaidi ya huu? Nne...
  7. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Jeshi limejipatia HESHIMA ya kiwango kikubwa sana

    Kitendo cha jeshi kuwalinda waandamanaji kimelipatia jeshi heshima ya kiwango cha juu sana. Nina hakika, kitendo hiki kitawafanya Gen Z watamani hata kujiunga na jeshi letu. Hakika jeshi ni taasis ya kizalendo. Kongole makamanda wetu. Leo hata nikiambiwa inatakiwa kodi % flani ya kuwalipa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ndio Amri Jeshi mkuu, Naye, nye 🤣🤣🤣🤣. Kiko wapi

    Kiko wapi? walisema kikipasuka hata Kibati... 🤣🤣🤣🤣🤣
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, Jeshi litatuangusha au litafanya kweli?

    Kwa hali ilivyo, ni kwamba watanzania walio wengi wamempigia Samia Suluhu Hassan kura ya kutokuwa na imani naye. Sasa, nini kifanyike? Sitisha uchaguzi ima iundwe serikali ya mpito au jeshi nalo lau lionje ulaji. Tumeichoka CCM. Hatuitaki hata mzoga wake. Je, Jeshi kweli litazembea na...
  10. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  11. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Mzee wa dungu Jeshi sijui naye atatembelewa?

    Yule mwingereza mtanzania mwenye ngembe, nyodo, majigambo, majivuno na madharau ya hali ya juu naye inabidi atembelewe mbweni Asije kabisa tarehe 15 nov kwenye mnada wake wa vyuma chakavu. 100 others Shammy-
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha.

    Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha. wenye nchi tumeshasema nani qnabisha ?
  13. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya waandamanaji ni kuligombanisha jeshi la wananchi na askari

    Kuna video nimeiona waandamanaji wapo nyumba ya gari la jeshi huku kwa mbele askari wakiwatupia mabomu ya machozi waandamanaji
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi yakanusha video ya Wamasaai Kuandamana kudai haki zao Arusha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha". Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi

    Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi
  16. Chibike

    JamiiForums Tanzania JWTZ, kweli mtu wa Jeshi la Polisi anawateka kama si kuwakamata your brothers na MPO kimya tu...

    Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao... halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu... Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama...
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi ya Tanzania ina Jeshi?

    Nauliza tuu sio kwa ubaya. Na kama lipo linalinda nini??
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Bado mpo mnaolitegemea jeshi kuchukua nchi tarehe 29? 😂

    Hayawi hayawi yanakuja kuwa. Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia. Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu. JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu: 1. JWTZ ni majuha. Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
Back
Top Bottom