jeshi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu enzi za Nyerere

    Enzi ya Nyerere, tulikuwa na jeshi imara, jeshi la kujivunia. Tulisaidia kuzikomboa nchi za kusini mwa bara letu zilizokuwa zinatawaliwa na wakoloni na wabaguzi wa rangi. Nchi hizo hazikuwa ni Mozambique, Zimbabwe Angola, na Namibia tu. Tulisaidia hata Afrika Kusini, the citadel of white...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi jeshi ni la CCM au la wananchi ?

    Kuna video fulani nimeona uko instagram limenipa maswali kweli Mwanajeshi ana simama kuimba nyimbo ya kumsifia rais na kumfurahisha kweli 🤣🤣🤣 hizi ni dharau hata jeshi la Burundi haliwezi kufanya upumbavu wa namna hii Katika nchi hii tunahitaji revolution kwa aina yeyote ile kuondoa hawa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mmefeli sana

    Taarifa zilizotolewa kuhusu madai ya “mwanajeshi wa Marekani” kukamatwa Tarime zimeibua maswali mazito kuliko majibu. Kutaja jina lisilo la kawaida kama Onkuri Ongeta. Pamoja na picha zinazomuonyesha mtu huyo akiwa amejipamba kwa pete kama Mganga wa Kienyeji na mavazi yasiyoendana na mafunzo ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

    Naomba tuijadili hii mada bila mihemuko wala uchawa. Tumeona maelfu ya wananchi wameuwa, na inasemekana kuna hadi wanajeshi wameuawa na polisi, hii yote ni kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu. Sasa swali la msingi ni hili; hivi jeshi lipo kwa ajili ya kumlinda rais au wananchi.
  6. Think2

    JamiiForums Tanzania Hili jeshi ndo mlikuwa mnategemea lichukue nchi??

    Leo ndo nimeamini hakuna jeshi bali ni kikundi cha wanasiasa Jeshi gan uchwara kama hili? Wanapongezana kwa mauaji kwa kupandishana vyeo Gen Z, taifa halitokombolewa kwa kuwategemea JW bali ni wananchi pekee wanaweza kufanya hivyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kama kauli hizi ni za kweli, usalama wa taifa,uhamiaji na Jeshi wakurugenzi watumbuliwe aachwe IGP, walitaka kumwalibia KAZI

    KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe. Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani? Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa...
  9. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano huwa hayazimwi kwa vitisho vya aina yoyote ile, siyo jeshi wala dini!

    Naona walioko hapo juu mnaendelea kufanya kosa lile lile la kabla 29.10.2025. Kabla ya hayo maandamano mlitumia vyeo vyenu vya Uamiri Jeshi Mkuu, Ukuu wa Mikoa, U-IGP nk kuwatishia waandamanaji, kwamba wakiandamana watakiona cha moto. Mkaanzisha na kupitisha maandamano ya Polisi na Wanajeshi...
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Aliona sifa kuvaa nguo ya jeshi wakati wa maadamano

    https://youtube.com/shorts/pPZAeqHderM?si=vw04-V9jiV-rFFY1
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  12. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Desemba 9: Nimeongea na Kapteni wa jeshi na huu ndo uelekeo wao

    Bro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma. MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Raisi mpaka sasa yupo chini ya jeshi ambaye kashinda asilimia 98 mbona anaogopa kuwa anapendwa.

    Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ?. Kauli za kusema kusamehee,katiba ndani ya mfupa na kuomba upamoja kama alikuwa asilimia 98 mbona...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena nakubaliana na watanganyika wengi kuwa hatuna Jeshi la Wananchi

    Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29. Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo? Tulijenga...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi 10 bora zaidi barani Afrika mwaka 2025, uwezo, nguvukazi na bajeti

    Faharasa hupima nguvu kazi, vifaa, na rasilimali za kifedha ili kutoa “Kielezo cha Nguvu” linganishi. Katika ripoti hii, tunaangazia mataifa 10 yenye majeshi bora zaidi barani Afrika, tukielezea uwezo na nguvu zao muhimu, pamoja na takwimu za hivi punde za bajeti ya ulinzi kwa dola za...
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Hatutaki maridhiano yoyote na huu utawala batili tarehe 09 tunatoka

    Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano! Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu anataka kufanya uchunguzi yaani ajichunguze yeye!! 1. Amekwepa kuomba radhi kwa ukatili uliofanywa na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi mbona haji tena na swaga la Jeshi lipo na nyie?

    Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli? ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI WATANZANIA TUMELOGWA ndo maana kiboko ya wachawi mkongomani alisema Watanzania ni wajinga sana naanza...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Police Militarization: Sababu ya Jeshi letu kuzidiwa nguvu na Polisi

    Police militarization ni mchakato wa taasisi za polisi kuanza kufanana na jeshi kwa kutumia vifaa vya kivita, mbinu za kijeshi, na mienendo ya ukakamavu uliopitiliza katika kushughulikia masuala ya kiraia. Hali hii imezua mijadala duniani kuhusu usalama, haki za binadamu, na matumizi ya nguvu...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kauli za Jeshi kuasi na kwenda Msituni zilianzishwa bungeni na Wana CM

    Sasa hivi CCM wanajifanya kushangaa watu wanapotaka kuingia msituni kama njia mbadala ya kudai haki. Katika kudai haki kuna njia nyingi. Ikiwemo mazungumzo, Mahakama, Maandamano na kadhalika. Yote yalishindikana watu wanaingia msituni kupambania haki zao. Ndivyo nchi nyingiza Afrika walifanya...
  20. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
Back
Top Bottom