Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na...
Msako mkali ikiendelea jijini mwanza ili kuwabaini vijana waliosababisha vurugu na uharibifu wa Mali za watu ikiwemo maduka kuharibiwa vibaya na kuchoma moto magari, vituo vya mafuta huku wakijificha kwenye kivuli cha maandamano.
KATAA UHARIFU GARI NYINGI ZA WATOTO WA SHULE ZIMECHOMWA MOTO...
Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serikali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.
Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama...
Tunaomba kuwaondolea sifa ya kuajiliwa waandamaji wote waliobainika kuleta vurugu tarehe 29/10/2025.
Hivyo basi utumishi chukueni orodha za waandamanaji kutoka Polisi then zitunzeni kwenye data zenu ili wote walioshawishi/ KUSHIRIKI wizi na uharibifu wa miundombinu na Mali za watu binafsi na...
Wakuu,
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Kwa mujibu wa taarifa...
Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi.
Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao.
Je wewe una maoni gani?
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
====...
jeshilapolisi
maandamano ya oktoba 29
mahakama
mahakama ya kisutu
mahakamani
mashitaka
mfanyabiashara
niffer
uhaini
uhaini wa niffer
vurugu za uchaguzi
wengine
Wakuu,
Jeshi la Polisi Tarime/Rorya limethibitisha kifo cha Dafroza Kokwangua Jacob maarufu Mama Frank, aliyefariki baada ya kuugua ghafla akiwa kituoni akiandika maelezo.
Polisi wamesema uchunguzi utafanyika kubaini chanzo cha kifo
Hii amri ilitokea wapi na lini iliingizwa kwenye taratibu za kikazi ndani ya jeshi la polisi Tanzania?
Kama amri ni kudhibiti vurugu/fujo kwa kutumia nguvu; maana yake ni kuua wahusika?
Hakuna njia nyingi nyingine za kudhibiti ghasia fujo; bali kuwaua wahusika?
Watu wanakimbia, polisi anapewa...
Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA?
Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu:
1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa...
Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana.
Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha".
Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia kuwa kuna usalama wa kutosha tunapoelekea kesho tarehe 29.10.2025 siku ya kupiga kura, kwani hakuna tishio lolote la kiusalama kama tulivyowahakikishia Oktoba 26, 2025.
Aidha, lingependa kuwa tahadharisha kuwa, kuna kikundi cha watu...
Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao...
halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu...
Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama...
"Na niwaambie hata hao wametengeneza akaunti zao bandia, feki. Wanafikiri wamejificha sana huwezi kujificha kwenye hizi simu. Hivi vifaa vya kieletroniki vimefanya hata siri zetu ziwe hadharani.
Wengine tuna picha zao tukitembea mimi kwenye gari pale ninazo na nikiona mtu anaangalia hivi huyu...
Ila Jeshi letu la Polisi wanafanya mambo yao nje kabisa na maadali kabisa!
Mlimchukua mkasema mnampeleka Tarime, lakini mkapelekea sehemu nyingine na mkakaa kimya kama hamjui chochote. Kelele zimekuwa nyingi ndio mnakiambia chama alipo kiongozi wao!
Acheni huo ushamba wenu mnaendelea...
Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana.
UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda.
Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
Jeshi la Polisi limesisitizwa kusimamia ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani, usalama na kuaminika katika jamii kwani wao ni wadau wakubwa katika kufanikisha zoezi hilo.
Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe.Awadh A. Said, aliyasema hayo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
Nipo hapa kuthibitisha kuwa Jeshi la Polisi nchini chini ya IGP Wambura ndio wanaowaua watu na kuwateka kwa sababu hakuna wakenya wala waganda watakaokuja kuua watu katika taifa letu. Asipoatikana John Heche itakuwa ni aibu kwa taifa haiwezekana mtanzania anachukuliwa mbele ya macho ya watu Elfu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.