Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwenye Documentary hii iliyorushwa na Al Jazeera kuhusu siku 36 za mwisho ya utawala wa aliyekuwa Rais wa Bangladesh dikteta Bi. Sheikh Hasina
Mimi nimeiangalia yote ila napenda kuwaomba askari wetu wanaohudumu kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama wachukue...
Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usawa bila kuonesha upendeleo.
Imeeleza kuwa, lengo ni kuona jeshi hilo linatenda haki kwa kila mmoja na kuacha alama...
Salaam
Jeshi la Polisi Tanzania, Linakamata watu wa Upinzani then linawalazimisha wajiunge CCM.
Ukikubali wanakuachia na ukikataa hupatikani.
Polisi wanakuja bila jezi zao za Polisi, wanakukamata(kuteka) na ndugu wakipiga simu wanakana kukukushikilia.. Baadaye wanakuambia kwanini unaunga...
Operesheni ofisa mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakary Kunga Oktoba 17, 2025 ameongoza jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kufanya mazoezi ya pamoja kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kufanya matembezi ya pamoja kwa kutembea maeneo mbalimbali mkoani Njombe...
Vitisho vinaendelea
==============
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na kwamba limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao hiyo ya kikatiba kikamilifu...
Tuna Jeshi la Polisi ambalo Matumizi ya Akili yalishaachwa huko nyuma .
Inawezekana pia ikawa ni sababu ya Kutokua na Akili yaan IQ kiduchu .
Hawa watu ulitaka kujua Uwezo wao wa Akili ,pitia Walau Safari zao za Kielimu.
Wamesoma Kwa kuunga unga sana, alafu Huwa ni lazima WAKASOME DEGREE YA...
Yaan haya maajabu , unakua na viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi ambao kupatikana kwao si Kwa Mujibu wa PGO Bali Kwa Mujibu wa kutoa Ahsante Kwa kazi ya Kiovu iliyofanyika.
Mkianza na George Hadi huyu Kaaya wa Leo, UTAGUNDUA ni wahuni Ndani ya koti la Polisi !
Hawafai hata kua Migambo!!.
Mimi Nina ndugu ndani ya jeshi la polisi. Wamo polisi mpaka wa nyota tatu.
Kuna hofu kubwa na wengi Wao wanaanza kuziondoa familia zao Dar.
Wengi wanaombea waandamanaji wawe wengi sana ili Polisi wasiweze kutumia ukatili na badala yake wakimbie kwa kuzidiwa.
Wanasema shida itakuwa...
Utangulizi
Mheshimiwa IGP Camilius Wambura,
Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia.
Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu.
Hata hivyo...
Ukiskiliza vizuri wakuu wa polisi nchini unapata kichefuchefu. Kila siku wanawahadaa Watanzania kuwa kuna amani na usalama na mshikamano na upuuzi mwingine.
Nini zaidi ya uhuni na upuuzi wa kutumiwa na CCM na mitandao yake ya majambazi?
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake.
Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo.
Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Akama Shaaban amemkabidhi gari mpya aina ya Toyota Hilux Double Cabin Mkuu wa Polisi Wilaya ya Ileje kwa ajili ya kuzuia uhalifu ambalo litatumiwa na Kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai Wilaya Ileje.
Makabidhiano hayo...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, bado linaendelea kumsubiri Ndg. Humphrey Polepole aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai.
Ndg. Humphrey Polepole alitumiwa barua ya wito kwa mujibu wa Sheria za nchi aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi...
Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa leo.
Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika Mahakamani kufuatilia Kesi ya uhaini ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi la Polisi Nchini limetoa onyo kali sana tena sana kwa wale wote wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii Kuhamasisha Vurugu na uchochezi Nchini.
Limesema ya kuwa halitasita kuwakamata na kuwachukulia hatua kali sana za kisheria watakao jaribu kuharibu amani ya Taifa...
Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku, Ijumaa Oktoba 3, 2025 ameongozana na Polisi Kata wa Kemondo Afande Huruma...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeandaa mazoezi ya pamoja ya utayari kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama mkoani humo.
Mazoezi hayo yalilenga kuimarisha mshikamano, mawasiliano, na uwezo wa pamoja katika kutekeleza majukumu ya kulinda raia na mali zao.
Hili ndilo jeshi la polisi ambalo wanasema wapo kwa ajili ya Watanzania wote, Wamekula kiapo kusimamia haki na kila mara wanajinasibu kwamba wako tayari kupokea maoni mbalimbali iwe hasi au chanya, pia kama maoni mengi ni hasi wanapaswa kujitafakari
Je, wapo kwa ajili ya watanzania au kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.