jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Kumbe Jeshi la Polisi Tanzania ni wepesi kiasi hiki!🤣🤣

    Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana. Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
  2. R

    GE2025 Jeshi la Polisi yakanusha video ya Wamasaai Kuandamana kudai haki zao Arusha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha". Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
  3. M

    GE2025 Jeshi la Polisi: Tunawahakikishia hakuna tishio lolote la kiusalama kuelekea kesho Oktoba 29

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia kuwa kuna usalama wa kutosha tunapoelekea kesho tarehe 29.10.2025 siku ya kupiga kura, kwani hakuna tishio lolote la kiusalama kama tulivyowahakikishia Oktoba 26, 2025. Aidha, lingependa kuwa tahadharisha kuwa, kuna kikundi cha watu...
  4. Chibike

    JWTZ, kweli mtu wa Jeshi la Polisi anawateka kama si kuwakamata your brothers na MPO kimya tu...

    Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao... halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu... Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama...
  5. Just Pray

    GE2025 David Misime awatisha wanaohamasisha maandamano, asema siku hiyo hata kama utakuwa unapita tutakukamata, tuna picha zenu

    "Na niwaambie hata hao wametengeneza akaunti zao bandia, feki. Wanafikiri wamejificha sana huwezi kujificha kwenye hizi simu. Hivi vifaa vya kieletroniki vimefanya hata siri zetu ziwe hadharani. Wengine tuna picha zao tukitembea mimi kwenye gari pale ninazo na nikiona mtu anaangalia hivi huyu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    CHADEMA: John Heche anashikiliwa kwenye mahabusu ya Jeshi la Polisi Mtumba, jijini Dodoma

    Ila Jeshi letu la Polisi wanafanya mambo yao nje kabisa na maadali kabisa! Mlimchukua mkasema mnampeleka Tarime, lakini mkapelekea sehemu nyingine na mkakaa kimya kama hamjui chochote. Kelele zimekuwa nyingi ndio mnakiambia chama alipo kiongozi wao! Acheni huo ushamba wenu mnaendelea...
  7. Carlos The Jackal

    Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  8. Mafyangula

    GE2025 Awadh Said: Jeshi la Polisi simamieni ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani

    Jeshi la Polisi limesisitizwa kusimamia ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani, usalama na kuaminika katika jamii kwani wao ni wadau wakubwa katika kufanikisha zoezi hilo. Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe.Awadh A. Said, aliyasema hayo...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
  10. Its Tesha

    Jeshi la Polisi ndo linapoteza watu? Heche yuko wapi?

    Nipo hapa kuthibitisha kuwa Jeshi la Polisi nchini chini ya IGP Wambura ndio wanaowaua watu na kuwateka kwa sababu hakuna wakenya wala waganda watakaokuja kuua watu katika taifa letu. Asipoatikana John Heche itakuwa ni aibu kwa taifa haiwezekana mtanzania anachukuliwa mbele ya macho ya watu Elfu...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polisi wameanza kutembelea hadi makanisa kuwataka wananchi kutunza AmanI na Utulivu Nchini

    Wameona haitoshi kuzungumza huko mtaa wameamua waamie hadi makanisani kupelekea ujumbe wao. ==================== Mkaguzi wa Polisi Daniel Nyolobi ambaye ni Mkaguzi Kata wa Kirua Wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro ametembelea makanisa na kuzungumza nafasi ya kila Mtu katika kutunza AMANI na...
  12. Mafyangula

    GE2025 Jeshi la polisi, wadau watoa elimu ya usimamizi wa uchauguzi kwa vyombo vingine vya ulinzi Manyara

    Kipindi hiki mafunzo yamekuwa mengi sana, ujakaa sawa unasikia polisi na wanajeshi wamefanya mazoezi ya pamoja. Hizi bwebwe zote za nini jamani? =================== Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na maafisa uchaguzi jimbo la Babati Mjini na Vijiji Mkoani humo Oktoba 21, 2025...
  13. McLaren

    Polisi: Ukamataji wa watu 2 mji wa Sirari ulikuwa kwa mujibu wa sheria. Tumekamata wengine 12 waliojaribu kufanya vurugu

    Polisi Mkoa wa Tarime Rorya wamekanusha madai ya utekaji katika mji wa Sirari, wakisema tukio lililotajwa ni operesheni ya kawaida ya kukamata watuhumiwa wawili. Tukio hilo lilitokea Oktoba 21, 2025 saa 11:30 jioni na watuhumiwa walipelekwa kituo cha polisi kwa hatua za kisheria. Baada ya...
  14. Lord Denning

    Askari wote wa Tanzania angalieni hii documentary ya Al Jazeera kuelekea Oktoba 29

    Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwenye Documentary hii iliyorushwa na Al Jazeera kuhusu siku 36 za mwisho ya utawala wa aliyekuwa Rais wa Bangladesh dikteta Bi. Sheikh Hasina Mimi nimeiangalia yote ila napenda kuwaomba askari wetu wanaohudumu kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama wachukue...
  15. W

    GE2025 Mjumbe wa ZEC, Awadh: Jeshi la Polisi lina jukumu la kulinda bila ubaguzi, kukengeuka wala kushabikia upande wowote kwenye Uchaguzi

    Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usawa bila kuonesha upendeleo. Imeeleza kuwa, lengo ni kuona jeshi hilo linatenda haki kwa kila mmoja na kuacha alama...
  16. figganigga

    Ni aibu kwa Jeshi la Polisi Tanzania, Kukamata watu na kulazimisha wajiunge CCM

    Salaam Jeshi la Polisi Tanzania, Linakamata watu wa Upinzani then linawalazimisha wajiunge CCM. Ukikubali wanakuachia na ukikataa hupatikani. Polisi wanakuja bila jezi zao za Polisi, wanakukamata(kuteka) na ndugu wakipiga simu wanakana kukukushikilia.. Baadaye wanakuambia kwanini unaunga...
  17. DuaZaMama

    GE2025 Jeshi la polisi Njombe lafanya mazoezi ya pamoja na vyombo vingine vya ulinzi

    Operesheni ofisa mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakary Kunga Oktoba 17, 2025 ameongoza jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kufanya mazoezi ya pamoja kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kufanya matembezi ya pamoja kwa kutembea maeneo mbalimbali mkoani Njombe...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kamanda Muliro: Jeshi la polisi limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao ya kupiga kura bila hofu na vitisho

    Vitisho vinaendelea ============== Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na kwamba limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao hiyo ya kikatiba kikamilifu...
  19. M

    Huyo unaemleta aje kulala kwako, ikitokea hajaamka unayo maelezo ya kutosha kwa ndugu zake pamoja na kulisaidia jeshi la polisi ?

    Hii hoja ni ya kuwekea lamination maana kimasihara unaweza kuishia nyuma ya nondo bila kosa.
  20. Carlos The Jackal

    Taaluma ya kuunga unga waliyonayo Jeshi la Polisi ndio matokeo yak umwambia wanafamilia wa Polepole wathibitishe kama ametekwa

    Tuna Jeshi la Polisi ambalo Matumizi ya Akili yalishaachwa huko nyuma . Inawezekana pia ikawa ni sababu ya Kutokua na Akili yaan IQ kiduchu . Hawa watu ulitaka kujua Uwezo wao wa Akili ,pitia Walau Safari zao za Kielimu. Wamesoma Kwa kuunga unga sana, alafu Huwa ni lazima WAKASOME DEGREE YA...
Back
Top Bottom