jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wameanza kutembelea hadi makanisa kuwataka wananchi kutunza AmanI na Utulivu Nchini

    Wameona haitoshi kuzungumza huko mtaa wameamua waamie hadi makanisani kupelekea ujumbe wao. ==================== Mkaguzi wa Polisi Daniel Nyolobi ambaye ni Mkaguzi Kata wa Kirua Wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro ametembelea makanisa na kuzungumza nafasi ya kila Mtu katika kutunza AMANI na...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la polisi, wadau watoa elimu ya usimamizi wa uchauguzi kwa vyombo vingine vya ulinzi Manyara

    Kipindi hiki mafunzo yamekuwa mengi sana, ujakaa sawa unasikia polisi na wanajeshi wamefanya mazoezi ya pamoja. Hizi bwebwe zote za nini jamani? =================== Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na maafisa uchaguzi jimbo la Babati Mjini na Vijiji Mkoani humo Oktoba 21, 2025...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Polisi: Ukamataji wa watu 2 mji wa Sirari ulikuwa kwa mujibu wa sheria. Tumekamata wengine 12 waliojaribu kufanya vurugu

    Polisi Mkoa wa Tarime Rorya wamekanusha madai ya utekaji katika mji wa Sirari, wakisema tukio lililotajwa ni operesheni ya kawaida ya kukamata watuhumiwa wawili. Tukio hilo lilitokea Oktoba 21, 2025 saa 11:30 jioni na watuhumiwa walipelekwa kituo cha polisi kwa hatua za kisheria. Baada ya...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Askari wote wa Tanzania angalieni hii documentary ya Al Jazeera kuelekea Oktoba 29

    Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwenye Documentary hii iliyorushwa na Al Jazeera kuhusu siku 36 za mwisho ya utawala wa aliyekuwa Rais wa Bangladesh dikteta Bi. Sheikh Hasina Mimi nimeiangalia yote ila napenda kuwaomba askari wetu wanaohudumu kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama wachukue...
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa ZEC, Awadh: Jeshi la Polisi lina jukumu la kulinda bila ubaguzi, kukengeuka wala kushabikia upande wowote kwenye Uchaguzi

    Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usawa bila kuonesha upendeleo. Imeeleza kuwa, lengo ni kuona jeshi hilo linatenda haki kwa kila mmoja na kuacha alama...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Jeshi la Polisi Tanzania, Kukamata watu na kulazimisha wajiunge CCM

    Salaam Jeshi la Polisi Tanzania, Linakamata watu wa Upinzani then linawalazimisha wajiunge CCM. Ukikubali wanakuachia na ukikataa hupatikani. Polisi wanakuja bila jezi zao za Polisi, wanakukamata(kuteka) na ndugu wakipiga simu wanakana kukukushikilia.. Baadaye wanakuambia kwanini unaunga...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la polisi Njombe lafanya mazoezi ya pamoja na vyombo vingine vya ulinzi

    Operesheni ofisa mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakary Kunga Oktoba 17, 2025 ameongoza jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kufanya mazoezi ya pamoja kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kufanya matembezi ya pamoja kwa kutembea maeneo mbalimbali mkoani Njombe...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Jeshi la polisi limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao ya kupiga kura bila hofu na vitisho

    Vitisho vinaendelea ============== Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na kwamba limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao hiyo ya kikatiba kikamilifu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huyo unaemleta aje kulala kwako, ikitokea hajaamka unayo maelezo ya kutosha kwa ndugu zake pamoja na kulisaidia jeshi la polisi ?

    Hii hoja ni ya kuwekea lamination maana kimasihara unaweza kuishia nyuma ya nondo bila kosa.
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Taaluma ya kuunga unga waliyonayo Jeshi la Polisi ndio matokeo yak umwambia wanafamilia wa Polepole wathibitishe kama ametekwa

    Tuna Jeshi la Polisi ambalo Matumizi ya Akili yalishaachwa huko nyuma . Inawezekana pia ikawa ni sababu ya Kutokua na Akili yaan IQ kiduchu . Hawa watu ulitaka kujua Uwezo wao wa Akili ,pitia Walau Safari zao za Kielimu. Wamesoma Kwa kuunga unga sana, alafu Huwa ni lazima WAKASOME DEGREE YA...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kupitia LISSU tumegundua "Wahuni Ndani ya Jeshi la Polisi , wanapandishana Vyeo Kwa kazi zao za kiovu" na si kwa Mujibu wa PGO!

    Yaan haya maajabu , unakua na viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi ambao kupatikana kwao si Kwa Mujibu wa PGO Bali Kwa Mujibu wa kutoa Ahsante Kwa kazi ya Kiovu iliyofanyika. Mkianza na George Hadi huyu Kaaya wa Leo, UTAGUNDUA ni wahuni Ndani ya koti la Polisi ! Hawafai hata kua Migambo!!.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

    Mimi Nina ndugu ndani ya jeshi la polisi. Wamo polisi mpaka wa nyota tatu. Kuna hofu kubwa na wengi Wao wanaanza kuziondoa familia zao Dar. Wengi wanaombea waandamanaji wawe wengi sana ili Polisi wasiweze kutumia ukatili na badala yake wakimbie kwa kuzidiwa. Wanasema shida itakuwa...
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Sio Sawa Jeshi la Polisi Kuwabebesha Wazazi Wa Polepole Mzigo wa Kuthibitisha Kwamba Kuna Uhalifu umefanyika Dhidi ya Mtoto Wao

    Utangulizi Mheshimiwa IGP Camilius Wambura, Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia. Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu. Hata hivyo...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ukiskiliza vizuri wakuu wa polisi nchini unapata kichefuchefu. Kila siku wanawahadaa Watanzania

    Ukiskiliza vizuri wakuu wa polisi nchini unapata kichefuchefu. Kila siku wanawahadaa Watanzania kuwa kuna amani na usalama na mshikamano na upuuzi mwingine. Nini zaidi ya uhuni na upuuzi wa kutumiwa na CCM na mitandao yake ya majambazi?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake. Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

    Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo. Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Polisi Ileje wakabidhiwa gari kuimarisha mapambano dhidi ya uhalifu

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Akama Shaaban amemkabidhi gari mpya aina ya Toyota Hilux Double Cabin Mkuu wa Polisi Wilaya ya Ileje kwa ajili ya kuzuia uhalifu ambalo litatumiwa na Kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai Wilaya Ileje. Makabidhiano hayo...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi: Bado tunasubiri Polepole aripoti Ofisi ya DCI; taarifa za kutekwa kwake tumeanza kufanyia kazi

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, bado linaendelea kumsubiri Ndg. Humphrey Polepole aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai. Ndg. Humphrey Polepole alitumiwa barua ya wito kwa mujibu wa Sheria za nchi aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi Mahakama Kuu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa leo. Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika Mahakamani kufuatilia Kesi ya uhaini ya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi La Polisi: Wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii tutawasaka na kuwachukulia hatua kali za kisheria

    Ndugu zangu Watanzania, Jeshi la Polisi Nchini limetoa onyo kali sana tena sana kwa wale wote wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii Kuhamasisha Vurugu na uchochezi Nchini. Limesema ya kuwa halitasita kuwakamata na kuwachukulia hatua kali sana za kisheria watakao jaribu kuharibu amani ya Taifa...
Back
Top Bottom