Jeshi la polisi linasema watu wanajiteka, sijui wivu wa mapenzi, ushirikina, na madeni.
Hebu tuchambue baadhi ya matukio ya utekaji yalivyokuwa,
Kwa mfano utekaji wa kiongozi wa CHADEMA aliye shushwa kwenye basi na kukutwa ameuwawa yule alishushwa kwenye basi na kundi la watu kadhaa...