jengo

  1. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kesi kupinga kodi ya jengo kupitia Luku lakini sioni wa kunitetea mahakamani

    Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
  2. JamiiForums Tanzania Mara: Wawekezaji wakabidhi Jengo la Ofisi ya Serikali ya Mtaa kwa Joshua Nasari

    Bunda, Mara 08/08/2021. Siku ya Tarehe 8/8/2021 kundi la wadau wa maendeleo Mkoa wa Mara wanaoishi na kufanya kazi sehemu mbali mbali hapa nchini (Mara Investors) limekabidhi jengo kwa ajili ya ofisi ya Serikali ya Mtaa ili kusaidia huduma za kiutawala kwa wakazi wa mtaa wa Serengeti Kata ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeliona hili mara Mbili karibu na Jengo la VIP Mortuary ya Lugalo Hospital hasa wakifa Viongozi je, lina maana au 'tunakompliketi' tu mambo?

    Alipokufa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Kuhifadhiwa hapo kwa Siku kama Mbili au Tatu hivi barabara ambayo si tu hutumiwa na Wanajeshi lakini hata Raia ( akina GENTAMYCINE ) ilifungwa huku 'Makomandoo' wakirandaranda japo baadhi yao mida ya Usiku tulikuwa tukipishana nao mno tu katika 'Korido' za...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Yaani mimi nimlipe mwenye nyumba kodi ya Jengo kupitia LUKU?

    Wakuu, itoshe tu kusema Serikali ya CCM imechoka na haina mbinu mpya tena Mawaziri na Wabunge hawana lolote la msingi wanaloweza kufanya kwa sasa Mimi mpangaji mnanilipisha kodi ya jengo? hivi mlikaa kabisa mkanywa na chai mkalipwa na posho mkatoka na hii idea? Nilikuwa namkubali sana Mama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu tozo za miamala kuna na hili la Kodi ya Jengo kulipwa kutumia LUKU

    Yaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi. Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa ajili ya ambition binafsi, badala ya kuteua watu ambao wana principles zao, ambao wanawaza faida za...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Viwanda: Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini, siyo ujenzi wa Sanamu ya Hayati Dkt Magufuli

    "Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini katika maonesho ya Sabasaba, wenzetu wakaomba tuliite Magufuli na tukafikiria kwanini isiwepo sanamu?" "Katika majadiliano hayo ndipo wanahabari wakachukua, 'Serikali kujenga sanamu kwa milioni 420" ---- Naibu Waziri Exhaud Kigahe Pia...
  7. JamiiForums Tanzania Wenye majengo walipe wenyewe kodi ya jengo

    Matajiri wajanja wametusukumizia kodi za majengo yao wanayowapangisha wageni tuzilipe sisi ambao hata bei ya tofali hatuijui. Wajanja hawa kama wangekuwa na nia nzuri na sisi masikini wangeweka bima ya afya (NHIF) tuilipe kwenye mfumo wa LUKU, hii ingetuwezesha tusio na uwezo wa kulipa kwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Jengo la Tanesco Ubungo lifanywe Hostel za wanachuo

    Siwezi kujua lengo la shirika la umeme Tanesco kuhusu jengo lao lililoko Ubungo jirani na daraja la Kijazi. Lakini kwa muonekano kwa nje Ni Kama halitumiki. Kwa kuwa serikali ya AWAMU ya sita iko katika safisha safisha ya baadhi ya madudu yaliyoonekana yanazingua nchi na wananchi wake Basi...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani: Miili zaidi yapatikana katika jengo lililoporomoka Florida

    Wakati shughuli za uokoaji zikiendelea katika jengo la ghorofa 12 lililoporomoka siku ya Ijumaa nje kidogo ya mji wa Miami, Florida nchini Marekani, miili zaidi imetolewa katika kifusi cha jengo hilo. Watu 9 waliripotiwa kufariki kufikia siku ya Jumapili, akiwamo mtu mmoja aliyefariki akiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hili jengo lilijengwa Budapest Hungary 1910 kabla ya Mapinduzi ya Kijamaa

    Eclectic reception area under a glass dome in Párisi Udvar(Paris Court), a former bank building built in the 1910s which was recently restored and renovated into a luxury hotel in downtown Budapest, Hungary.
  11. JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuzuia watu wasichafue jengo lako ambalo halijakamilika (pagale)

    Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika? Iliniuzunisha sana wakuu, nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo
  12. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jengo la Bunge Kaunti ya Nyamira laporomoka

    Taarifa mbaya kutokea Kenya Jengo la Bunge la Kaunti ya Nyamira lilojengwa kwa thamani ya Milioni 379 za Kenya limeporomoka mapema leo Kazi ya uokozi inaendelea na hadi sasa watu 8 wamepata majeraha makubwa Thamani ya fedha ya ujenzi ni Billion 7,959,000,000 za Tanzania ======= At...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe hili ndio jengo refu kuliko yote Bongo!

    Lina floor 35 (bila kuzingatia ground floors). Sijui Benjamin Mkapa Pension Tower lina floor ngapi?
  14. JamiiForums Tanzania Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  15. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Vijana wa Tanzania hawaaminiki, wakiachiwa biashara bila kuiba wanajiona wajinga

    Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini. '' Mtu akianzisha labda...
  16. JamiiForums Tanzania Kila mradi wa ujenzi wa Serikali kuwe na separation of duties usifanywe na taasisi moja, ni rahisi kuibiwa na kuwa na jengo substandard

    Unakuta mradi wa Serikali Mfano bango linaonyesha Contactor ni NHC Architect ni NHC Quantity Surveyor ni NHC Subcontractor ni NHC Hakuna segregation of duties Inatakiwa mfano Architect awe mwingine siyo NHC aweza kuwa Private sector au quantity surveyor akawa Private sector na subcontractor...
  17. JamiiForums Tanzania Majizzo: Nimeumia sana Hayati Rais Magufuli alikubali kuja kuzindua jengo letu la Efm

    Kupitia ukurasa wa Instagram wa mkurugenzi wa kituo cha habari cha Efm na TVE, Mbwana Francis Ciza alimaarufu Majizzo ameeleza namna alivyokamilisha taratibu zote za hayati Magufuli kuja kulizindua jengo lao la kituo hicho cha habari, Majizzo ameeleza kuwa – “Moyo wangu umejawa na maumivu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu ameanza rasmi ziara ya siku 6 mkoani Tanga akianzia wilaya ya Handeni ambako anapewa taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri za wilaya ya Handeni. Tuko mubashara TBC. Updates: Madhumuni ya ziara yangu ni kuangalia miradi ya maendeleo, miradi yote...
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Nawapongeza sana Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito, Leo nimefurahi sana!

    Waziri wa Afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito. Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana. Waziri wa Afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake. Source Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…