JENEZA LAZIKWA TUPU MWILI WASAHAULIKA NDANI
Tukio la kushangaza limetokea katika kijiji cha Ikuti, kitongoji cha Kinyika, kata ya Ikuti wilayani Rungwe mkoani Mbeya baada ya wananchi waliokuwa wamemzika marehemu Maulid Bukuku kurejea nyumbani na kuukuta mwili wake ukiwa bado umelazwa kitandani...