je wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je wajua Manchester United ni timu ina mahusiano mazuri na Israeli?

    Hii timu toka imeonyesha chuki dhidi ya waarabu ya wazi kabisa na kukumbatia sera za Israeli ( zayuni) imekua takataka kabisa, kwa sasa hili takataka linaloitwa manjesta limekua likiwaunga mkono Israel dhidi ya palestina acha yapigwe tu mamaeee
  2. JamiiForums Tanzania Je Wajua Haramu Isipoharimishwa ni Halali? Batil Isipobatilishwa ni Halali?. Licha ya Ubatili Wote, Matokeo ni Halali, Ni Rais Halali!

    Wanabodi Japo sikusomea fani ya ualimu, lakini kwa kadri uzee unavyoninyemelea, nimeanza kujiona kama mwalimu humu, kuwafunza madogo humu mambo makubwa wasio yajua!. Somo la leo ni somo la Haramu sio tuu inavyoweza kugeuka halali, bali haramu nyingine ni baraka. Mada kuu ni Je wajua kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je wajua kwamba kuna wakati ukimya wako unaweza kusema zaidi kuliko maneno elfu?

    Je wajua kwamba kuna wakati ukimya wako unaweza kusema zaidi kuliko maneno elfu? Je wajua kwamba kuna maswali ambayo jibu lake linaweza kukupunguzia thamani badala ya kukuongezea? Je wajua kwamba si kila mtu anayekuuliza swali ana haki ya kujua jibu lake? Je wajua kwamba kuna vitu vikikaa...
  4. JamiiForums Tanzania Je Wajua Mawakili ni Maofisa wa Mahakama?, Onyo la CJ Kuwa Mahakama Sio Sehemu ya Uanaharakati, Linawahusu!. Tujikite Kwenye Interest of Justice!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju kuwa Mahakama sio sehemu ya uanaharakati, pia linawahusu mawakili...
  5. JamiiForums Tanzania Taifa Bila Vyombo vya Habari Huru na Imara ni Taifa Mfu. Gazeti la MwanaHalisi Lisamehewe Kuandika Ukweli?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, ambapo nimeibua hoja 4 nikiuliza kama wajua kuwa Taifa lisilo la mhimili wa Nne ulio huru na imara ni kama taifa mfu kwasababu ile mihimili mitatu ya Serikali, Bunge na Mahakama, itakuwa huru kujivinjari na madudu ya kila aina...
  6. JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Wanabodi Je wajua kuwa hapa tunapozungumza, Tanzania tunao Makamu wawili wa rais?,kati ya hao wawili,mmoja ni halali hadi tarehe 4 September, na mwingine ni batili kwa ubatilifu hadi tarehe 4 September ndipo anakua halali! Kwa mujibu wa barua ya kujiuzulu ya Dkt. Nchimbi aliwasilisha barua...
  7. JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuwa Licha ya Kujiuzulu na Kufukuzwa CCM, Mpaka Sasa Dr.Nchimbi Bado ni VP Mpaka Tar. 4 Sept?. Kufutwa Uanachama CCM, Hakuathiri Mafao Yake!

    Wanabodi, Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Je wajua wali unaweza kukuua

    Chakula kikiingia kwenye mlango wa hewa (koo la hewa au trachea), hali hiyo kitaalamu inaitwa kukaba au asphyxiation. Hii hutokea kwa sababu njia ya chakula na njia ya hewa zinachepuka sehemu moja kooni, na vali ndogo iitwayo epiglottis isipofunga vizuri wakati wa kumeza, chakula huingia upande...
  9. JamiiForums Tanzania Iran imeshambulia nchi zote isipokuwa Israel je wajua kwa nini?- Benjamin Netanyahu

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alitoa maoni katika ufunguzi wa mkutano wa serikali leo. Maelezo Muhimu: Hakika umegundua jambo la kuvutia: Iran inashambulia nchi zote katika eneo hilo, na hata nje ya eneo hilo, lakini kuna nchi moja ambayo haishambulii - Nchi ya Israeli Kwa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Je wajua hili?

    Je wajua ukioga kila siku mara mbili maji ya baridi, una epuka kunywa pombe, huvuti sigara na bangi, unaenda gym unafanya mazoezi, hubeti, unapata usingizi wa kutosha, unakula matunda kwa kila mlo, unaepukana na huna msongo wa mawazo, hutumii caffeine yoyote iwe kwenye soda, energy drinks na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Kwa chini kabisa, msichana/mwanamke mzuri anatongozwa mara 2 kila siku; kwa mwaka mara 730. Halafu unadhani wewe ndio umemgundua umtongoze?

    Huwa nawashangaa sana wanaume ambao wakimwona msichana au mwanamke mzuri wa kuvutia lazima wajaribu bahati yao, iwe njiani, conference, baa, chuoni, safarini, kazini nk. Hivi huwa hata mnajiuliza kwamba uzuri unaouona karibu kila mwanaume anauona, na anavutiwa nao na atataka kujaribu bahati...
  12. JamiiForums Tanzania Je wajua?

    AI 6 Zenye Nguvu Zaidi Unazoweza Kutumia Bure Mwaka 2026. --- AI inaweza kuongeza tija kwa kiasi kikubwa, lakini baadhi ya zana maarufu zinahitaji usajili wa kila mwezi. Ikiwa hutaki kulipia, hizi hapa ni AI sita za bure zinazoweza kukusaidia kuandika, kufanya utafiti, kutengeneza picha na...
  13. JamiiForums Tanzania Je wajua: Kuwa "banzoka" zinatengenezwa kwa plastiki?

    Chewing gums na bubble gums zinatengenezwa kwa plastic. Kile kinachobaki baada ya utamu wa banzoka kuisha kinaitwa gum base. Sasa kile kinatokana na plastic na mpira(rubber) za viwandani. Plastic huwa na kawaida ya kutoa chembechembe ndogo za plastic(microplastic), hizo chembe chembe...
  14. JamiiForums Tanzania Je ulikuwa unajua hili kuhusu Sweden na Denmark ?

    SWEDEN VS DENMARK JE WAJUA MANENO MATATU YA KWANZA SWE NA MATATU YA KWANZA DEN UKIUNGA UNAPATA SWEDEN NA MANENO MATATU YA MWISHO KILA MOJA UNAPATA DENMARK DEN  MARK
  15. JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nini Kesi ya Lisu itaendelea tena tarehe 11 June,siku ambayo kombe la dunia linanza?

    Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira. Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na...
  16. JamiiForums Tanzania Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29. Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kanuni za Bunge Zina Makosa?. Spika wa Bunge ni Bonge la Dikiteta! Uamuzi Wake ni wa Mwisho, Final and Conclusive, Hata Kama Sio wa Haki

    Wanabodi, Huu ni uzi wa kuelimishana, Uzalendo wa kweli wa nchi yako, ni pale unapobaini kuna makosa mahali, unakosoa, na kutoa ushauri namna ya kurekebishasha makosa hayo. Kwa muda mrefu, sisi humu tumekuwa tukilalamikia hoja mbalimbali kuhusu uendeshaji wa Bunge letu, ukiwemo udikiteta wa ma...
  18. JamiiForums Tanzania Je Wajua, Rais kama Taasisi, Hakosei?, Ila Rais Kama Binadamu, Anaweza Kukosea na Ana Haki ya Kukosea. Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa-Mw. JKN

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
  19. JamiiForums Tanzania Je wajua!?: Hirizi nazo hufanyiwa service? Na zina expire date?

    Kama uonavyo kwenye makampuni ama viwanda vya kutengeneza vitu mbalimbali na kwenye ulimwengu wa giza ni hivyo hivyo!? Kuna maduka maalum ya kuuza zana na vipuri vya tunguri Kuna watu maalum wa kusuka tunguli kulingana na mahitaji ya mteja Kuna wauza tunguli feki na original Kuna tunguli used...
  20. JamiiForums Tanzania Dr faza Kitima, hamtamki Dr Samia na Dr Nchemba kama Dr je WAJUA kwa Nini? Elimu ya ZAWADI Haina mvuto

    Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…