appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,909
- 3,220
Chakula kikiingia kwenye mlango wa hewa (koo la hewa au trachea), hali hiyo kitaalamu inaitwa kukaba au asphyxiation. Hii hutokea kwa sababu njia ya chakula na njia ya hewa zinachepuka sehemu moja kooni, na vali ndogo iitwayo epiglottis isipofunga vizuri wakati wa kumeza, chakula huingia upande usio sahihi.
Tuwe makin tusile huku tunaongea njia ya hewa itakua waz utakufa gafla watu waseme umelogwa
Tuwe makin tusile huku tunaongea njia ya hewa itakua waz utakufa gafla watu waseme umelogwa