Habari wana JF;
Leo nikasema ngoja nisikilize kidogo nyimbo za zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma, nikaingia mtandaoni kuzipakua hasa zile nilizokuwa nazipenda...
Sikuacha za Professor Jay, nikachukua kadhaa zikiwemo NDIO MZEE, KIKAO CHA DHARURA na NANG'ATUKA...
Asee jamaa yale aloyaimba mule ndio...