jay

A jay is a member of a number of species of medium-sized, usually colorful and noisy, passerine birds in the crow family, Corvidae. The evolutionary relationships between the jays and the magpies are rather complex. For example, the Eurasian magpie seems more closely related to the Eurasian jay than to the East Asian blue and green magpies, whereas the blue jay is not closely related to either. The Eurasian jay distributes oak acorns, contributing to the growth of oak woodlands over time.

View More On Wikipedia.org
  1. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania NYIMBO ZINAZOISHI (LIVING SONGS) ZA PROFESSOR JAY.

    Habari wana JF; Leo nikasema ngoja nisikilize kidogo nyimbo za zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma, nikaingia mtandaoni kuzipakua hasa zile nilizokuwa nazipenda... Sikuacha za Professor Jay, nikachukua kadhaa zikiwemo NDIO MZEE, KIKAO CHA DHARURA na NANG'ATUKA... Asee jamaa yale aloyaimba mule ndio...
  2. beatboi

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu kutoka kwa Professor Jay kwenye uzinduzi wa Albumya pili ya Mapinduzi halisi

    The Unforgetable THROW BACK 🔥🔥🔥 Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat Sirnature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na...
  3. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Prof. Jay ft Black Rhino, Complex, AY and Adili Chapakazi - Nawakilisha

    PROFESSOR JAY FT. ADILI CHAPA KAZI , COMPLEX, AY & BLACK RHINO - NAWAKILISHA ( STUDIO BONGO RECORD) Chorus ( Professor Jay) Nawakilisha...!!! Ofisini na masela ndani ya gheto Nawakilisha ...!!! Kwa ma ding vijana mpaka watoto Nawakilisha...!!! Kenya , Uganda 🇺🇬 na Tanzania 🇹🇿 Huu ni hosia...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  5. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Profesa Jay machozi jasho na damu

    PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU VERSE..1 Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa kama ya wanyama/ hiki ninachosema kila jicho linaona/ nina futa chozi la mnyonge kilio cha kila kona/...
  6. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Profesor jay - nisamehe

    PROFESSOR JAY FT BANANA ZORO - NISAMEHE.. VERSE 1. ( PROFESOR JAY) "Usiniache mupweke utafanya watu wanicheke/ ni wewe pekee uliyefanya mi ni deke/ kuvunja mpenzi letu utafanya mi niteseke/ nisieleweke mwenzio mi nizeeke/ ni upumbavu wangu uliofanya penzi limegeke/ na hila za vicheche...
  7. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Mwana FA - Nazeeka sasa

    MWANA FA ( SONG - NAZEEKA ) Wote bado wana fuata mi ni kama mdundiko/ hata ujifiche wapi sauti itakufuata ulipo/ busara na maumivu katikati ya kauli zangu/ mimi ni kaka mkubwa jamaa msibishane wadogo zangu/ nipo juu kwa sababu siogopi kuruka/ siogopi kuanguka/ siogopi vidonda wala hakuna...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Joseph Haule (Profesa Jay) anahitaji utulivu, hizi pilikapilika za muziki na siasa angeachana nazo

    Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili. Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa nazipenda. Ila kuna kitu nakiona hakipo sawa baada ya yeye kurudi kwenye ugonjwa uliomuweka kitandani...
  9. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Professo Jay - Nawakilisha ( verse by Professor Jay)

    NAWAKILISHA - PROFESSOR JAY ( VERSE) BY PROFESOR JAY Swadata..!! Toka utotoni sauti inawika/ nami napiga goti kwa watu nakubarika/ Najenga imani kwa mashabiki wengi ma dingi/ vinapo chekechea na hata shule za msingi./ Yooh .!! Mam sapu nipoze moyo mama/ baadhi ya wanafiki naona sasa...
  10. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Prof. Jay - Hakuna Noma lyrics (final verse)

    PROFESOR JAY - HAKUNA NOMA Nimesimama kwenye haki/ kurumbana sitaki/ bado nipo na fani kama Saturn na Zebaki/ sitaki kujiuliza.. yupi..? ndugu yupi ..? adui/ sijui..!! Pata nasaha za ma bedui / ulipo lala wewe ndipo nime amka mimi/ ubongo wangu madini changanya umjini mjini/ kabla...
  11. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Profesor jay ( na bado) - imam abbas

    PROFESOR JAY - NA BADO Na mwaga Damu juu ya fedha/ na dini mitaa ya kati/ kuwa makini Tumuamini nani..?/ mie mc fanani mchaza vichwa Amani/ Au kiongozi Saratani / acha hanasa na mpaka Siasa hakuna Tundu kwenye Sanaa/ hii balaa jiangalie saa ukutani/ tufanye kweli kwenye fani/ kuwa mapaga nani...
  12. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Saimoni sayi " complex - wakilisha by professor jay .. ( verse)

    PROFESOR JAY - NAWAKILISHA.. Na bado mkwanja unatesa viwanja/ ni vichwa vya nyanja/ maumivu kote na ganja / tawala mic kijanja/ sasa mc vizuri muda hu kudanja/ na tupa mawe fikra miba vichaka vyote nachanja/ tafadhali kaa mbali .. kaa mbali ni hatari/ hapa utalamba tope maktaba kwisha labda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania P. Diddy amezidiwa utajiri na Jay Z

    P Diddy Amezidiwa Utajiri Na Jay Z Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Wawe Matajiri Lazima Waende Kwake, Lakini Pia P Diddy Amezidiwa Tuzo Za Grammy Na Jay Z 24 Kwa 3 Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Washinde Grammy Lazima Waende Kwa P Diddy 😂😂😂😂 Au Ndio Mganga Hajigangi 😂😂😂
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama Taifa Stars inacheza leo

    Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ya Wachezaji wa ndani imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-6 dhidi ya Sudan. Tanzania licha ya kufunga goli 1-0 lililofungwa na Crispin Ngushi dakika ya 33 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kutokana na kupoteza...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Jay Jay Okocha akiwafunza adabu wazungu

    https://youtube.com/shorts/n_zcvXOk4Lg?si=l7XFOhdx33sUsLBt
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Jay Jay Okocha akiwafunza adabu wazungu

    https://youtube.com/shorts/n_zcvXOk4Lg?si=l7XFOhdx33sUsLBt
  17. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania LADY JAY DEE ndani ya bongo fleva Honoros usiku wa leo

    LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU... Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection ya Malkia wa Bongofleva, Dada mwenye ukuu wake kwenye dunia ya Bongofleva Lady JayDee ambaye leo...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 bwana!! Eti Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Jaydee; really!?

    Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote. Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki. Tofautisha kati ya...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Jay Combat ndie mrithi wa Juma Mpogo au tusubiri mwingine?

    Namuona sana kijana mmoja mtandaon anaitwa jay Combat. Anajua kuimba nyimbo za uswazi almaaurufu mnanda au mchiriku au vanga. Kiukweli toka atutoke duniani Juma Mpogo GOAT wa mnanda bado pengo lake alijawai kuzibwa. Walikuwa wengi kabla ya General Mpogo na wakaja wengi baada yake ila bado...
  20. central midfielder

    JamiiForums Tanzania Jay Moe Hili game

    Wakuu msaada mwenye ngoma ya jay moe Hili.game remix tafadhali.naiomba hapa. Mara nyingi nayoipata haipo fresh ipo sauti ya chini sana alafu biti haikimbizi vzr. Msaada jamani nayoipata ni hiyo chini hapo
Back
Top Bottom